Esther Wasira: Viongozi Waache Kutoa 'Cheap Answers'

Status
Not open for further replies.
- Nimeuliza hivi huyu ni Kiongozi aliyechaguliwa na nani? Au ndio yale yale mambo yenu ya kupenda majina ya Viongozi wa CCM, kwa sababu Wassira ni jina la Baba mkubwa wa huyu Sister, na Wassira ni Waziri wa CCM, maana yake ni kwamba kumbe mnazimika majina ya Viongozi wa CCM, ndio maana mlikuwa mnaniomba sana nije huko, nimewatolea nje siwezi kujiunga na chama kisichokuwa na consistency!

- I mean siku moja mnalia CCM ina watoto wa Vigogo, hapa mnakumbatia mtoto mwenye jina la kigogo wa CCM, so kumbe mnalia kwa sababu ya kuwakosa watoto wa Vigogo wa CCM,

- Sasa wait huyu Ester sasa hivi anakumbatiwa, ajaribu tu kusema anataka kugombea urais, utaona atakavyopigwa mawe kwamba ni msaliti, maana hiyo nafasi yakugombea Urais na Mwenyekiti wa Chadema, ni lazima wawe Viongozi wawili wanaoshindwa kila uchaguzi, Slaa na Mbowe tu!!

- Waambieni Startv nikutane na huyu kilaza wenu, nitamchana mpaka mtalia na yale maswali yenu ya pumba pumba, last time nilikua NAtional TV, ninajadili ishus serious kwa Taifa, Taifa zima linanisikiliza wakasema sasa maswali toka JF, yaani ilikuwa aibu sana maswali yote ni kwa nini siku hizi hingii JF, ohhh kwa nini siku hizi umetoka JF, yaani rubbish tupu!!

LE Mutuz!!

zaidi ya siasa ni kazi gani nyingine unaweza fanya na ikaisaidia jamii yako na taifa kwa ujumla kaka mkubwa?? k
 
- hA! ha! ha! ha! ha! Demokrasia bwana na hii imeandikwa na Great Thinker! ha! ha! ha! ha1 ha!, uko tayari kuongozwa na Sister asiye na lolote zaidi tu ya kuwa mtoto wa WAssira!! ha1 ha! ha!

Le Biig Shoow!!
Tuwe wakweli, Le mutuz una hata asilimia moja ya akili ya Ester? Kama wewe na ubongo wa makamasi unachaguliwa je mtu bright kama Ester itakuwaje?
 
mepitia sana comment za Lemutuz na wadau waliomjibu naona twatumia nguvu nyingi pasipo na sababu. Aalikwe ESTER pia LEMUTUZ alafu wawekwe mtu kati kama ilivyokuwa kwa Zitto last week hapa itafahamika tuu nani jina lina mbeba na nani jina halimbebi, nani ana kitu na nani hana kitu..ni mawazo tuu wana jamii. nawasilisha

- Kama nyinyi Great Thinkers wa Chadema hapa ninawatoa kamasi, hamuwezi hoja zangu kazi kutukana matusi tu, itakuwa huyu mtoto wa Ndugu wa Waziri wa CCM? Think just for one minute huyu ana nini jipya zaidi tu kuwa na jina la Wassira? Kama kweli akagombee Kata kwanza kama mimi aone kama atachaguliwa kwa jina tu la Wassira, yaani huyu nikikutana naye mtaishia kulia kuwa ninamuonea kwa mwanamke,

- Infact sina hata uhakika kama ninaweza kukubali debate naye cause huyu sio kiongozi hata wa kata, Mimi nimeanzia Kata kwanza ndio nikaja kuchaguliwa na Taifa, lakini huko Chadema mko so desparate na majina kazi kukumbatia mediocre, eti amesomea Mlimani, that is all na kuwa na jina la Wassira tu?

- Hebu linganisha CV hapa uone kama ni fair kwa mimi ku-debate na huyu Kilaza mwenzenu:

1. Nimegombea Kata ya Kivukoni na kushinda kama Katibu.

2. Nimegombea Ujumbe wa CCM Wilaya ya Ilala na kushinda.

3. Nimegombea Ujumbe wa Wazazi Mkoa wa DSM na kushinda.

4. Nimegombea Ujumbe wa Mkutano Mkuu CCM Taifa na kushinda, Mjumbe wa Baraza la Wazazi Taifa na kushinda, Mjumbe wa UVCCM Taifa na kushinda.

