Esther Wasira: Viongozi Waache Kutoa 'Cheap Answers'

Status
Not open for further replies.
- Jamani with all due respect, naomba kuuliza huyu Dada ni Mbunge? Ni Kiongozi aliyechaguliwa na wananchi? Au ni self appointed Leader? I mean kumbe na huko Chadema basi mnapenda majina ya baba maana huyu Sister sio Kiongozi, hajachaguliwa na anybody!

- Sasa mbona Chadema mnamshobokea sana? Yaani unaona tatizo lenu Chadema vacuum ya Viongozi, sasa hata Mdada akijitokea ana jina la Wassira huyoo anapewa platform kwamba eti Mwanaharakati? duh!!

- UKAME WA VIONGOZI GENUINE UNAWATESA SANA KUMBE NDIO MAANA MLIKUWA MNALILIA NIJE HUKO? HA! HA! PHEW! LICHAMA LA MEDIOCRE MAANA SASA HATA HUYU SUBIRI KIDOGO TU UTASIKIA NI MBUNGE WA VITI MAAALUM!1 HA! HA! HA!

Le Mutuz!!

wewe ni wakusamehewa tu..frustration zinakusumbua.
Kitaalamu binadamu ambaye mwili wake haujabalance lazima atakuwa na mapungufu flani..mwili wako juu ni mkubwa sana wakati vimiguu ni vidogo sana..sasa ni kwamba chini kunazidiwa uzito,miguu inabeba mzigo mkubwa sana,hii kitu inapunguza ata uwezo wa mwili kufanya kazi zote..sasa wewe sehemu yako ya ubongo imekuwa imeathilika sana mpaka umepoteza uwezo wa kufikiri kwa sasa
 
dah, mkuu umeua sana, angalia kwenye facebook ameweka picha ya nyumba yake anayojenga
 
Ni kweli kabisa. Nitahakikisha Vikwapa vimekauka na pua zote zina mashine za kunyolea nywele za Puani. Ukishakosa cha kuongea si ina maana ni mabadiliko yanayoonekana?
Yaani kweli akipewa kuongoza nchi ndani ya siku 100 kutakuwa na mabadiliko yanayoonekana?

It's that simple? Really?
 
wewe ni wakusamehewa tu..frustration zinakusumbua.
Kitaalamu binadamu ambaye mwili wake haujabalance lazima atakuwa na mapungufu flani..mwili wako juu ni mkubwa sana wakati vimiguu ni vidogo sana..sasa ni kwamba chini kunazidiwa uzito,miguu inabeba mzigo mkubwa sana,hii kitu inapunguza ata uwezo wa mwili kufanya kazi zote..sasa wewe sehemu yako ya ubongo imekuwa imeathilika sana mpaka umepoteza uwezo wa kufikiri kwa sasa

- hA! ha! ha! ha! ha! Demokrasia bwana na hii imeandikwa na Great Thinker! ha! ha! ha! ha1 ha!, uko tayari kuongozwa na Sister asiye na lolote zaidi tu ya kuwa mtoto wa WAssira!! ha1 ha! ha!

Le Biig Shoow!!
 
Huyu dada balaa, ni Iron Lady mpya wa Tanzania. Kwa kweli ana ujasiri wa ajabu na haonekani anatania!

- REally? Bidada ana only one qualification yaani mtoto wa Wassira? Mnabishaa? ha! ha! ha! ndio maana ya vacuum ya Viongozi, mna ukame wa Viongozi na kukumbatia mediocre!!,

- Tena basi sio Wassira Tyson ila mdogo wake, lakini kwa vile ni Wassira basi ni jembe! ha! ha! ha! jembeeeeeeeh!! ha! ha1

wewe leo umekunywa kiroba nini!
 
Mwanajamii na mwanaharakati Esther Wassira ameongea na bongo5.com na kusema kwa sasa hatofanya tena muziki wa Bongo Flava kibiashara na badala yake atajikita kwenye Siasa ili aendelee na harakati za kuwatetea Watanzania ili wapate Maisha bora yenye neema.

Akizungumza katika mahojiano maalumu ambayo utapata fursa ya kuyaangalia hapa chini, Mbunge huyo alisema sababu kubwa ya yeye kuchagua kuchukua uanachama wa Chadema hata kama ukoo wake upo CCM, ni baada ya kufanya uchunguzi na kugundua kuwa Chama cha Chadema kinaonekana kina nia njema na ya dhati ya kuwakomboa na kuwaletea mabadiliko watanzania.

