Ester Bulaya: Tunakwenda Mahakamani

Ester Bulaya: Tunakwenda Mahakamani

Wakati sahihi wa UKUTA ndio sasa.........baada ya muda morale italala. Opposition should Make good use of people's anger against a falling state.
 
Waende angalao wamtibue Ndungai awapige kifungo cha miaka 20 bila kufika karibu na jengo la bunge. Ndungai alimwambia Mnyika "Usinijaribu". Mnyika akadhani ni utani, ghafla akajikuta anatupwa nje ya jengo kama mtoto . Ester na Halima, msimjaribu Ndungai. Kishasema, ataliamsha dude na kutatokea crisis hapa nchini. Ohooo. Hamkumsikia?? Msiliamshe dude.
Mbona awamu hii ya tano ipo kwenye crisis?
 
Watajijua wenyewe huko binafsi sijawahi kuona faida ya mwanasiasa yeyote yule tofauti na porojo za ulaghai tu wabunge wote ni wapumbavu tu majitu mazima yanatoleana matusi kama walevi sisi wananchi tutawaelewa kweli
 
Kwanini wanawafanyia hivyo na mwezi mtukufu huu Shetani kafungiwa nina Mashaka sasa pengine Shetani ni binadamu mwenyewe.. kama haki hazifuatwi basi Shetani wa bungeni keshajulikana ni yupi?
Najuta kufunga na kuomba kwa ajili ya huyo jamaa, Mungu ndie anajua. Nilijua akirudi huenda Bunge lingetengemaa kumbe wapi, mtu. Unaweza kufika mbali sana!!!
 
Waende angalao wamtibue Ndungai awapige kifungo cha miaka 20 bila kufika karibu na jengo la bunge. Ndungai alimwambia Mnyika "Usinijaribu". Mnyika akadhani ni utani, ghafla akajikuta anatupwa nje ya jengo kama mtoto . Ester na Halima, msimjaribu Ndungai. Kishasema, ataliamsha dude na kutatokea crisis hapa nchini. Ohooo. Hamkumsikia?? Msiliamshe dude.
Acha aliamshe nione hiyo crisis maana sijajua ana maana gani.
 
Safi sana hawa wahuni ni lazima kupambana nao dhidi ya uhuni wao unaozidi kukithiri siku hadi siku.

Katika kutetea maslahi ya wengi lazima wengine tujitoe muhanga, na hili halitapita hivi hivi tutakwenda Mahakamani
 
Wanawake maboksa hao.

Waende wakaonyeshe ugangwe huo majimboni, ili wajue kuisoma namba haswa.

Kiki za kupoteza muda na kutamani posho tu
Huyo anaewapa kiburi Mungu atampa pigo ili ajue kuwa kuna mwenye mamlaka zaidi yake.
 
Political engineers hili limekaaje?! Mhimili wa Mahakama vs Mhimili wa Bunge?!
 
wakienda mahakani wakarudi na sheria za bunge zikaruhusu kufukuzwa basi ni vema spika akawafukuza jumla bungeni wasirudi tena.

Makaka poa njoeni hapa muwatetee na matusi yenu.
Mkuu unachongesha Tread?
 
Ivi mishahara watalipwa ? Hela tamu aiseeee huwa nasema siasa ni ajira aliye nitetea kwa kujitoa kwa dhati bila malipo ni Yesu tu.
 
wakafungue kesi ya kikatiba je muwakilishi wa wananchi anaweza zuiwa na kikundi cha wabunge wenzake asiwawakilishe wananchi waliomchagua kwa mwaka mzima?
Inawezekana kabisa kwa mujibu wa sheria na kanuni zinazolipngoza bunge !
 
Waende angalao wamtibue Ndungai awapige kifungo cha miaka 20 bila kufika karibu na jengo la bunge. Ndungai alimwambia Mnyika "Usinijaribu". Mnyika akadhani ni utani, ghafla akajikuta anatupwa nje ya jengo kama mtoto . Ester na Halima, msimjaribu Ndungai. Kishasema, ataliamsha dude na kutatokea crisis hapa nchini. Ohooo. Hamkumsikia?? Msiliamshe dude.
Umekaa na tecno yako ukatype
 
Yaani ni aibu kubwa kwa Ndugai kutosikia neno alilosema yule mpuuzi kuwa kina Mnyika wezi, ila la kuiywa yeye fala lilisikika..huu ni upuuzi mkubwa.
Hata kama hakusikia vipkndi vya bunge huwa vinarekodiwa wangeweza kurejea ili kujiridhisha...! Ila huu ni upuuzi na undumilakuwili uliopindukia.

Ndugai wakati mwingine huwa anapotoka sijui kwa jazba au kukusudia ila Mungu anamuoana atambue hilo!!
 
Back
Top Bottom