Ester Bulaya aitosa CCM, asema hawezi kuhonga

Ester Bulaya aitosa CCM, asema hawezi kuhonga

Huyo dada nilimwona hata kwenye bunge maalum la Katiba akiwa msimamo tofauti na ule wa chichiem wa serikalu 2.
Esther wewe siyo wa kukaa kule ,waachie wazoea rushwa waendelee,
Kuna vijana wengi wanaamini kuwa wataleta mabadiliko wakiwa ndani ya chichiem,hiyo ngumu jamani! System ya chama ikishakuwa corrupt ndo basi tena.
Esther Karibu Upinzani, nakukubali sana we dada!
Uamuzi huo hujakosea na wala hutajuta..ukombozi kamili upo UKAWA!
 
Huyo dada nilimwona hata kwenye bunge maalum la Katiba akiwa na msimamo tofauti na ule wa chichiem wa serikali 2.
Esther wewe siyo wa kukaa kule ,waachie wazoea rushwa waendelee,
Kuna vijana wengi wanaamini kuwa wataleta mabadiliko wakiwa ndani ya chichiem,hiyo ngumu jamani! System ya chama ikishakuwa corrupt ndo basi tena.
Esther Karibu Upinzani, nakukubali sana we dada!
Uamuzi huo hujakosea na wala hutajuta..ukombozi kamili upo UKAWA!
 
ndani ya ccm bila kuhonga huwezi pata cheo kamwe. nilikuwa mbinga juzi mkoani ruvuma. wagombea wa ccm wanashindana kwa kuhonga. mbaya zaidi anayeongoza kwa kuhonga ndo anashabikiwa zaidi na wanaccm.
Khaa!! Hongo si pesa peke yake wewe. Hata ukimpa dada yako au mchepuko wako ubunge wa vitu maalum nalo ni hongo pia. Panua akili hata kidogo tu :glasses-nerdy:
 
Tatizo letu mtu akishajua kuongea kwenye mikutano basi yeye anajiona ndo mtu pekee anayestahil kuongoza na si wengine, atagombea kwa chama gani na nani kamwambia hicho chama kingine hakina mtu makini zaid yake, CDM, NCCR, CUF....? hakuna watu waliopigania hivi vyama nao wana haki ya kuwa wagombea? watu washalishwa sifa za kinafiki kuwa wao wanakubalika zaid ya wengine ndo mana tunawaona wakikumbana na upinzani kidogo wanatangaza kuhama, waanze kugombea huko huko then tuone jinsi gani wataikabili hiyo rushwa na watuletee ushahidi ili tuwaite mashujaa baada ya kushindwa kwa rushwa. Sio lazima wawe viongozi hata kuwa wanachama tu inatosha, hivi vyama vinavyowapokea nashauri viwaweke kwenye uangalizi mpaka uchaguz huu ukipita ndo wawape nafasi ya kuja kugombea mhula ujao.

Uko sahihi mkuu, hili jambo hua linanitatiza sana kwani mpaka kufikia kipindi hiki natumaini kuna majembe kibao ndani ya vyama vyetu ambao walikua tayari na nia ya kugombea nafasi mbalimbali sasa inakuaje mtu alikua CCM ameshindwa huko kupenya kwenye uteuzi anakuja kugombea kwenye vyama pinzani, mtu ukishaumwa na nyoka ugiguswa na jani utashtuka, ombi langu kwa CDM na vyama vingine vyote hakuna kumpa mtu nafasi ya kugombea toka CCM hata kama anakubalika vp eneo husika, cha muhimu ni kutumia wanachama ambao ni wa muda mrefu na ambao wametumia muda na Mali zao kukikuza chama sio kuchukua makapi toka CCM. Mfano kwa Shibuda si ni bora jimbo lingekua ni la CCM tu.
 
Easter Bulaya, ni mtu wangu wa karibu. Ila mimi sina hizi habari. Nina mashaka na hizi taarifa.

Mandla.

Mtu wako wa "karibu" alisahau au alichelewa kukupa hizi habari. Sasa uso kwa uso na Wasira.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom