Je, Iran itathubutu kulipiza kisasi kwa Israel baada ya kumuua kamanda wake?

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,992
17,892
Hili ni swali ambalo wengi wamejiuliza....Ikumbukwe jana Israel yote umeme ulikatika baada ya wadukuzi kutoka Iran kushambulia mifumo ya Israel na kusababisha umeme kukatika na Israel kukaa giza kwa masaa mengi

Sio hayo tu leo ndani ya mji ya Netanya afisa mmoja mkubwa wa jeshi la Israel wengine wanasema ni afisa wa Mossad japo bado tamko rasmi la serikali ya Israel halijatoka kuthibitisha kuwa ni nani ana wa cheo gani aliuliwa, kwani kulikua ni bomu la kutegwa kwenye gari na kumuua huyo mkubwa!!

Turudi kwenye swali letu sasa

Je, Iran itathubutu kulipiza kisasi kwa Israel kwa kumuua jenerali wao? Bila shaka. Iran tayari inafanya uharibifu mkubwa kwa Israeli. Hezbollah, Wahouthi wana silaha nyingi na wanaungwa mkono na Iran. Hamas pia, wakiwa na sapoti kutoka Iran. Iran inafanya kazi "kwa subira". Israel tayari inakabiliwa na hasara kubwa ya wanajeshi, vifaa na kiuchumi. Iran haijaguswa, wala haitakuwa hivyo.

Israel ni samaki mdogo, tishio kuu kwa Iran ni USA, hapo ndipo lengo lao kuu liko. Hata mashambulizi yote ya mabomu huko Gaza yanafanywa na mabomu na makombora yaliyotolewa na Marekani.

Ndege 230 za mizigo na meli 30 za usafiri za Marekani zimewasili Israel zikiwa zimebeba silaha na risasi tangu kuanza kwa vita. Kama Israel isingepokea silaha hizi kutoka kwa Marekani, hadithi ya mauaji ya halaiki huko Gaza ingeisha muda mrefu uliopita.View attachment 2853957
20231018_221902.jpg
20231211_104004.jpg
20231211_104007.jpg
20231209_105603.jpg
20231123_234509.jpg

Updates: BREAKING:

An unidentified Israeli man was assassinated by a car bomb in Netanya

The IDF ordered media not to publish any details.

It appears that Iran killed a high-ranking person in Israel, perhaps in the IDF or Mossad.
 
Hii vita imekua ngumu kwa Israel kwasababu Hamas wamejipanga sana na inaonesha itachukua muda,Iran sizan kama atajiingiza moja kwa moja
Hamas siyo kwamba kajipanga, ila anapigana akiwa kajificha katikati ya raia, hii ndio changamoto na hakuna jeshi la nchi yoyote ambalo lingefanya vizuri zaidi ya Israel.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
BREAKING:

An unidentified Israeli man was assassinated by a car bomb in Netanya

The IDF ordered media not to publish any details.

It appears that Iran killed a high-ranking person in Israel, perhaps in the IDF or Mossad.
Screenshot_20231227-122914.jpg
 
Hamas siyo kwamba kajipanga, ila anapigana akiwa kajificha katikati ya raia, hii ndio changamoto na hakuna jeshi la nchi yoyote ambalo lingefanya vizuri zaidi ya Israel.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Hawana Kambi za kijeshi wala hawavai combat. Wanalala na wake zao chini ya uvungu kuna RPG, Hamas anafungua dirisha la nyumbani kwake anawashambulia wanajeshi wa Israel kupitia dirishani,halafu Israel wakijibu mapigo kwa ndege vita kwa kulishusha jengo zima vilio vinakuwa vingi kwamba Israel inauwa wanawake na watoto.
 
