Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,564
- 7,970
Taarifa iliyonifikia hivi punde ni kwamba Bi. Esther Reuben ameaga dunia muda mfupi uliopita katika hospitali ya Hindu Mandal jijini Da es salaam.
Kwa wale waliosoma Moshi technical secondary school 1993-1996, Technical College Arusha 1998-2000, Dar es salaam Institute of Technology 2001-2004, waliowahi kufanya nae kazi Powertechnics na OTIS pamoja na watu wote mnaomfahamu, poleni kwa msiba huu.
Taarifa zaidi kuhusiana na mipango ya mazishi pamoja na kuhani msiba itafahamika baadae kutokana na maelekezo ya familia yake.
Poleni sana familia, ndugu jamaa na marafiki.