Ester Bulaya aitosa CCM, asema hawezi kuhonga

Ester Bulaya aitosa CCM, asema hawezi kuhonga

Povu linakutoka kweli,,
Sema Dada, yule sio mama kama wewe!!


Aisee ccm imeharibia watu mawazo kweli, kuwa MAMA ni sifa sio kasfa ndugu, hata ukiwa na miaka 10 ukijifungua mtoto wewe ni mama na ni fahari ya mwanamke yoyote kuwa mama.
 
Hapa Mdee kule Bulaya patachimbika kwelikweli namkubali sana huyu dada
 
Siku nyingi nilihisi huyu dada ana kitu tofauti kulinganisha na ninavyowafahamu CCM members na hasa pale alipokuwa akichangia hoja bungeni. Sishangai kuona amechukua uamuzi huo. Kuna dada mwingine aliibuka kishujaa humu jamnvini Nimelisahau jina lake la kwanza lakini la ni ..........Wasira, simsikii tena siku hizi, mwenye taarifa zake atujuze please. Well done E.Bulaya.

Huyo ni mtoto wa wasira ambaye alishaamua kujiunga upinzani
 
Karibu sana dada yetu kwenye ukombozi safari hii hatupeleki wambunge wa magamba kabisa kwasababu tukiwapa ridhaa ya kutuwakilisha bungeni wanaenda kutusaliti kwa kwenda kupitisha hoja za serikali kishabiki kwa kusema ndiooooooo!!!!.

Kama chibuda na arfiii
 
Zitto huyo anaingia Bunda.

Utaisha lini vituko?Haya Zitto ameingiaje Bunda?Bulaya akiamua kupata ubunge kw kupigiwa kura anaweza ni kati ya wale wasichana au amina dada wachache wakipewa nafasi wanaweza.

Esther Bulayaa ni wewe tu sema tu mama watakani?
 
Last edited by a moderator:
mtaongea mengi sana mpaka kufika october....
Hadi mabubu watasema tu lakn hamtaamini siku mkinyamazishwa

Naona nawe unaingia kwenye rekodi ya hao waliosema mengi kwahiyo historia haita kuacha.
 
Nakumbuka mwaka Jana tulikua nae kule bunda vijijini kuna project ya kilimo tulikua tukifanya pamoja Kwa sababu yeye ndo alikua anaisponsor kitu alichosema ni kuwa Ccm sio mama yake muda wowote anaondoka. Naona kweli maneno yake yametimia Leo. Karibu Dada bulaya kwenye harakati za kweli
 
Zitto huyo anaingia Bunda.

Duuu,leo Ritz ndio upo hoi kabisa yaani umekata tamaa ya kupata mgombea toka ccm hadi unaamua jimbo kukabidhi zzk?by the way nani wa kumchagua zzk akiwa nje ya kigoma?hana umaarufu huo
 
Last edited by a moderator:
Ester hakuwahi kuwa mwanaCCM.. CCM ilikuwa platform yako ya kujitokeza ktk siasa za Tanzania. Rejea flow ya michango yako mjengon kw kipindi cha 5 yr ulivyokuwa MP. Ulijal maslahi ya Taifa.
Mlikuwa twins na Mh Mdee aliekuwa MP wa Kawe.
CCM haihitaj damu mpya yenye vision kw Taifa kama ww.
UKAWA ndy jukwaa halisi linalokufaa. Ni imani yangu utakuwa pamoja na CDM.
 
Mbunge wa viti maalum ameamua kuitosa CCM, asema atarudi bungeni kivingine kwa sababu hawezi kuhonga.

Rushwa ndani ya CCM ndo imemkimbiza sasa kuhamia upinzani. Afuata nyayo za Lembeli.

Source: Nipashe

Tanzania yangu, karibu upinzani mama, huwezi kuwa huru ukiwa ccm, nasikia harafu ya ukombozi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom