Esther Wasira: Viongozi Waache Kutoa 'Cheap Answers'

Status
Not open for further replies.
Willium John Malecela ana miaka 51 na ni mtoto wa mwanasiasa mkongwe John Malecela ila changushangaza kada huyu anatumia mitandao ya kijamii kukitia aibu chama cha mapinduzi.
Wachambuzi wa mambo wamebaini kuwa Willium malecela ameamua kushiriki kuua CCM kwa namna ya kipekee kama malipizi ya kutoswa kwa baba yake katika nafasi nyeti ndani ya ccm.
Kada huyu aliyekaa nchi za nje kwa miaka 30 inasemekana amekuja tanzania baada ya matatizo ya kifamilia yaliyomkabili baada ya kufumaniwa na mkewe mara kadhaa akifanya mapenzi kwenye mitandao na simu(phone sex) na watoto wadogo jambo ambalo lilivunja ndoa ile na kumfanya bwama Willium kurudi Tanzania.
Willium Malecela ambaye alikua dereva wa malori huko Marekani alisomea kozi za askari jamii katika level ya cheti pia aliwahi kufanya kazi ya usafi katika meli mbalimbali za wagiriki huko Belgium ambapo familia yake inadai mwenendo wake ulibadilika baada ya kufanya kazi za usafi(cleaning) ktk meli izo kwa mda mrefu.
Inasemekana kuwa bwana Willium Malecela amekuwa frustrated na maisha baada ya ndugu zake wengi kumuona kama mtu mzima asiye na akili za kiutu uzima kwa matendo yake anayofanya na kuaibisha jina la familia kwa ujumla.
Mwandishi wa gazeti hili alipojaribu kumtafuta kwa simu ili kudhibitisha habari hizi, hakufanikiwa kumpata ndugu Willium Malecela hewani.

Na mwamndishi wetu.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

- Hillarious! ha! ha! ha! ha! kumbe ninawatesa kihivi saafi saana nimewaahidi kwamba kaeni mkao wa kula Chadema zile siku zenu za kuchezea CCM humu zimefika mwisho, huyu Ester hana anything zaidi tu ya mtoto wa WAssira mdogo!!

Le Mutuz!!
 
Ester ameandikiwa? Kwanini na wewe usiandikiwe ili ukaacha pumba? Je, ksma chadema ni vilaza wslimwandikiaje?

- Hiii article ameandika mwenyewe cause ni very low kuliko nilivyoona maandishi yake mengine meaning kwamba yale mengine amekuwa akiandikiwa, najua mnajua kwamba kwa hilo haana pa kutokea ila bado huyu hana anything ni mtoto wa Wassira Mdogo wala sio Tyson!!

Le Mutuz!!
 
images
V/S
images


WARAKA WA ESTHER WASIRA KWA WILLIAM J. MALECELA
W. J. Malecela, Habari ya leo, Pole sana na hongera kwa majukumu ya “Ujenzi wa Taifa”..
Mimi ni mtu ninayeheshimu sana mawazo binafsi ya watu na huwa sijibu watu hovyo au bila ya kufikiria kwanza; kwahiyo chukua jibu langu/maoni yangu haya, very seriously,maana hii ni “Calculated Response”. Katika vitu vingi nilivyoona kutoka kwenye changizo zako, ni wazi kuwa Mimi na Wewe hatujengi “Ufalme” mmoja. Mimi ninahubiri Neema na Maisha bora kwa watu, uwajibishaji, Uzalendo na kutokomeza Rushwa kwenye nchi yetu, lakini wewe Kazi kubwa unayofanya ni kuangusha matofali ya ujenzi wa Amani, Haki na Usawa, unavuruga watu waliodhamiria kufanya kazi, lakini kiukweli huwezi kufanikiwa; mark my words.