- MAJUZI KWENYE MKUTANO MKUU WA TAIFA WA CCM, NIMEGOMBEA NEC VITI 10 BARA, KATIKA WAPIGA KURA 2,000 NIMEPATA KURA 800 NA KUWA MTU WA 12, na yote haya nimeyafanya in only 10 months baada ya 30 years majuu, sasa imagione ningekwua sikuenda majuu kama yeye sasa hivi ningekuwa wapi?

- Sasa hebu weka CV ya huyu Kilaza wenu mtoto wa Wassira mdogo tuone kama kuna balance ya mimi ku-debate naye! ha! ha! YAANI NO WAY ANA JINA TU LA WAZIRI WA CCM WASSIRA!

I MEAN SHAME ON YOU!!KUNILINGANISHA NA HUYU KILAZA!! HA1 HA! HA!

LE MUTUZ!!
 
Kiukweli kabisa namwonea huruma sana mwanasiasa mkongwe wa Tanzania Mh. John Samuel Malecela.

Mzee wa watu anazeeshwa na vitu vingi sana.

Nawashauri vijana wenzangu, tusiwe sababu ya kuongeza speed ya kuzeeka wazazi wetu.
 
zaidi ya siasa ni kazi gani nyingine unaweza fanya na ikaisaidia jamii yako na taifa kwa ujumla kaka mkubwa?? k

- Yaani mpaka leo hujui kwamba nina kampuni yangu mpya hapa mjini, yaani hilo lichama limejaa vilaza kuanzia viongozi mpaka wapambe wote ni mavilaza tu!1

Le Mutuz!!
 
- Jamani with all due respect, naomba kuuliza huyu Dada ni Mbunge? Ni Kiongozi aliyechaguliwa na wananchi? Au ni self appointed Leader? I mean kumbe na huko Chadema basi mnapenda majina ya baba maana huyu Sister sio Kiongozi, hajachaguliwa na anybody!

- Sasa mbona Chadema mnamshobokea sana? Yaani unaona tatizo lenu Chadema vacuum ya Viongozi, sasa hata Mdada akijitokea ana jina la Wassira huyoo anapewa platform kwamba eti Mwanaharakati? duh!!

- UKAME WA VIONGOZI GENUINE UNAWATESA SANA KUMBE NDIO MAANA MLIKUWA MNALILIA NIJE HUKO? HA! HA! PHEW! LICHAMA LA MEDIOCRE MAANA SASA HATA HUYU SUBIRI KIDOGO TU UTASIKIA NI MBUNGE WA VITI MAAALUM!1 HA! HA! HA!

Le Mutuz!!
She is not useless like you, she talks sense, not nonsense. Be careful with you comments, you are going down Li Mutuz. (Shing'weng'we).
 
wewe leo umekunywa kiroba nini!

- Tizama majibu ya vilaza wapambe wa Chadema, yaani mtu anapewa uwanja huu na opportunity ya kujadili Taifa na mimi Kiongozi wa Taifa, anakuja na pumba hivi no wonder huyu Ester Wassira anaonekana ana akili sana maana wapambe wenyewe akili ni kama hii? MAsikini Chadema!!

Le Mutuz!!
 
- Kama nyinyi Great Thinkers wa Chadema hapa ninawatoa kamasi, hamuwezi hoja zangu kazi kutukana matusi tu, itakuwa huyu mtoto wa Ndugu wa Waziri wa CCM? Think just for one minute huyu ana nini jipya zaidi tu kuwa na jina la Wassira? Kama kweli akagombee Kata kwanza kama mimi aone kama atachaguliwa kwa jina tu la Wassira, yaani huyu nikikutana naye mtaishia kulia kuwa ninamuonea kwa mwanamke,

- Infact sina hata uhakika kama ninaweza kukubali debate naye cause huyu sio kiongozi hata wa kata, Mimi nimeanzia Kata kwanza ndio nikaja kuchaguliwa na Taifa, lakini huko Chadema mko so desparate na majina kazi kukumbatia mediocre, eti amesomea Mlimani, that is all na kuwa na jina la Wassira tu?

