Ghosryder
JF-Expert Member
- Jul 6, 2014
- 10,707
- 4,578
Muulize Halima MdeeHuyu mdada aliwafanyaje CCM?
Muulize Halima MdeeHuyu mdada aliwafanyaje CCM?
Kumbe siku hizi uko mlengo tofauti na Lizaboni??Halafu ikifika 2020 utasema subiri 2025. Tushawazoea ninyi!
Hivi baada ya magamba waliokuwa CCM kuondoka na kujiunga CHADEMA bado kuna watu wanaiita CCM chama cha magamba? Mbona itakuwa utani sasa? Ukweli ni kuwa kwa sasa chama cha magamba ni CHADEMA na hilo jambo kwetu sisi tuliokuwa tuna imani na CHADEMA linatuuma sana sana. Tulimbilie wapi kujifariji?
Tyson unachekeshaga, nasubiri CDM ifeKwa hiyo kwa akili yako unadhani kuwa kilichompa ushindi Sugu ni ile mihemko ya bungeni? Subiri 2020 jinsi wabunge wako watakavyosombwa na maji
Ajabu ni kuwa wabunge hao wakipata umaarufu na kupendwa na wananchi wanashangaa tena bila kujua wanavyowatendea wananchi wanaguswa.
Ona kile kitendo cha kumshambulia Sugu bungeni ili kumdhalilisha, na wakatumia zile picha kwenye kampeni kuwa ni Mbunge wa hovyo kilivyo wagharimu.
Sugu ndio Mbunge aliyepata kura nyingi kuliko mgombea ubunge yeyote Tanzania. Kwa maana amekubalika na tena bila hongo. Kumpiga chura teke sio kumkomoa katika safari yake.
Hivi baada ya magamba waliokuwa CCM kuondoka na kujiunga CHADEMA bado kuna watu wanaiita CCM chama cha magamba? Mbona itakuwa utani sasa? Ukweli ni kuwa kwa sasa chama cha magamba ni CHADEMA na hilo jambo kwetu sisi tuliokuwa tuna imani na CHADEMA linatuuma sana sana. Tulimbilie wapi kujifariji?
Hivi kwa wale wakristo mlevi au kahaba akiokoka na kumrudia Mungu wale walokole waliokuwepo wanachukia kwa watu hao kujiunga na kanisa lao? Wewe kama una mawazo ya aina hiyo ni wa ajabu sana. Lengo la Chadema ni kuhakikisha wale wote wenye fikra za ki ccm wanaachana nazo na kubadili itikadi yao.Hivi baada ya magamba waliokuwa CCM kuondoka na kujiunga CHADEMA bado kuna watu wanaiita CCM chama cha magamba? Mbona itakuwa utani sasa? Ukweli ni kuwa kwa sasa chama cha magamba ni CHADEMA na hilo jambo kwetu sisi tuliokuwa tuna imani na CHADEMA linatuuma sana sana. Tulimbilie wapi kujifariji?
Umekaa kimajungu majungu tu na hakuna chochote ukijuacho! Askari hawawezi kumkamata raia mwema hata siku moja!
Lizaboni, kumbuka mlivyojihakikishia 2015 ndo mwisho wa upinzani, na wote mlivyotuhakikishia kuwa, hao akina Sugu, Msigwa, Silinde na wengineo, hawangerudi, mbona wamerudi??Kwa hiyo kwa akili yako unadhani kuwa kilichompa ushindi Sugu ni ile mihemko ya bungeni? Subiri 2020 jinsi wabunge wako watakavyosombwa na maji
Kwa hiyo kwa akili yako unadhani kuwa kilichompa ushindi Sugu ni ile mihemko ya bungeni? Subiri 2020 jinsi wabunge wako watakavyosombwa na maji
Ndoto nyingne zinatishaKwa hiyo kwa akili yako unadhani kuwa kilichompa ushindi Sugu ni ile mihemko ya bungeni? Subiri 2020 jinsi wabunge wako watakavyosombwa na maji
rais wa mbeya? labda kizazi chote kife cha mbeya ccm ni songea huko ambako kupata habar ni kaz ndo watatamba dodoma kule kwa wagogo marogoro uduzungwa had sugu aseme ubunge hatakKwa hiyo kwa akili yako unadhani kuwa kilichompa ushindi Sugu ni ile mihemko ya bungeni? Subiri 2020 jinsi wabunge wako watakavyosombwa na maji
Umeuliza swali la msingi zaidi zaidi maisha yanaendela kua magumuBado upo ndotoni wew...Eti mihemko!? Watu nowdays hawachaguliwi viongozi tena kama ccm mlivyozoea.....kama unasubiri wabunge wa upinzani kupungua utasubiri sana mkuu...labda hii nguvu ya soda ya magu inakuzingua,ebu jiulize tokea magu ameingia umeona unafuu gani wa maisha ya mtu wa kawaida!? Huo usanii.wa kutumbua utafika mwisho hapo ndipo wananchi watapaza sauti zao! Upinzani unahimalika na utaendelea sana kwenye huu uongozi wa magu!