straight of hormuz
Member
- Jul 22, 2026
- 10
- 1
Je IT officer wa wapi wa kwetu au utumishiWatu wanaoweza kukubadilishia ni IT officer au focal person wa huo mfumo kwa hapo kwenu
Je IT officer wa wapi wa kwetu au utumishiWatu wanaoweza kukubadilishia ni IT officer au focal person wa huo mfumo kwa hapo kwenu
Wa kwako hapo hapo. Siyo utumishi.Je IT officer wa wapi wa kwetu au utumishi
Mbona afisa utumishi amepambana kubadilisha hio designation lakini bado iko vilevile au inachukua muda kubadilika hadi ifanyiwa approve sehemu nyingine??Wa kwako hapo hapo. Siyo utumishi.
Yeye role yake inahusisha hadi kuwasetia watu vyeo.
Nimeshuhudia inavyofanyika, so ni IT officer au focal person wanaweza kukubadilishia designation.
Mkuu nimekuambia anayebadilisha ni IT officer siyo HR Officer.Mbona afisa utumishi amepambana kubadilisha hio designation lakini bado iko vilevile au inachukua muda kubadilika hadi ifanyiwa approve sehemu nyingine??
Halafu kwakua upo TAMISEMI najua unaelewa jinsi mtu anaweza banwa na kazi kiasi kwamba akichekiwa inabidi akupe majibu ingawa swala hajafuatilia.Mbona afisa utumishi amepambana kubadilisha hio designation lakini bado iko vilevile au inachukua muda kubadilika hadi ifanyiwa approve sehemu nyingine??