Kwa kifupi, katika mahojiano hayo ameongelea mambo mengi yanayohusu mustakabali wa watanzania, kama Rushwa, Uwajibikaji, Ufisadi, uongozi thabiti, uzalendo, na pia aligusia kama atafanya nyimbo basi ni ya kwaya.

Angalia mahojiano hayo hapa chini kufahamu kwa undani, ameyaongeleaje masuala hayo.

Chanzo: Video: Esther Wasira- ‘Viongozi Waache Kutoa Cheap Answers' | Bongo5

siamini macho yangu km dada amekuwa jembe na jasiri kiac hiki....viva CDM
 
Last edited by a moderator:
- Jamani with all due respect, naomba kuuliza huyu Dada ni Mbunge? Ni Kiongozi aliyechaguliwa na wananchi? Au ni self appointed Leader? I mean kumbe na huko Chadema basi mnapenda majina ya baba maana huyu Sister sio Kiongozi, hajachaguliwa na anybody!

- Sasa mbona Chadema mnamshobokea sana? Yaani unaona tatizo lenu Chadema vacuum ya Viongozi, sasa hata Mdada akijitokea ana jina la Wassira huyoo anapewa platform kwamba eti Mwanaharakati? duh!!

- UKAME WA VIONGOZI GENUINE UNAWATESA SANA KUMBE NDIO MAANA MLIKUWA MNALILIA NIJE HUKO? HA! HA! PHEW! LICHAMA LA MEDIOCRE MAANA SASA HATA HUYU SUBIRI KIDOGO TU UTASIKIA NI MBUNGE WA VITI MAAALUM!1 HA! HA! HA!

Le Mutuz!!
kipi cha ajabu kwa Esther Wasira kuwa mbunge wa viti maalumu kaka? Kama wewe umeweza kuwa mjumbe wa jumuiya ya wazazi na we have never heard any sensible comments from you, why not Esther? Who proposed u to join chadema? what so special in you , mpaka uamini chadema wanapata shida kutokuwa na wewe? hivi kutembelea nyota ya baba nacho ni kitu weza tamba mbele za watu? Besides that surname which makes u big headed, what else can you be proud of? Beat Esther kwa hoja na si mipasho kama ya taarabu! prove to us that she doesnt deserve to be MP! Kama vilaza wote wale waliojaa bungeni ambao kazi yao ni kupokea posho , kupiga makofi na kuzomea wabunge wa chadema wakiongea nao ni wabunge, of course most of Tanzanians can also be, including Esther. HIVI UKAME WA VIONGOZI UKO CCM AU CHADEMA? ccm haiwezi fananishwa na chama chochote duniani kwa kukosan dira na maamuzi, still wewe kaka unaona vacuum ipo chadema! Chama hakijengwi na PROPAGANDA ZA KIZAMANI; BALI KWA VISION NA MATENDO!
 
Ukimwona mwanamke wa aina hii ujue anamaanisha, haonekani kama anatania

Tumuombee mungu anednelee kulminda na kumfunulia ujasiri zaidi nchi inaangamia kwa kukosa maarifa hasa viongozi wetu wameshaiuza
 
- Jamani with all due respect, naomba kuuliza huyu Dada ni Mbunge? Ni Kiongozi aliyechaguliwa na wananchi? Au ni self appointed Leader? I mean kumbe na huko Chadema basi mnapenda majina ya baba maana huyu Sister sio Kiongozi, hajachaguliwa na anybody!

- Sasa mbona Chadema mnamshobokea sana? Yaani unaona tatizo lenu Chadema vacuum ya Viongozi, sasa hata Mdada akijitokea ana jina la Wassira huyoo anapewa platform kwamba eti Mwanaharakati? duh!!

- UKAME WA VIONGOZI GENUINE UNAWATESA SANA KUMBE NDIO MAANA MLIKUWA MNALILIA NIJE HUKO? HA! HA! PHEW! LICHAMA LA MEDIOCRE MAANA SASA HATA HUYU SUBIRI KIDOGO TU UTASIKIA NI MBUNGE WA VITI MAAALUM!1 HA! HA! HA!

Le Mutuz!!

