ESTIM Construction ni kampuni ya nchi gani?

Huko sawa mkuu for best of ur knowledge ila kiuhalisia ziko kampuni nyingi tu za ndani pia zafanya na zaweza fanya vyema kwenye ujenzi wa miundo mbinu na majengo, isipokuwa urasimu na figisu za wale dhamana ndio shida...
 
Unaweza zitaja mkuu.. au ndio delmonte
Huko sawa mkuu for best of ur knowledge ila kiuhalisia ziko kampuni nyingi tu za ndani pia zafanya na zaweza fanya vyema kwenye ujenzi wa miundo mbinu na majengo, isipokuwa urasimu na figisu za wale dhamana ndio shida...
 
Kupanda nyasi ni kutokana na ukweli kwamba hela ya kuweka pavement za pembeni hazipo hivyo wanatumia nyasi kama mbadala wa pavement
 
Du....kweli eewe ndio hujui kitu.
Mchina hakutia mguu mradi wa Msata Bagamoyo.
Kazi ilikuwa estim mwanzo mwisho, tena kwa gharama za kutisha Tshs 2bn kwa kilometa!
Ulizia Tanroads upate facts.
Hapa si chit chat.
Cha ajabu hataki kujishughulisha na bei za estim kuwa juu kuliko mkandarasi yoyote na kazi anapewa,kazi ya bagamoyo msata ni mbaya mno
 
Asiende mbali, kazi ya Tegeta Mwenge ni mbaya kwenye road pavement.
Lami ina matuta sehemu nyingi sana.
Kazi hii alifanya Estim akiwa chini ya Konoike
 
Katika uchunguzi wangu wa miradi ya barabara nimegundua kampuni inayojulikana kama ESTIM inajenga barabara zenye ubora wa hali ya juu sana. Cha ajabu zaidi hawa ESTIM wapo vizuri sana kwenye madaraja na majengo hasa yale makubwa.

Kuna picha nimeona wanavyo jenga barabara ya Kimara kibaha kule Dar es salaam. Kilicho nivutia ni jinsi wanavyo jali mazingira kuhakikisha kwamba sehemu ambazo wameharibu uoto wakati wanajenga wanajitahidi kurudiashia uoto huo kwa kupanda nyasi na miti hata kabla barabar haijaisha kitu ambacho sinakiona kwa kampuni nyingi za kichina.

Jambo kama hilo limeonekana hasa kwa wale jamaa wanaojenga SGR pekee.

Pamoja na hayo yote hawa jamaa wanaonekana kuleta namna mpya ya ujenzi wa barabara zenye quality.

Baadhi ya barabara niliwahi kuipita ni ile ya goba jijini dar es salaam sijui kwa sasa kama bado nzima lakink kwa ujenzi ule naamini hadi sasa itakua bado imara.

Kuna wachina walipewa kujenga barabara ya bagamoyo msata, nasikia waliopoona lile bonde walikimbia , nasikia kazi iliyo fanywa na ESTIM ya kujenga badaraja katika bonde lile ni ya kutukuka.

Sijajua kampuni hii inatoka nchi gani lakini serikali inahitaji kuitambua kwa mchango wake.

Mapendekezo

Kwenye issue za madaraja waachiwe hawa jamaa.

Barabara za magari makubwa waachiwe hawa jamaa.

Majengo ya taasisi kama vyuo etc waachiwe hawa jamaa.

Nasema kutoka moyoni, sijawahi kusikia kashfa ya kazi mbovu toka hii kampuni.

Kama ipo ni ya bahati mbaya.View attachment 1118532
Estim Construction Co. Ltd ni kampuni ya Kitanzania kikiongozwa na Ndugu Gire.
Ni kweli kazi zake ni nzuri sana. Mwenge-Tegeta ni kati ya barabara walizojenga. Huu ndiyo uzalendo. Tuwaunge mkono.
 
