![]()
eti dude! Hii ndio Tanzania bhana mtoa tusi anakula bata lakini mtukanwa kapigwa ban
Ndo maana unaambiwa; Mtoto wa mtwana hana haki mbele ya mtoto wa muungwana. Spika hana masikio ya kusikiliza maneno mengine lakini waliyokuwa wanamtukana kule nje ya jengo, kayanasa, Usiombe uingie hukumuni kwenye kesi ya wewe kumpiga kofi mtoto wa hakimu.