Hili jina la Wasira ni tatizo sana! Should I denounce my Surname? Is that what you want me to do? Will that help me to acquire the “W.J. Malecela Credibility???” Afterall, I do believe in “added advantages”..Kama ni advantage kwa harakati za ukombozi kuwa na jina la ukoo linalotambulika, then so be it. Inaweza ku-sound vibaya kwenye context nyingine lakini katika hili, i dare say, “The end justifies the Means”..Sikuzaliwa a “Wasira” kwa makosa William, and it is the fact that Iam called Wasira that many people are 1. Enlightened 2. Challenged 3. Encouraged. Watu wanapata matumaini na wanajifunza kuwa Kupigania Uhuru na Maslahi ya Watu ni zaidi ya affairs za “Ukoo” na ni zaidi ya Propaganda za siasa.


William, stop for a minute and think, embu futa rangi za kijani na njano kwa muda and just think of ndugu zako..forget propaganda za siasa, tusichezee maisha ya watu kwasababu tuna uwezo wa kuongea lolote na tuna fursa ya kupata madaraka. Hizi ni roho za watu, wenye haki kama wewe na wanastahili kupata fursa kama wewe, wanastahili kuheshimiwa kama wewe. Watu waliunda serikali na kuuza uhuru wao wa kujifanyia baadhi ya maamuzi ambayo by nature walikuwa na haki ya kujiamulia.. Under the Social Contract Theory of Government Formation, people create a sovereign and they curtail part of their liberty, pay taxes to them and in return wanategemea their government to provide Social services, security and protection, good governance among other things.. Kwa kiwango kikubwa watu wamekosa hivi vitu muhimu hapa Tanzania,ni haki yao kuvipata. Kwanini William hiyo tu isikuume ukaona kuwa kuna haja ya kuangalia Maslahi ya watu zaidi, na hilo ndiyo jukumu la sisi tuliokanyaga darasani, sasa kwanini unabishania mambo yasiyo na msingi na kuacha kushughulika na hoja iliyopo mezani..? au hauna uzalendo kabisa? Has the 30 years you “claim to have politically wasted’ huko Ughaibuni robbed you off of the sense of love for your country and your people?


Just imagine this, Unataka kushindana na mimi Star TV Malecela? Kwanini tushindane? Na tunashindania nini? Kushindania kugombea nafasi nyingi za uongozi na kushinda ndani ya chama kinachoshtumiwa kulemewa na mzigo mzito wa Rushwa? Malecela Really? Can you stoop that low my brother? You are very old William, Umri wako na wangu ni tofauti sana, umri wangu ni mdogo hata kuliko miaka uliyoishi ughaibuni..a competition with Me???


Ona unayoandika William:NAKUNUKUU SASA:
“Hebu linganisha CV hapa uone kama ni fair kwa mimi ku-debate na huyu Kilaza mwenzenu:
1. Nimegombea Kata ya Kivukoni na kushinda kama Katibu.
2. Nimegombea Ujumbe wa CCM Wilaya ya Ilala na kushinda.
3. Nimegombea Ujumbe wa Wazazi Mkoa wa DSM na kushinda.
4. Nimegombea Ujumbe wa Mkutano Mkuu CCM Taifa na kushinda, Mjumbe wa Baraza la Wazazi Taifa na kushinda, Mjumbe wa UVCCM Taifa na kushinda.


- MAJUZI KWENYE MKUTANO MKUU WA TAIFA WA CCM, NIMEGOMBEA NEC VITI 10 BARA, KATIKA WAPIGA KURA 2,000 NIMEPATA KURA 800 NA KUWA MTU WA 12, na yote haya nimeyafanya in only 10 months baada ya 30 years majuu, sasa imagione ningekwua sikuenda majuu kama yeye sasa hivi ningekuwa wapi?
- Sasa hebu weka CV ya huyu Kilaza wenu mtoto wa Wassira mdogo tuone kama kuna balance ya mimi ku-debate naye! ha! ha! YAANI NO WAY ANA JINA TU LA WAZIRI WA CCM WASSIRA!
I MEAN SHAME ON YOU!!KUNILINGANISHA NA HUYU KILAZA!! HA1 HA! HA!” MWISHO WA KUNUKUU…..


