Anakaribishwa ndani ya cdm huyo mama ni mpambanaji sana
Kalibu ni aina ya pombe au ni kitu gani?
Kwa jinsi alivyo ihenyesha CCM kwenye Bunge lilopita, ni dhahiri kwamba wangemkata. Wacha aje aungane na Kamanda Mdee.
Mamluki wote watakimbilia ukawa safari hii
Povu linakutoka kweli,,
Sema Dada, yule sio mama kama wewe!!
Mandla.
Ccm bila rushwa ni sawa na gari bila petrol halitaendaMbunge wa viti maalum ameamua kuitosa CCM, asema atarudi bungeni kivingine kwa sababu hawezi kuhonga.
Rushwa ndani ya CCM ndo imemkimbiza sasa kuhamia upinzani. Afuata nyayo za Lembeli.
Source: Nipashe
Huyu, yule wa Mwibara, Deo, Lembeli, waondoke tu CCM maana si mahali pao, wasipoangalia hata kupitishwa wasingepitishwa
Mbunge wa viti maalum ameamua kuitosa CCM, asema atarudi bungeni kivingine kwa sababu hawezi kuhonga.
Rushwa ndani ya CCM ndo imemkimbiza sasa kuhamia upinzani. Afuata nyayo za Lembeli.
Source: Nipashe