Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
Katika kutetea maslahi ya wengi lazima wengine tujitoe muhanga, na hili halitapita hivi hivi tutakwenda Mahakamani
Does the law allow that? In Kenye look! Kenyan courts have no jurisdiction to inquire into the internal proceedings of Parliament. In India one can sue!Katika kutetea maslahi ya wengi lazima wengine tujitoe muhanga, na hili halitapita hivi hivi tutakwenda Mahakamani
Kweli kabisaWaende maana itasaidia ku raise awareness kwa wananchi hata kama Mahakama itatupilia mbali madai yao
eti dude! Hii ndio Tanzania bhana mtoa tusi anakula bata lakini mtukanwa kapigwa banWaende angalao wamtibue Ndungai awapige kifungo cha miaka 20 bila kufika karibu na jengo la bunge. Ndungai alimwambia Mnyika "Usinijaribu". Mnyika akadhani ni utani, ghafla akajikuta anatupwa nje ya jengo kama mtoto. Ester na Halima, msimjaribu Ndungai. Kishasema, ataliamsha dude na kutatokea crisis hapa nchini. Ohooo. Hamkumsikia?? Msiliamshe dude.
Acha akili ya uoga
Acha tu mkuu, kama huyo @halimamdee, huku BunjuB tuna swala la soko lina figisu figisu za kufa mtu, sasa sijuwi kwanini kila kukicha yeye matatani tu bungeni?! Kutafuta kiki au ana matatizo ya kufuata sheria bila shuruti?! Maana mbona wabunge wa upinzani wa kike wako wengi tu na huwa wanajenga hoja na kuwakalia kooni chama tawala bila matatizo haya?! Kuna kitu kichwani kwake naona hata Mh, Bulaya kaiga sasa..Njooni jimboni mtusaidie matatizo yetu muweze jijengea kura/kula za baadaye..Watulie warudi jimboni wapige kazi mahakama zetu haziko fair to that extent
Acha tu mkuu, kama huyo @halimamdee, huku BunjuB tuna swala la soko lina figisu figisu za kufa mtu, sasa sijuwi kwanini kila kukicha yeye matatani tu bungeni?! Kutafuta kiki au ana matatizo ya kufuata sheria bila shuruti?! Maana mbona wabunge wa upinzani wa kike wako wengi tu na huwa wanajenga hoja na kuwakalia kooni chama tawala bila matatizo haya?! Kuna kitu kichwani kwake naona hata Mh, Bulaya kaiga sasa..Njooni jimboni mtusaidie matatizo yetu muweze jijengea kura/kula za baadaye..