Kweli William, kwa Lugha hii, wewe ni kiongozi kweli? na kuna watu kabisa wamekuweka madarakani??
Kwa kukusaidia, do you know that most definitely “Malecela” ni jina kubwa zaidi ya “Wasira”?Ukitaja “Malecela” unataja 1. Makamu wa Kwanza wa rais 2. Waziri Mkuu. huoni kwamba una mzigo mkubwa sana wa kuhakikisha kuwa you dont take to ruins the “good name of your father”, embu tumia basi dhana ya “Added advantage” for the best! You believe am getting cheap popularity just cause nina ndugu mwenye jina hili CCM, embu basi lets see you do it, maana up until now, you are not doing it William. I have seen several of your contributions in many important issues, and anstead of people feeling proud of you, they always complain about you..!! Are you proud of that? Umeshawahi kujifanyia “Tathmini binafsi”?? Please I recommend some “Self Assessment exercise”.


Umeniita kilaza,sijui ukilaza wangu ni nini, well, maoni yako na hayo; Ukilaza ni very “relative”, inawezekana ni Kilaza “ukinilinganisha na WEWE”, itabidi nitafute busara yako ili nijifunze kutoka kwako maana am yet to come across that attribute from you.. lakini unaposema Mwenyekiti hana hata shahada moja,sikia nikwambie na uisajili hii kwenye Masjala ya Akili yako kwamba, WAZALENDO 10 WASIO NA SHAHADA ZA ELIMU YA JUU WANAWEZA KUBADILISHA NCHI YETU IKAWA A BETTER PLACE KULIKO HATA WASOMI 100 WENYE SHAHADA ZA UZAMIVU NA WASIO WAZALENDO, WENYE TAMAA NA UCHU WA MADARAKA NA KUWANIA NAFASI ZA UONGOZI KILA KUKICHA KWA MASLAHI YAO BINAFSI…


Na kwa kukusaidia zaidi William, acha siasa za Personality!! Show your political Maturity..Usijisahau na usiwe na kiburi cha uzima..Uongozi mnaotaka kuturithisha sio wenye sustainability ya mawazo mapana na yenye mantiki ya kusaidia generations to come.. Fikiria watoto wako na wajukuu zako, they need to find a better place to dwell in and they will play happily and celebrate your life, they will put flowers on your grave with tears of joy and pain, that we had a Father and Grandfather William, who fought for our country, he was a HERO..! Lakini, kwa kupotoka huku, unaweza ukajikuta unazikwa na Manispaa!! God forbid!! CHANGE..!!

 
images
V/S
images


WARAKA WA ESTHER WASIRA KWA WILLIAM J. MALECELA
W. J. Malecela, Habari ya leo, Pole sana na hongera kwa majukumu ya "Ujenzi wa Taifa"..
Mimi ni mtu ninayeheshimu sana mawazo binafsi ya watu na huwa sijibu watu hovyo au bila ya kufikiria kwanza; kwahiyo chukua jibu langu/maoni yangu haya, very seriously,maana hii ni "Calculated Response". Katika vitu vingi nilivyoona kutoka kwenye changizo zako, ni wazi kuwa Mimi na Wewe hatujengi "Ufalme" mmoja. Mimi ninahubiri Neema na Maisha bora kwa watu, uwajibishaji, Uzalendo na kutokomeza Rushwa kwenye nchi yetu, lakini wewe Kazi kubwa unayofanya ni kuangusha matofali ya ujenzi wa Amani, Haki na Usawa, unavuruga watu waliodhamiria kufanya kazi, lakini kiukweli huwezi kufanikiwa; mark my words.


Hili jina la Wasira ni tatizo sana! Should I denounce my Surname? Is that what you want me to do? Will that help me to acquire the "W.J. Malecela Credibility???" Afterall, I do believe in "added advantages"..Kama ni advantage kwa harakati za ukombozi kuwa na jina la ukoo linalotambulika, then so be it. Inaweza ku-sound vibaya kwenye context nyingine lakini katika hili, i dare say, "The end justifies the Means"..Sikuzaliwa a "Wasira" kwa makosa William, and it is the fact that Iam called Wasira that many people are 1. Enlightened 2. Challenged 3. Encouraged. Watu wanapata matumaini na wanajifunza kuwa Kupigania Uhuru na Maslahi ya Watu ni zaidi ya affairs za "Ukoo" na ni zaidi ya Propaganda za siasa.


