Ester Bulaya: Tunakwenda Mahakamani

Ester Bulaya: Tunakwenda Mahakamani

Unaongea km aliyeshikiwa akili, hivi ndugai amekuwa Mungu???? As if umenyweshwa maji ya bendera???

Mkuu;
Nikuulize; Unasoma tu humu JF lakini tumesikia sauti ya Ndungai kuwa yupo tiyari kulianzisha Constitutional Crisis kwenye nchi hii. Wadhani hajui alisemalo?? Kama yu alijua asemalo basi nadhani anajua nguvu yake ipo wapi.
 
Kimsingi maamuzi ya Bunge hayatatenguliwa Mahakamani na Mahakama haiwezi kulazimisha Bunge litengue uamuzi wake. Hivyo kwenda kwao mahakamani hakutabadilisha kitu chochote.
 
Kupoteza mda tu huko mahakamani,wanajijua kuwa wanaenda kucheza tu huko
Acha Tu waende, hata kesi ikitupiliwa mbali faida itapatikana. SI unajua hata hoja au awali ambalo wakili anauliza mahakamani na Kisha kulifuta linaacha impact?

By the way, kwa mwaka Mzima watakuwa hawana majukumu mengi ya kuwabana, watapata muda WA kutosha kupigania haki zao.
 
Nafikiri kuna Jambo la kujadili kuhusu adhabu hizi
Nakuwa na mashaka kama adhabu husika imemlenga nani hasa. Je mbunge au ni yule aliyemtuma? Maana mbunge hajipeleki mwenyewe bungeni Bali anachaguliwa na wakazi wa jimbo husika.
Hivyo kitendo cha kundi moja lenye watu wasio fika 20 kuamua wakazi laki mbili Na ushee kukosa uwakilishi kwa muda wa mwaka mzima nafikiri sio sahihi.
Kwa muda huo, wananchi wanapaswa kuishitaki pia tume ya uchaguzi Kwa kuwa acha bila uwakilishi bungeni Kwa kipindi cha mwaka mzima.
Mimi sio mtaalamu wa mambo ya bunge lakini nafikiri adhabu ilivyotolewa sio sahihi. Kumbe siku moja spika na kalmati yake wanaelewa kutangaza kuwa kuanzia sasa Fulani mbunge ikiwa na maana kuwa wakazi wa jimbo husika hawatakuwa na mwakilishi.
Katiba yetu unayoielewa nini juu sifa na ukomo wa mbunge? Ipo inayoeleza kuwa bunge linaweza kumfuta uwakilishi mhusika Kwa muda wote huo?
Inawezekana kuna makosa yametendwa na wahusika lakini busara haikutumika kutoa adhabu hiyo. Mna lengo kumwadhibu nani?
 
Yana mwisho haya. Kwa sauti ya Chonya wa chilonwa
 
Waende angalao wamtibue Ndungai awapige kifungo cha miaka 20 bila kufika karibu na jengo la bunge. Ndungai alimwambia Mnyika "Usinijaribu". Mnyika akadhani ni utani, ghafla akajikuta anatupwa nje ya jengo kama mtoto . Ester na Halima, msimjaribu Ndungai. Kishasema, ataliamsha dude na kutatokea crisis hapa nchini. Ohooo. Hamkumsikia?? Msiliamshe dude.
mgonjwa yule hajitambui
 
Monkey see Monkey do....Bulaya anaponzwa tu.
 
Back
Top Bottom