- Hebu linganisha CV hapa uone kama ni fair kwa mimi ku-debate na huyu Kilaza mwenzenu:

1. Nimegombea Kata ya Kivukoni na kushinda kama Katibu.

2. Nimegombea Ujumbe wa CCM Wilaya ya Ilala na kushinda.

3. Nimegombea Ujumbe wa Wazazi Mkoa wa DSM na kushinda.

4. Nimegombea Ujumbe wa Mkutano Mkuu CCM Taifa na kushinda, Mjumbe wa Baraza la Wazazi Taifa na kushinda, Mjumbe wa UVCCM Taifa na kushinda.

- MAJUZI KWENYE MKUTANO MKUU WA TAIFA WA CCM, NIMEGOMBEA NEC VITI 10 BARA, KATIKA WAPIGA KURA 2,000 NIMEPATA KURA 800 NA KUWA MTU WA 12, na yote haya nimeyafanya in only 10 months baada ya 30 years majuu, sasa imagione ningekwua sikuenda majuu kama yeye sasa hivi ningekuwa wapi?

- Sasa hebu weka CV ya huyu Kilaza wenu mtoto wa Wassira mdogo tuone kama kuna balance ya mimi ku-debate naye! ha! ha! YAANI NO WAY ANA JINA TU LA WAZIRI WA CCM WASSIRA!

I MEAN SHAME ON YOU!!KUNILINGANISHA NA HUYU KILAZA!! HA1 HA! HA!

LE MUTUZ!!

LEMUTUZ kama unavyojiita naomba nikujibu hayo niliyoona naweza kuyajibu mengine nimeona unajazba broo
kwanza siyo wote walipo humu ndani ni chadema mtu kuwa against wewe haimaanishi ni chadema.. wengine ni neutral bro
pili.. wewe unanini kipya zaidi ya kuwa na jina la malecela???
tatu.. nikilinganisha CV yake na yako nitakuwa nakuonea coz kwa umri wako na mbwembwe ulizo nazo na jina ulilonalo hiyo vyo CV yakujivunia. jilinganishe na kina january..wewe ulipokuwa katika age yake ulifanya nini??
NA mwisho shame haiwezi kwa on me ila on you kwa kujilinganisha na binti anayechipukia na kung'ara katika siasa .

ushauri tuu. cyo lazima wote tuwe wanasiasa ndo tuonyeshe tuna uchungu na nchi yetu kuna mengine mengi yakufanya nakushauri tafta jingine lakufanya...
 
Kushinda ndani ya hicho chama ndio kigezo?
 
She is not useless like you, she talks sense, not nonsense. Be careful with you comments, you are going down Li Mutuz. (Shing'weng'we).

- ha! ha! ha! going down mimi au Chadema? ha! ha! ha! Kazi kukumbatia mediocre kama huyu kilaza mwenye only one qualification mtoto wa Wassira mdogo! ha1 ha!

- Yaani kweli wewe in your right mind unaweza nilinganisha mimi na huyu Kilaza? Pleasee!!

Le Mutuz!!
 
- Yaani mpaka leo hujui kwamba nina kampuni yangu mpya hapa mjini, yaani hilo lichama limejaa vilaza kuanzia viongozi mpaka wapambe wote ni mavilaza tu!1

Le Mutuz!!
hiyo kampuni yako imeisaidiaje jamii yako ya mtera kwa wana matusi achilia mbali tanzania
 
LEMUTUZ kama unavyojiita naomba nikujibu hayo niliyoona naweza kuyajibu mengine nimeona unajazba broo
kwanza siyo wote walipo humu ndani ni chadema mtu kuwa against wewe haimaanishi ni chadema.. wengine ni neutral bro
pili.. wewe unanini kipya zaidi ya kuwa na jina la malecela???
tatu.. nikilinganisha CV yake na yako nitakuwa nakuonea coz kwa umri wako na mbwembwe ulizo nazo na jina ulilonalo hiyo vyo CV yakujivunia. jilinganishe na kina january..wewe ulipokuwa katika age yake ulifanya nini??
NA mwisho shame haiwezi kwa on me ila on you kwa kujilinganisha na binti anayechipukia na kung'ara katika siasa .

ushauri tuu. cyo lazima wote tuwe wanasiasa ndo tuonyeshe tuna uchungu na nchi yetu kuna mengine mengi yakufanya nakushauri tafta jingine lakufanya...