William, stop for a minute and think, embu futa rangi za kijani na njano kwa muda and just think of ndugu zako..forget propaganda za siasa, tusichezee maisha ya watu kwasababu tuna uwezo wa kuongea lolote na tuna fursa ya kupata madaraka. Hizi ni roho za watu, wenye haki kama wewe na wanastahili kupata fursa kama wewe, wanastahili kuheshimiwa kama wewe. Watu waliunda serikali na kuuza uhuru wao wa kujifanyia baadhi ya maamuzi ambayo by nature walikuwa na haki ya kujiamulia.. Under the Social Contract Theory of Government Formation, people create a sovereign and they curtail part of their liberty, pay taxes to them and in return wanategemea their government to provide Social services, security and protection, good governance among other things.. Kwa kiwango kikubwa watu wamekosa hivi vitu muhimu hapa Tanzania,ni haki yao kuvipata. Kwanini William hiyo tu isikuume ukaona kuwa kuna haja ya kuangalia Maslahi ya watu zaidi, na hilo ndiyo jukumu la sisi tuliokanyaga darasani, sasa kwanini unabishania mambo yasiyo na msingi na kuacha kushughulika na hoja iliyopo mezani..? au hauna uzalendo kabisa? Has the 30 years you "claim to have politically wasted' huko Ughaibuni robbed you off of the sense of love for your country and your people?


Just imagine this, Unataka kushindana na mimi Star TV Malecela? Kwanini tushindane? Na tunashindania nini? Kushindania kugombea nafasi nyingi za uongozi na kushinda ndani ya chama kinachoshtumiwa kulemewa na mzigo mzito wa Rushwa? Malecela Really? Can you stoop that low my brother? You are very old William, Umri wako na wangu ni tofauti sana, umri wangu ni mdogo hata kuliko miaka uliyoishi ughaibuni..a competition with Me???


Ona unayoandika William:NAKUNUKUU SASA:
"Hebu linganisha CV hapa uone kama ni fair kwa mimi ku-debate na huyu Kilaza mwenzenu:
1. Nimegombea Kata ya Kivukoni na kushinda kama Katibu.
2. Nimegombea Ujumbe wa CCM Wilaya ya Ilala na kushinda.
3. Nimegombea Ujumbe wa Wazazi Mkoa wa DSM na kushinda.
4. Nimegombea Ujumbe wa Mkutano Mkuu CCM Taifa na kushinda, Mjumbe wa Baraza la Wazazi Taifa na kushinda, Mjumbe wa UVCCM Taifa na kushinda.


- MAJUZI KWENYE MKUTANO MKUU WA TAIFA WA CCM, NIMEGOMBEA NEC VITI 10 BARA, KATIKA WAPIGA KURA 2,000 NIMEPATA KURA 800 NA KUWA MTU WA 12, na yote haya nimeyafanya in only 10 months baada ya 30 years majuu, sasa imagione ningekwua sikuenda majuu kama yeye sasa hivi ningekuwa wapi?
- Sasa hebu weka CV ya huyu Kilaza wenu mtoto wa Wassira mdogo tuone kama kuna balance ya mimi ku-debate naye! ha! ha! YAANI NO WAY ANA JINA TU LA WAZIRI WA CCM WASSIRA!
I MEAN SHAME ON YOU!!KUNILINGANISHA NA HUYU KILAZA!! HA1 HA! HA!" MWISHO WA KUNUKUU…..