Unapewa card ya uanachama kwenye TV kisa Wasira.
 
kipi cha ajabu kwa esther wasira kuwa mbunge wa viti maalumu kaka? kama wewe umeweza kuwa mjumbe wa jumuiya ya wazazi na we have never heard any sensible comments from you, why not esther? Who proposed u to join chadema? What so special in you , mpaka uamini chadema wanapata shida kutokuwa na wewe? hivi kutembelea nyota ya baba nacho ni kitu weza tamba mbele za watu? besides that surname which makes u big headed, what else can you be proud of? beat esther kwa hoja na si mipasho kama ya taarabu! Prove to us that she doesnt deserve to be mp! Kama vilaza wote wale waliojaa bungeni ambao kazi yao ni kupokea posho , kupiga makofi na kuzomea wabunge wa chadema wakiongea nao ni wabunge, of course most of tanzanians can also be, including esther. Hivi ukame wa viongozi uko ccm au chadema? Ccm haiwezi fananishwa na chama chochote duniani kwa kukosan dira na maamuzi, still wewe kaka unaona vacuum ipo chadema! Chama hakijengwi na propaganda za kizamani; bali kwa vision na matendo!

- duh! Great thinking!!

Le mutuz!!
 
- duh! Great thinking!!

Le mutuz!!
nilikuwa nadhani wanakuonea wanapokushambulia, but today nimeamini UNATATIZO KAKA! jibu hoja sio kupigia mistari! unasema Ester wasira hana la maana zaidi ya jina wasira. What about you? unalipi la ziada zaidi ya hilo jina MALECELA? huna lolote la msingi unalochangia humu zaidi ya mtu mzima kutumwa na wanaume wenzio upigepige kelele zisizo na msingi! kinachokusumbua ni madaraka ambayo hujui hata unataka kufanya nayo nini, ndio maana unauza heshima yako kwa kujipendekeza uonekane unatetea chama ili upeleke mkono kinywani! shame on you brother!
 
- Jamani with all due respect, naomba kuuliza huyu Dada ni Mbunge? Ni Kiongozi aliyechaguliwa na wananchi? Au ni self appointed Leader? I mean kumbe na huko Chadema basi mnapenda majina ya baba maana huyu Sister sio Kiongozi, hajachaguliwa na anybody!

- Sasa mbona Chadema mnamshobokea sana? Yaani unaona tatizo lenu Chadema vacuum ya Viongozi, sasa hata Mdada akijitokea ana jina la Wassira huyoo anapewa platform kwamba eti Mwanaharakati? duh!!

- UKAME WA VIONGOZI GENUINE UNAWATESA SANA KUMBE NDIO MAANA MLIKUWA MNALILIA NIJE HUKO? HA! HA! PHEW! LICHAMA LA MEDIOCRE MAANA SASA HATA HUYU SUBIRI KIDOGO TU UTASIKIA NI MBUNGE WA VITI MAAALUM!1 HA! HA! HA!

Le Mutuz!!

Willy,

CHADEMA wanaweza kusema wanataka kutoa mfano viongozi wajao waweje. Na huyu si mbunge wala mchaguliwa bali ni mpendekezwa wa kuwatia faraji wanaaotamani uogozi - japo wa njozi- Tanzania.

Utasemaje?
 
Mahojiano haya na Esther Wassira nimeyapenda anavyo onyesha kijana wa Tanzania mwenye nia ya kushiriki katika mabadiliko ya kisiasa na maendeleo ya Tanzania ambayo yatanufaisha walio wengi.

Na kikubwa zaidi ni kuwa yupo katika safu ya CHADEMA ambapo siasa mbadala ndiyo suluhisho la kuleta mabadiliko ya kisiasa na kijamii.

kusema ukweli yeyote yule anayetaka mabadiliko ya kweli awe kijana au mtu wa makamo hawezi kutoa mchango wake wa siasa-mbadala akiwa ndani ya CCM.
 
- Jamani with all due respect, naomba kuuliza huyu Dada ni Mbunge? Ni Kiongozi aliyechaguliwa na wananchi? Au ni self appointed Leader? I mean kumbe na huko Chadema basi mnapenda majina ya baba maana huyu Sister sio Kiongozi, hajachaguliwa na anybody!

- Sasa mbona Chadema mnamshobokea sana? Yaani unaona tatizo lenu Chadema vacuum ya Viongozi, sasa hata Mdada akijitokea ana jina la Wassira huyoo anapewa platform kwamba eti Mwanaharakati? duh!!

- UKAME WA VIONGOZI GENUINE UNAWATESA SANA KUMBE NDIO MAANA MLIKUWA MNALILIA NIJE HUKO? HA! HA! PHEW! LICHAMA LA MEDIOCRE MAANA SASA HATA HUYU SUBIRI KIDOGO TU UTASIKIA NI MBUNGE WA VITI MAAALUM!1 HA! HA! HA!

Le Mutuz!!

w.j malecela, mgombea aliyekosa uungwaji mkono kugombea ubunge E.africa,
swali kwako "kwa nini watoto wa shule wanapata mimba wakiwa mashuleni?"
wazee wa majibu mepesi
 
Status
Not open for further replies.
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom