Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,564
- 7,973
Ni nani huyo?
Ni nani huyo?
Taarifa iliyonifikia hivi punde ni kwamba Bi. Esther Reuben ameaga dunia muda mfupi uliopita katika hospitali ya Hindu Mandal jijini Da es salaam.
Kwa wale waliosoma Moshi technical secondary school 1993-1996, Technical College Arusha 1998-2000, Dar es salaam Institute of Technology 2001-2004, waliowahi kufanya nae kazi Powertechnics na OTIS pamoja na watu wote mnaomfahamu, poleni kwa msiba huu.
Taarifa zaidi kuhusiana na mipango ya mazishi pamoja na kuhani msiba itafahamika baadae kutokana na maelekezo ya familia yake.
Poleni sana familia, ndugu jamaa na marafiki.
Namfahamu na nimekuwa nikimtembelea nyumbani kwake Tabata na hadi alipolazwa pale Hindu Mandal, Ni msiba mzito kwa kweli.....
Walisoma chuo kimoja na Mwita Maranya.RIP Esther.
Namfahamu na nimekuwa nikimtembelea nyumbani kwake Tabata na hadi alipolazwa pale Hindu Mandal, Ni msiba mzito kwa kweli.....
Vipi na wewe ulisoma Moshi na Arusha technical College ?.
Naam mkuu, alikuwa anaishi tabata.
Hapana, sijasoma huko, nimemfahamu kupitia kwa ndugu yangu ambaye wana uhusiano wa karibu. kwani na wewe umesoma huko?
Esther Reuben ndio bujibuji?
Uneweza kufafanua kidogo aina ya uhusiano wao wa karibu !.Sijasoma huko mkuu.
Nimewasiliana na mdogo wake hivi punde, wako njiani wanarudi nyumbani kwa marehemu Tabata, na msiba utakuwa hapo Tabata Kimanga.
mkuu ahsante kwa update,
unaweza kutoa maelekezo kidogo kwa wale watakaokuwa wanakusudia kufika nyumbani kwa ajili ya kuhani msiba.