Easter Bulaya, ni mtu wangu wa karibu. Ila mimi sina hizi habari. Nina mashaka na hizi taarifa.
Mandla.
ukaribu wenu ni upi?
Easter Bulaya, ni mtu wangu wa karibu. Ila mimi sina hizi habari. Nina mashaka na hizi taarifa.
Mandla.
Rushwa ndani ya ccm ni kama samaki na maji.
Hii ndiyo sumu inayokiteketeza chama cha mapinduzi.
Mkuu mwanamke yeyote mwenye umri wa kuzaa anaweza kuitwa mama. Jee Ester hana umri huo?Povu linakutoka kweli,,
Sema Dada, yule sio mama kama wewe!!
Mandla.
Mbunge wa viti maalum ameamua kuitosa CCM, asema atarudi bungeni kivingine kwa sababu hawezi kuhonga.
Rushwa ndani ya CCM ndo imemkimbiza sasa kuhamia upinzani. Afuata nyayo za Lembeli.
Source: Nipashe
Easter Bulaya, ni mtu wangu wa karibu. Ila mimi sina hizi habari. Nina mashaka na hizi taarifa.
Mandla.
Kalibu dada nakukubali sana mungu akutie nguvu twende tumtoe mkoloni mweusi ccm
Ester tunakuombea, Mungu akutie nguvu kalibu cdm
Niliandika uzi humu wakasema ni tetesi, subiri mtaona.
Stay tuned
Easter Bulaya, ni mtu wangu wa karibu. Ila mimi sina hizi habari. Nina mashaka na hizi taarifa.
Mandla.