Rostam Aziz-->Caspian--Estim--Masasi Construction--Kasco Construction--Nyanza Construction

Najaribu kuota
Estim ni Subash Patel akimgawia rafiki yake wa tangu utotoni bwana yule wa msoga na kiasi akipewa bwana huyu mnyampala wa barabara wa enzi zile ili kufanikisha mtiririko wa kazi upande wao,ila pia wapo vzr kwenye kuderiver quality,hata majengo wanaliyojenga km Aura tower ni kazi iliyo nzuri sana na pia hili la sasa hivi linaloelekea kuisha la PPF pale karibuni na mlimani city
 
Napinga kwamba estim anapendelewa.. ila kazi zake ndio zinauza hata anapata madili ya kimataifa.

Kabla hujapinga ulipaswa ujipe wasaa japo kidogo kurudia nilichoandika......hakuna sehemu niliyoandika kuwa WANAPENDELEWA
 
ESTIM ni kampuni ya watanzania wenye asili ya asia. Wana uhusiano na Subash Patel. Wanajenga pia lile jengo refu pale Superstar, Mlimani city, kwenye mataa.
 
Katika uchunguzi wangu wa miradi ya barabara nimegundua kampuni inayojulikana kama ESTIM inajenga barabara zenye ubora wa hali ya juu sana. Cha ajabu zaidi hawa ESTIM wapo vizuri sana kwenye madaraja na majengo hasa yale makubwa.

Kuna picha nimeona wanavyo jenga barabara ya Kimara kibaha kule Dar es salaam. Kilicho nivutia ni jinsi wanavyo jali mazingira kuhakikisha kwamba sehemu ambazo wameharibu uoto wakati wanajenga wanajitahidi kurudiashia uoto huo kwa kupanda nyasi na miti hata kabla barabar haijaisha kitu ambacho sinakiona kwa kampuni nyingi za kichina.

Jambo kama hilo limeonekana hasa kwa wale jamaa wanaojenga SGR pekee.

Pamoja na hayo yote hawa jamaa wanaonekana kuleta namna mpya ya ujenzi wa barabara zenye quality.

Baadhi ya barabara niliwahi kuipita ni ile ya goba jijini dar es salaam sijui kwa sasa kama bado nzima lakink kwa ujenzi ule naamini hadi sasa itakua bado imara.

Kuna wachina walipewa kujenga barabara ya bagamoyo msata, nasikia waliopoona lile bonde walikimbia , nasikia kazi iliyo fanywa na ESTIM ya kujenga badaraja katika bonde lile ni ya kutukuka.

Sijajua kampuni hii inatoka nchi gani lakini serikali inahitaji kuitambua kwa mchango wake.

Mapendekezo

Kwenye issue za madaraja waachiwe hawa jamaa.

Barabara za magari makubwa waachiwe hawa jamaa.

Majengo ya taasisi kama vyuo etc waachiwe hawa jamaa.

Nasema kutoka moyoni, sijawahi kusikia kashfa ya kazi mbovu toka hii kampuni.

Kama ipo ni ya bahati mbaya.View attachment 1118532
Inatoka Tanzania, makao makuu yako pale Mwenge ITV
 
Estim Construction Co. Ltd ni kampuni ya Kitanzania kikiongozwa na Ndugu Gire.
Ni kweli kazi zake ni nzuri sana. Mwenge-Tegeta ni kati ya barabara walizojenga. Huu ndiyo uzalendo. Tuwaunge mkono.
Uzalendo wa kujenga barabara zaenye kasoro?
 
Tunashukuru sana na kusifia sana estim
Hebu tupe ukaribu kidogo wa estim na Kamwelwe kama waziri husika
 
Kupanda nyasi ni kutokana na ukweli kwamba hela ya kuweka pavement za pembeni hazipo hivyo wanatumia nyasi kama mbadala wa pavement
UJjuaji mwingine bana kwa hiyo pavement zina hifadhi mazingira kuliko nyasi
 
Back
Top Bottom