- Yaaani vilaza kama kawaida hutetea vilaza, mkuu naomba nimabie huyu ana qualification gani zaidi ya kuwa mtoto wa WAssira mdogo? Mimi suiniingize na huyu ngoma ndogo too big for her, Chadema kubalini mko desparate ndio maana huyu kwa vile ana WAsirra waziri wa CCM ni deal kubwa sana kwenu1

- Huyu akiweza kugombea Taifa kama mimi labda tunaweza kuwa sawa lakin i kwa sasa ana jina tu la Waziri wa CCM, na inasahngaza kwa wale mnaolia kila siku kuhusu CCM na watoto wa vigogo kukumbatia huyu mediocre mpya!! ha! ha!

Le Mutuz!!
 
hiyo kampuni yako imeisaidiaje jamii yako ya mtera kwa wana matusi achilia mbali tanzania

- You see akili ndogo inayoongozwa na Form Six, yaani wewe uongozi kwako ni kusaidia jamii yako kwanza je jamii za wengine ambao hawana kiongozi? Sasa unaona kwamba ni kujadili na Kilaza hapa? ha! ha1

Le Mutuz!!
 
nilikuwa nadhani wanakuonea wanapokushambulia, but today nimeamini UNATATIZO KAKA! jibu hoja sio kupigia mistari! unasema Ester wasira hana la maana zaidi ya jina wasira. What about you? unalipi la ziada zaidi ya hilo jina MALECELA? huna lolote la msingi unalochangia humu zaidi ya mtu mzima kutumwa na wanaume wenzio upigepige kelele zisizo na msingi! kinachokusumbua ni madaraka ambayo hujui hata unataka kufanya nayo nini, ndio maana unauza heshima yako kwa kujipendekeza uonekane unatetea chama ili upeleke mkono kinywani! shame on you brother!
Huyu jamaa ana matatizo, halafu hajui, yaanai humu ndani ni bomu la kutupia mbali. Thiker eti naye huyu.
Anyway Ester wasira maneno yako katika hii coverage, yamekaa kifalsafa, Huwa nawaheshimu sana wanasheria wanapojipanga kuzungumza, huyu Li mutuz hajui hata anachozungumza, hovyo hovyo tu. Songa mbele Ester.
 
- Yaani mpaka leo hujui kwamba nina kampuni yangu mpya hapa mjini, yaani hilo lichama limejaa vilaza kuanzia viongozi mpaka wapambe wote ni mavilaza tu!1

Le Mutuz!!

Dah unajisifia unajua kujibu hoja wakati hamna kitu, so kwako wewe mtu kutojua kuwa una kampuni ni kilaza?
Nakubali kuwa ccm wapo watoto wa vigogo ambao wana kipaji cha uongozi na hawahitaji kubebwa lakini wewe si mmoja wao!umri wako hau match na majibu yako nakusoma mara nyingi ukipingwa tu unamchukulia huyo mtu ni chadema au huwa una majibu yako fulani "mbona Slaa au Mbowe bla bla"
Nimewahi kufanya kazi na mmoja wa dada zako mnatofautiana mno kwa kusoma maandishi yako tu!uko desperate kupata uongozi hata kwa kujitoa fahamu!ungekua una life usingerudi majuu baada ya 30 yrs na kuja kupambana kwenye uchaguzi hadi wa kata wa ccm,
 
- Yaaani vilaza kama kawaida hutetea vilaza, mkuu naomba nimabie huyu ana qualification gani zaidi ya kuwa mtoto wa WAssira mdogo? Mimi suiniingize na huyu ngoma ndogo too big for her, Chadema kubalini mko desparate ndio maana huyu kwa vile ana WAsirra waziri wa CCM ni deal kubwa sana kwenu1

- Huyu akiweza kugombea Taifa kama mimi labda tunaweza kuwa sawa lakin i kwa sasa ana jina tu la Waziri wa CCM, na inasahngaza kwa wale mnaolia kila siku kuhusu CCM na watoto wa vigogo kukumbatia huyu mediocre mpya!! ha! ha!

