Ester Bulaya: Tunakwenda Mahakamani

Ester Bulaya: Tunakwenda Mahakamani

Mambo Mengi sana Mpaka sasa walisema wataenda Mahakamani lakin hawajaenda

1) Bunge la Africa Mashariki uchaguzi

2) Uchaguzi wa Mayor Kndon

3) Bashite na Vyeti n.k

4) ICJ na Ushindi wa Dkt JPM

Labda kwny hili wataenda kweli Mahakamni
 
5. Mnyika kumshitaki askari

Hizo kazi ni faida kwake na familia yake kwangu hawanisaidii lolote
 
Waache wala hawastahiki huruma wamezoea kufanya ujinga ujinga ili wauze sura ndio wakome.

Endeleeni hivyo hivyo baada ya muda mfupi tutakuwa chini ya Rwanda maana kwa sasa tu nategemea hata Gavana wetu atatokea Rwanda.Mkijakushtuka mtoto.si wenu.Endeleeni chuki wakati wenzenu wananichimvia kwenye nafasi zote nyeti mmoja kushtuka warunga sheria wote wanataka Rwanda ndipo mtawakumbuka akina Lema,Mdee,Mnyika Lissu na Bulaya muda unaongea
 
Ukweli utatuweka huru, Ester Bulaya kabadilika, sijui kitu gani anatumia maana kachakaa vibaya vibaya! Sad!

Wewe ndiyo unamuona kachakaa sababu anaitendea haki kazi yake aliyoombabkwa wapiga kura wake.

Subiri ni siku Wanyarwanda wakishashika sehemu zote nyeti ndipo mtajuta sasa hivi tupo na BOT.Baada ya muda mnyarwanda anajichukulia ugavana kilainai,mmoja kushtuka Madini yote Mali ya Rwanda.
 
Wakati sahihi wa UKUTA ndio sasa.........baada ya muda morale italala. Opposition should Make good use of people's anger against a falling state.
Nonsense!
 
Waende angalao wamtibue Ndungai awapige kifungo cha miaka 20 bila kufika karibu na jengo la bunge. Ndungai alimwambia Mnyika "Usinijaribu". Mnyika akadhani ni utani, ghafla akajikuta anatupwa nje ya jengo kama mtoto . Ester na Halima, msimjaribu Ndungai. Kishasema, ataliamsha dude na kutatokea crisis hapa nchini. Ohooo. Hamkumsikia?? Msiliamshe dude.
Unaongea km aliyeshikiwa akili, hivi ndugai amekuwa Mungu???? As if umenyweshwa maji ya bendera???
 
Hawa wasagaji nao hawa shida tupu. Anayejifanya "mume" bila shaka anajiona kuwa ni mbabe na anamwambukiza na mwenzake. Ajabu wanajisahau kuwa wao ni wanawake na ni kioo cha jamii. Mwanamke kukaa anatukana tukana wala siyo vizuri. Hovyo kabisa!
b79c5d9f5e9c7f78a862f1269ea0c526.jpg
 
Mbona awamu hii ya tano ipo kwenye crisis?

Mkuu;
Kama ulimsikiliza Ndungai kasema; Yupo tiyari kuiingiza nchi hii kwenye Constitutional crisis. Kama mahakama itathubutu kuwarudisha bungeni. Ni mahakama gani inataka kuiingiza nchi hii kwenye CC kwa sababu yao? Ask yourself this question. Nadhani Ndungai knows what he is doing
 
Wewe ndiyo unamuona kachakaa sababu anaitendea haki kazi yake aliyoombabkwa wapiga kura wake.

Subiri ni siku Wanyarwanda wakishashika sehemu zote nyeti ndipo mtajuta sasa hivi tupo na BOT.Baada ya muda mnyarwanda anajichukulia ugavana kilainai,mmoja kushtuka Madini yote Mali ya Rwanda.

Acheni majungu. Mnyaruanda gani, semeni mlitaka mtu wenu apewe cheo, kakosa sasa mnaanza kugonga keyboard eti mnyarandwa. Mbona wewe mhutu lakini tunakaa kimya?
 
Acheni majungu. Mnyaruanda gani, semeni mlitaka mtu wenu apewe cheo, kakosa sasa mnaanza kugonga keyboard eti mnyarandwa. Mbona wewe mhutu lakini tunakaa kimya?

Mtu wangu yupi Mkuu sina mtu.For your information nenda katafute huyo MTU na hilo jina asili yake halafu urudi hapa.

I just wish mngejua tunavyozidi kutenganishwa ndivyo hatari inavyozidi kuwa kubwa.

Mie siyo MTU wa kanda ya ziwa pole sana.Ika huyo jamaa tuliyepewa ni Mnyarwanda ninapenda Taifa langu.
 
Back
Top Bottom