Oooh kumbe ubunge wa viti maalum aliupata kwa kuhonga.
Kama ni mtu wako wa karibu muulize halafu uje ukanushe au uthibitishe.Easter Bulaya, ni mtu wangu wa karibu. Ila mimi sina hizi habari. Nina mashaka na hizi taarifa.
Mandla.
Naona nawe unaingia kwenye rekodi ya hao waliosema mengi kwahiyo historia haita kuacha.
Ester hakuwahi kuwa mwanaCCM.. CCM ilikuwa platform yako ya kujitokeza ktk siasa za Tanzania. Rejea flow ya michango yako mjengon kw kipindi cha 5 yr ulivyokuwa MP. Ulijal maslahi ya Taifa.
Mlikuwa twins na Mh Mdee aliekuwa MP wa Kawe.
CCM haihitaj damu mpya yenye vision kw Taifa kama ww.
UKAWA ndy jukwaa halisi linalokufaa. Ni imani yangu utakuwa pamoja na CDM.
Unanitafutia BAN wewe.....
Mandla.
naona mnatapatapa na tetesi tu..
Nasubir baadae mseme magufuli arudisha form ya ccm na kujiunga chadema...
Hizo illusion zenu hizo zitawamaliza mwaka huu
Tanzania yangu, karibu upinzani mama, huwezi kuwa huru ukiwa ccm, nasikia harafu ya ukombozi.
Wassira kashapigwa mueleka hapa kabla hata kura hazijaanza kupigwa..
naona mnatapatapa na tetesi tu..
Nasubir baadae mseme magufuli arudisha form ya ccm na kujiunga chadema...
Hizo illusion zenu hizo zitawamaliza mwaka huu
ndani ya ccm bila kuhonga huwezi pata cheo kamwe. nilikuwa mbinga juzi mkoani ruvuma. wagombea wa ccm wanashindana kwa kuhonga. mbaya zaidi anayeongoza kwa kuhonga ndo anashabikiwa zaidi na wanaccm.
Siku nyingi nilihisi huyu dada ana kitu tofauti kulinganisha na ninavyowafahamu CCM members na hasa pale alipokuwa akichangia hoja bungeni. Sishangai kuona amechukua uamuzi huo. Kuna dada mwingine aliibuka kishujaa humu jamnvini Nimelisahau jina lake la kwanza lakini la ni ..........Wasira, simsikii tena siku hizi, mwenye taarifa zake atujuze please. Well done E.Bulaya.
Mbunge wa viti maalum ameamua kuitosa CCM, asema atarudi bungeni kivingine kwa sababu hawezi kuhonga.
Rushwa ndani ya CCM ndo imemkimbiza sasa kuhamia upinzani. Afuata nyayo za Lembeli.
Source: Nipashe