Le Mutuz!!

wille katika age yake wewe ulifanya nini??? bro hivi hujifunzi kwa wenzio?? ungekuwa wewe ndo makongoro nyerere nahisi tusingepata pakupumulia ila sawa wee endelea hivyo hivyo kujilinganisha na binti huyo uone gap atakalokupiga.. nategemea kuna siku utajilinganisha na Mdee..
 
- Jamani with all due respect, naomba kuuliza huyu Dada ni Mbunge? Ni Kiongozi aliyechaguliwa na wananchi? Au ni self appointed Leader? I mean kumbe na huko Chadema basi mnapenda majina ya baba maana huyu Sister sio Kiongozi, hajachaguliwa na anybody!

- Sasa mbona Chadema mnamshobokea sana? Yaani unaona tatizo lenu Chadema vacuum ya Viongozi, sasa hata Mdada akijitokea ana jina la Wassira huyoo anapewa platform kwamba eti Mwanaharakati? duh!!

- UKAME WA VIONGOZI GENUINE UNAWATESA SANA KUMBE NDIO MAANA MLIKUWA MNALILIA NIJE HUKO? HA! HA! PHEW! LICHAMA LA MEDIOCRE MAANA SASA HATA HUYU SUBIRI KIDOGO TU UTASIKIA NI MBUNGE WA VITI MAAALUM!1 HA! HA! HA!

Le Mutuz!!

Muda mwingine huwa nashindwa kukuweka Kwenye kundi la watu gani....kwa Uwezo wangu wa kufikiri mbele zaidi We si Kiongozi wala hufai kbs...

Niulize kwanin ntakujibu.
 
- Jamani with all due respect, naomba kuuliza huyu Dada ni Mbunge? Ni Kiongozi aliyechaguliwa na wananchi? Au ni self appointed Leader? I mean kumbe na huko Chadema basi mnapenda majina ya baba maana huyu Sister sio Kiongozi, hajachaguliwa na anybody!

- Sasa mbona Chadema mnamshobokea sana? Yaani unaona tatizo lenu Chadema vacuum ya Viongozi, sasa hata Mdada akijitokea ana jina la Wassira huyoo anapewa platform kwamba eti Mwanaharakati? duh!!

- UKAME WA VIONGOZI GENUINE UNAWATESA SANA KUMBE NDIO MAANA MLIKUWA MNALILIA NIJE HUKO? HA! HA! PHEW! LICHAMA LA MEDIOCRE MAANA SASA HATA HUYU SUBIRI KIDOGO TU UTASIKIA NI MBUNGE WA VITI MAAALUM!1 HA! HA! HA!

Le Mutuz!!

Mbona wewe ni mtoto wa malecela ila hakuna anayekushobokea humu??
Huyu ametokea kukubalika kwa sababu ya uwezo wake wa kujenga hoja hasa ukizingatia umri alionao na mchango chanya anaouonyesha hasa ukizingatia hajapelekeshwa na chaguo la wingi wa wanaukoo wake kwenye chama flani.
Wivu hukaa kifuani kwa mtu mjinga.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
- ha! ha! ha! going down mimi au Chadema? ha! ha! ha! Kazi kukumbatia mediocre kama huyu kilaza mwenye only one qualification mtoto wa Wassira mdogo! ha1 ha!

- Yaani kweli wewe in your right mind unaweza nilinganisha mimi na huyu Kilaza? Pleasee!!

Le Mutuz!!
Ulafi wa madaraka unakusumbua, inawezekana ni genealogical problem. Ester ana context yake, kwamba uzalendo kwanza na rushwa ndio adui mkuu wa hii nchi, na kwamba hivi vikishughulikiwa vingine vitafuata. Hebu jipime mwenyewe na akili yako kiduchu, umechangia nini katika hili. Li mutuz you are going down man. Small mind discuss what. You are going down.
 
wille katika age yake wewe ulifanya nini??? bro hivi hujifunzi kwa wenzio?? ungekuwa wewe ndo makongoro nyerere nahisi tusingepata pakupumulia ila sawa wee endelea hivyo hivyo kujilinganisha na binti huyo uone gap atakalokupiga.. nategemea kuna siku utajilinganisha na Mdee..
He is going down.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom