ESTIM Construction ni kampuni ya nchi gani?

ESTIM Construction ni kampuni ya nchi gani?

Ni kampuni inayomilikiwa na mtanzania mwenye asili ya Uhindini (Uraia wa kusajiliwa)

Hivyo kuiwezesha kusajiliwa kama kampuni ya kizawa

Ni kampuni daraja la kwanza (1) kwenye majengo na uhandisi wa miundombinu jamii.
Hakuna kusajili kampuni eti ya "kizawa". Aidha partners wa kampuni iliyisajiliwa wawe ni wazawa au siyo wazawa mradi wakikidhi vigezo kampuni inasajiliwa. Kama haukidhi vigezo vilivyowekwa kisheria basi uwe au usiwe mzawa hautasajiliwa.
 
Ficha upumbavu wako.

Mleta mada kauliza ni kampuni ya nchi gani.

Kampuni za ujenzi zina makundi mawili.
1. Local company
2. Foreign company

Jisomee uongeze maarifa.
Hakuna kusajili kampuni eti ya "kizawa". Aidha partners wa kampuni iliyisajiliwa wawe ni wazawa au siyo wazawa mradi wakikidhi vigezo kampuni inasajiliwa. Kama haukidhi vigezo vilivyowekwa kisheria basi uwe au usiwe mzawa hautasajiliwa.
 
Iyovi mafinga walijitahidi.. japo kuna maeneo walizingua.. ila ni moja ya barabara za kimataifa tanzania. Mafinga igawa iliyo zinduliwa na magufuli juzi ni balaa.. ni mkeka mkali kuliko yote tz.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona mkandarasi kaanza kubomoa tena hiyo barabara nini kimetokea na ni kipande kirefu tu cha rami saiv anabomoa nimepita huko last week
 
Tatizo la kujenga miundombinu mibovu na isiyokuwa ya kiwango linaanzia kwenye tenda, ili ushinde tenda na kupewa kazi mnakaa mezani kwanza, mzabuni anaweka cost zote kukidhi viwango kutokana na TOR, anasema itagharimu 300bil, afu jamaa wanamwambia ili tukupe kazi 150bil ni zetu. Kwa kuwa mzabuni hataki kukosa kazi, anakubali anajibana na kutoa kitu kisicho na ubora kuhofia kukosa kazi siku za mbele.
Kuna co. Inajenga barabara kutoka sinza kijiweni kwenda tandale, kutoka tip top Hadi mtogole, anajenga mifereji kwa kwa zege na nondo zilizosukwa kwa uhakika. Akatokea mkuu mmoja kukagua akasema barabara zinajengwa kwa ghalama kubwa km chache. Hapo engeneer si itabidi aachane na viwango akidhi quantity? Siasa na rushwa ndivyo vinajenga barabara mbovu na si maengeneer
Umenena vyema
 
Estim na Ravji walikua ma engineer wa Konoike.Konoike walipoondoka wakawaachia vifaa hawa wahindi.Hawa wahindi wakawa weledi katika ujenzi.
Pia Walipewa ramani tuu wakakamilisha ujenzi wa mahali pa kuzeekea mstaafu msoga bure.Hivyo tenda nzuri wanalamba na jamaa wa sasa hakohoi hapo.
Ile ya msata-bagamoyo walijenga kwa 1.6bn per km
Duh, bonge la mtonyo!
 
MKEHA, Kahama Rusahunga? Labda ungesema Kahama Nyakanazi. Nyakanazi to Rusahunga- Rusumo ilisha expire ila ilijitahidi sana tangu miaka ya 80-90. Ilikidhi viwango (Design life) ya barabara over 20years. Kwa sasa ni mbaya hakuna mfanano. Major rehabilitation inahitajika, kwa ufupi inahitaji kujenjwa upya kwa kukwangua top/ surface base. Kitakachobakia ni sub-base tu.
 
Poor quality, thin, many sharp coners...
Labda ndio ulikuwauwezo wa serikali wakati huo. Lakini hakukuwa na ya kufanya nusu nusu hasa kwa barabara ya mkoa kwa mkoa. Ukitoka Dodoma ukafika pale Iringa Airport mpaka kuja kuingia barabara ya Iringa - Mbeya - Dar ndio utajua kiasi gani umetoka kwenye barabara ya kiwango cha chini sana hiyo ya Iringa - Dodoma
 
Ana bomoa kipande kipi? Iyovi mafinga au mafinga igawa?
Mbona mkandarasi kaanza kubomoa tena hiyo barabara nini kimetokea na ni kipande kirefu tu cha rami saiv anabomoa nimepita huko last week
 
Hakuna kusajili kampuni eti ya "kizawa". Aidha partners wa kampuni iliyisajiliwa wawe ni wazawa au siyo wazawa mradi wakikidhi vigezo kampuni inasajiliwa. Kama haukidhi vigezo vilivyowekwa kisheria basi uwe au usiwe mzawa hautasajiliwa.
Kuna categories, local na foreign contractors. Uwe unauliza kabla hujaongea mashudu
 
Gullam,
Mkuu umetoa maelezo mazuri sana ambayo yametusaidia hata sisi wengine, ulichokosoe kwa maoni yangu ni kutoa maneno ya kashfa na dharau kwa mleta uzi.
 
Back
Top Bottom