Kweli William, kwa Lugha hii, wewe ni kiongozi kweli? na kuna watu kabisa wamekuweka madarakani??
Kwa kukusaidia, do you know that most definitely "Malecela" ni jina kubwa zaidi ya "Wasira"?Ukitaja "Malecela" unataja 1. Makamu wa Kwanza wa rais 2. Waziri Mkuu. huoni kwamba una mzigo mkubwa sana wa kuhakikisha kuwa you dont take to ruins the "good name of your father", embu tumia basi dhana ya "Added advantage" for the best! You believe am getting cheap popularity just cause nina ndugu mwenye jina hili CCM, embu basi lets see you do it, maana up until now, you are not doing it William. I have seen several of your contributions in many important issues, and anstead of people feeling proud of you, they always complain about you..!! Are you proud of that? Umeshawahi kujifanyia "Tathmini binafsi"?? Please I recommend some "Self Assessment exercise".


Umeniita kilaza,sijui ukilaza wangu ni nini, well, maoni yako na hayo; Ukilaza ni very "relative", inawezekana ni Kilaza "ukinilinganisha na WEWE", itabidi nitafute busara yako ili nijifunze kutoka kwako maana am yet to come across that attribute from you.. lakini unaposema Mwenyekiti hana hata shahada moja,sikia nikwambie na uisajili hii kwenye Masjala ya Akili yako kwamba, WAZALENDO 10 WASIO NA SHAHADA ZA ELIMU YA JUU WANAWEZA KUBADILISHA NCHI YETU IKAWA A BETTER PLACE KULIKO HATA WASOMI 100 WENYE SHAHADA ZA UZAMIVU NA WASIO WAZALENDO, WENYE TAMAA NA UCHU WA MADARAKA NA KUWANIA NAFASI ZA UONGOZI KILA KUKICHA KWA MASLAHI YAO BINAFSI…


Na kwa kukusaidia zaidi William, acha siasa za Personality!! Show your political Maturity..Usijisahau na usiwe na kiburi cha uzima..Uongozi mnaotaka kuturithisha sio wenye sustainability ya mawazo mapana na yenye mantiki ya kusaidia generations to come.. Fikiria watoto wako na wajukuu zako, they need to find a better place to dwell in and they will play happily and celebrate your life, they will put flowers on your grave with tears of joy and pain, that we had a Father and Grandfather William, who fought for our country, he was a HERO..! Lakini, kwa kupotoka huku, unaweza ukajikuta unazikwa na Manispaa!! God forbid!! CHANGE..!!



- The King Of All Network Bongo Social Media, kumbe ninawatesa namna hii now I know! ha! ha1 ha!

Le Mutuz!!
 
Mkuu WJ Malecela,

Una lolote kuhusu response hiyo ya CS?

- SIJAONA ANYTHING SWALI LANGU LA MSINGI LILIKUWA NI KAMA HUYU ESTER NI NANI HUKO CHADEMA, JIBU NI MWANAHARAKATI MAARUFU NA MTOTO WA WASSIRA MDOGO, NA PIA BONGO FLAVA!! SO I AM LIKE SIKUJUA MAPEMA MAANA WOULD NOT HAVE WASTED ANY OF MY TIME!!

lE mUTUZ!!
 
- Hiii article ameandika mwenyewe cause ni very low kuliko nilivyoona maandishi yake mengine meaning kwamba yale mengine amekuwa akiandikiwa, najua mnajua kwamba kwa hilo haana pa kutokea ila bado huyu hana anything ni mtoto wa Wassira Mdogo wala sio Tyson!!

Le Mutuz!!

Yaani William wewe ni case Study nzuri sana ya Ufu wa Visionary leaders ndani ya CCM.Unajikakamua hapa ndani ya JF kwa kuanzisha mada controversial ili watu wakuzungumzie, na hii ni kwasababu huna Credentials wala Ideas ambazo zinaweza kujenga Nchi yetu.Tangia nimeanza kukufahamu kwenye huu mtandao hadi Jamboforums sijawahi kujua wala kuona nini unasimamia? Hii ni hatari na wewe ndio aina ya cancer CCM inatakiwa kuzitibu kuhakikisha sustainability yake.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom