ESCROW sio siri tena, mambo yote hadharani

Huyu ni mfia ccm hawezi Fanya chochote hata kama mungeamua kumsifu na kumuabudu usiku na mchana
 
H
Huu ni uchochezi!
 
Nwaigwe Kwani yeye kashughulikia mafisadi wapi? Kesi ya Lugumi imepaishwa,yule wa dakika 7 kaishia wapi? Yule wa bilioni 40 za polisi yuko wapi? Alieuza mashine ya Uhuru yuko wapi?
miTANGANYIKA ni rahisi kuitawala sababu inaamini katika Maneno matupu
 
Hapa ndipo nilipo ona Udhaifu wa TISS...hata DG wa sasa alikuwa kule Bot na alikuwa kwenye kitengo cha Risk Management aliyajuwa haya yote.
TISS, hawana udhaifu wowote bali wanautumikia mfumo ulio udhaifu
 
Singa singa ni mtu hatari sana. Hata kwenye kashfa ya Golden bag pale nchini Kenya alikuwepo tena kwenye kila movie huwa anacheza kwenye upande wa Adui kudadadeki!
 
mwache mungu aitwe mungu mbembewe za mwakyembe na mahakama ya mafisadi, hilo limetua bila kutarajia, na tuone hiyo mahakama ikifanya kazi kwa double standard.
 
mpigania ufisadi alizima lugumi kama anazima mshumaa ataweza escrow!
utasikia kuna majitu wanamsifu jamaa eti anapingana na ufisadi huwa nawashangaa
miTANGANYIKA ni rahisi kuitawala ....sababu inaamini katika Maneno matupu
 
Wenzetu chochote wanachofanya wanahahakisha kina benefit kwa wananchi kwanza. Wana sign contract ambayo itawafaidisha wananchi lakini huku kwetu ni tofauti, maslahi yao mbele wananchi baadae!
Utaambiwa kwani yeye sio mwananchi?
 
mwache mungu aitwe mungu mbembewe za mwakyembe na mahakama ya mafisadi, hilo limetua bila kutarajia, na tuone hiyo mahakama ikifanya kazi kwa double standard.
Maranyingi namchukulia Mwakyembe kama ni msanii wa sharia vile.
 
Achukue hatua kwani alikuwa hajui nani mihusika Mkuu? alijuaje kama prof was innocent kama alikuwa hamjuui muhusika mkuu?. Kwani alipoahidi kuwalinda alimaanisha anawalinda kwa kitu gani walichotenda?watanzania tuamke kama bado tunalala?
 
"Handle With Care". Katika mataifa yetu machanga ambayo Taasisi nyeti ni dhaifu inahitaji umakini mkubwa sana kushughulikia mambo makubwa kama haya.
Kwa sasa wameelekeza nguvu zao zote kwenye makosa ya kutukana Rais mitandaoni.
 
Labda ile mahakama itaanza na haya majizi!mhe nakuombea!
 
Nadhani unajaribu kumuondoa huyo unayemuita Ruge, lakini bado swali kubwa ni je, Ruge na hata huyo Singa walistahili kugawana pesa hizo? Hili ni muhimu kujibiwa. Kama hazikuwa pesa zao, basi wote ni wachafu bila kujali kama alitaka kuzulumiwa na nani.

Jinsi alivyozigawa kuna kitu hapo. Pesa ya halali haiwezi kugawanywa kiasi hicho. Hatuhitaji kuambiwa ni uamuzi wake, common sense hairuhusu jibu la aina hiyo. Je, hao ndo walimpa siri kwamba pesa imechotwa? Je, Nani ktk uongozi wa serikali iliyo timamu anaweza kuruhusu kiongozi kupewa pesa na mtu yeyote kiwango hicho na asiulizwe zimetoka wapi?

Tuwe wakweli wa maouvu. Hakuna haja ya kumtetea mtu muovu hata kama yuko kimya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…