Ni nani huyo?
Kwamba unamaanisha Nyani Ngabu amezaliwa Marekani?pwa wa uk usa ngumu kuwajua hawa ingawa ni mate wetu
unataka hadi awe maarufu?Hana sifa ya kutangazwa hapa, maana sio maarufu sasa hili tangazo linakuwa useless,..... but RIP.
Hana sifa ya kutangazwa hapa, maana sio maarufu sasa hili tangazo linakuwa useless,..... but RIP.
Nilisoma DIT miaka hiyo ya 2001 mpaka 2004 bahati mbaya sikuweza kumfahamu hope alikuwa ADE kwani mimi nilikuwa nagonga FTC nikumbushe alikuwa ADE anasomea nini. Poleni wafiwa wote na jumuiya nzima ya wahandisi
<br /> <br / ni nani jamani?wekeni wazi ni mwandishi, mbunge,diwani, mtangazaji,mwanamichezo, MEMBER WA JF??Namfahamu na nimekuwa nikimtembelea nyumbani kwake Tabata na hadi alipolazwa pale Hindu Mandal, Ni msiba mzito kwa kweli.....
NI binadamu mwenzio ambaye ameshiriki kikamilifu kulisukuma gurudumu la maendeleo hapa nchini katika fani ya uhandisi wa umeme. ni miongoni mwa wahandisi wanawake ambaye alikuwa na mchango mkubwa katika fani hiyo.<br /> <br / ni nani jamani?wekeni wazi ni mwandishi, mbunge,diwani, mtangazaji,mwanamichezo, MEMBER WA JF??
Innalillah wainnailah rajiuun
unataka hadi awe maarufu?
NI binadamu mwenzio ambaye ameshiriki kikamilifu kulisukuma gurudumu la maendeleo hapa nchini katika fani ya uhandisi wa umeme. ni miongoni mwa wahandisi wanawake ambaye alikuwa na mchango mkubwa katika fani hiyo.
Alikuwa ni Msabato akisali katika kanisa la SDA Tabata kisukulu mlimani. Taarifa nilizozipata jana usiku pale msibani ni kwamba atasafirishwa kwenda Kigoma kasulu kesho kwa mazishi.
<br />Hana sifa ya kutangazwa hapa, maana sio maarufu sasa hili tangazo linakuwa useless,..... but RIP.