Iran alikuwa anapelekewa ndoano ili aingie kwenye mgogoro na marekani na israel wasaidiane kumpiga na kumsambaratisha kabisa. leo Iran imetoa taarifa kwamba, inaujua mtego wa Israel wa kumuua kamanda wao, hivyo wao watalipiza kisasi ila hawatalipiza ghafla, watafanya polepole kwa wakati wanaoujua wao. manake wameogopa kulipiza kwa kuingia vitani miguu yote. mbona marekani walivyomuua yule kamanda Iran ilijibu kwa kupiga baadhi ya kambi za marekani kule iraq? ila wameogopa kupiga israel kwasababu wamejua hicho ndicho kilichokuwa kinatafutwa. Marekani kule iraq anapiga washirika wa Iran, wanatafuta sehemu ya kuingilia Iran anakosa kamwambia israel uwa mtu wao, akaua ili iran iingie vitani, iran kashtuka kaogopa kafyata mkia.

kwa msiujua mambo ya vita, ili uingie kuipiga nchi nyingine lazima iwepo sababu ya msingi ama la, utakuwa aggressor. hivyo ni sawa na mimi nakuja kwako kukutukana ili wewe unipige ngumi, ukinipiga moja tu ngumindio zinaanzia hapo. kama iran mbabe, mbona hajaipiga israel kama alivyopiga kambi za marekani? ameishia tu kusema "endapo israel itapiga ardhi ya iran, wataifuta israel"......apige mara ngapi sasa wakati alishatuma mosad wakaua sana makamanda wake palepale Tehran.
 
Hili ni swali ambalo wengi wamejiuliza....Ikumbukwe jana Israel yote umeme ulikatika baada ya wadukuzi kutoka Iran kushambulia mifumo ya Israel na kusababisha umeme kukatika na Israel kukaa giza kwa masaa mengi

Sio hayo tu leo ndani ya mji ya Netanya afisa mmoja mkubwa wa jeshi la Israel wengine wanasema ni afisa wa Mossad japo bado tamko rasmi la serikali ya Israel halijatoka kuthibitisha kuwa ni nani ana wa cheo gani aliuliwa, kwani kulikua ni bomu la kutegwa kwenye gari na kumuua huyo mkubwa!!

Turudi kwenye swali letu sasa

Je, Iran itathubutu kulipiza kisasi kwa Israel kwa kumuua jenerali wao? Bila shaka. Iran tayari inafanya uharibifu mkubwa kwa Israeli. Hezbollah, Wahouthi wana silaha nyingi na wanaungwa mkono na Iran. Hamas pia, wakiwa na sapoti kutoka Iran. Iran inafanya kazi "kwa subira". Israel tayari inakabiliwa na hasara kubwa ya wanajeshi, vifaa na kiuchumi. Iran haijaguswa, wala haitakuwa hivyo.

Israel ni samaki mdogo, tishio kuu kwa Iran ni USA, hapo ndipo lengo lao kuu liko. Hata mashambulizi yote ya mabomu huko Gaza yanafanywa na mabomu na makombora yaliyotolewa na Marekani.

Ndege 230 za mizigo na meli 30 za usafiri za Marekani zimewasili Israel zikiwa zimebeba silaha na risasi tangu kuanza kwa vita. Kama Israel isingepokea silaha hizi kutoka kwa Marekani, hadithi ya mauaji ya halaiki huko Gaza ingeisha muda mrefu uliopita.View attachment 2853957View attachment 2853958View attachment 2853959View attachment 2853960View attachment 2853961View attachment 2853963

Updates: BREAKING:

An unidentified Israeli man was assassinated by a car bomb in Netanya

The IDF ordered media not to publish any details.

It appears that Iran killed a high-ranking person in Israel, perhaps in the IDF or Mossad.
Hivi Kwa Nini mayahudi wanamwonea sana Irani? Inafikia mpaka Irani wanashikwa makalio hadharani ila wanaishia kijijambiajambia tu
 
Hivi Kwa Nini mayahudi wanamwonea sana Irani? Inafikia mpaka Irani wanashikwa makalio hadharani ila wanaishia kijijambiajambia tu
Kwani Israel kaivamia Iran au Syria? We mfano ni mwanajeshi wa Tanzania uende Kenya, afu uliwe na Rwanda nini nani anaye takiwa kumshambulia Rwanda? Kenya au Tanzania?

America peke yake ndio analipa tena kwa nchi za kiarabu ambazo ni puppets wa Western, lakini nchi ikiwa sio Puppets ya Western anaiogopa halogen 😄

Mbona kila siku Israel analia Iran ndio anawasaidia Hezbullah, Ansar lah ya Yemen na Hamasi kwanini Israel haendi piga Iran?
 
Back
Top Bottom