Filipo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 9,347
- 5,555
- duh! Great thinking!!
Le mutuz!!
Like father, like son. Son of woman!
- duh! Great thinking!!
Le mutuz!!
- hA! ha! ha! ha! ha! Demokrasia bwana na hii imeandikwa na Great Thinker! ha! ha! ha! ha1 ha!, uko tayari kuongozwa na Sister asiye na lolote zaidi tu ya kuwa mtoto wa WAssira!! ha1 ha! ha!
Le Biig Shoow!!
siamini
macho yangu km dada amekuwa jembe na jasiri kiac hiki....viva
CDM
Mkuu ni PM nitakuunganisha na makamanda wa DC wala usikonde! Mkuu mbona umechelewa M4C crusade itakupita!
Chama
Gongo la mboto DSM
- hA! ha! ha! ha! ha! Demokrasia bwana na hii imeandikwa na Great Thinker! ha! ha! ha! ha1 ha!, uko tayari kuongozwa na Sister asiye na lolote zaidi tu ya kuwa mtoto wa WAssira!! ha1 ha! ha!
Le Biig Shoow!!
Hahaha Chama. Mimi mdomo mzito kuzungumza na makamanda. Niache nijirushe na wakina Tamika, Shenene, Monique and Tichina.
ahaaa haaa mkuu naona na wewe unataka kuingia kwenye crusade kamanda Ester anakusubiri akukabidhi kadi!
Chama
Gongo la mboto DSM
Kwikwikwi, kadi naisubiri ya kamanda Mdee.
haha haaaa Mdee? Chadema hukitaki wenye chama watakukimbiza hata kabla ya kukupa kadi yenyewe
Chama
Gongo la mboto DSM
Mwanajamii na mwanaharakati Esther Wassira ameongea na bongo5.com na kusema kwa sasa hatofanya tena muziki wa Bongo Flava kibiashara na badala yake atajikita kwenye Siasa ili aendelee na harakati za kuwatetea Watanzania ili wapate Maisha bora yenye neema.
Akizungumza katika mahojiano maalumu ambayo utapata fursa ya kuyaangalia hapa chini, Mbunge huyo alisema sababu kubwa ya yeye kuchagua kuchukua uanachama wa Chadema hata kama ukoo wake upo CCM, ni baada ya kufanya uchunguzi na kugundua kuwa Chama cha Chadema kinaonekana kina nia njema na ya dhati ya kuwakomboa na kuwaletea mabadiliko watanzania.
Kwa kifupi, katika mahojiano hayo ameongelea mambo mengi yanayohusu mustakabali wa watanzania, kama Rushwa, Uwajibikaji, Ufisadi, uongozi thabiti, uzalendo, na pia aligusia kama atafanya nyimbo basi ni ya kwaya.
Angalia mahojiano hayo hapa chini kufahamu kwa undani, ameyaongeleaje masuala hayo.
Chanzo: Video: Esther Wasira- ‘Viongozi Waache Kutoa Cheap Answers' | Bongo5
Si unajua mimi natoka Kawe yakhe, Sasa mbunge wangu akinishikisha kadi sio ndio itakuwa mwafaka. Au unataka wanishikishe kadi makamanda wa DMV waliokaa kitapeli.
Hapo kwa kamanda Mdee shangwe tupu! DMV tutakupa Chadema diaspora na Mdee atakabidhi Chadema M4C
Chama
Gongo la mboto DSM
Hivi mkutano lini? Jasusi ajakupa mwaliko?
- Jamani with all due respect, naomba kuuliza huyu Dada ni Mbunge? Ni Kiongozi aliyechaguliwa na wananchi? Au ni self appointed Leader? I mean kumbe na huko Chadema basi mnapenda majina ya baba maana huyu Sister sio Kiongozi, hajachaguliwa na anybody!
- Sasa mbona Chadema mnamshobokea sana? Yaani unaona tatizo lenu Chadema vacuum ya Viongozi, sasa hata Mdada akijitokea ana jina la Wassira huyoo anapewa platform kwamba eti Mwanaharakati? duh!!
- UKAME WA VIONGOZI GENUINE UNAWATESA SANA KUMBE NDIO MAANA MLIKUWA MNALILIA NIJE HUKO? HA! HA! PHEW! LICHAMA LA MEDIOCRE MAANA SASA HATA HUYU SUBIRI KIDOGO TU UTASIKIA NI MBUNGE WA VITI MAAALUM!1 HA! HA! HA!
Le Mutuz!!
Mwenzio alitoka Bunda kwenda Mlimani kusomea sheria ili awasaidie watu wa Bunda. Sio kilaza kama wewe uliyetoka Mtera kwenda kusomea ubaharia. Sijui ulitaka uje kuwasaidia akina Lusinde kuvua samaki huko Mtera!? Eti hana lolote! Wewe una nini zaidi ya mipasho kama Omary Kopa!? TOT ndio panakufaa wewe!!!
OMG!pole kaka utapona