Escrow: Pinda vs Lowassa, Muhongo vs Reginald Mengi, Masele vs Balozi wa uingereza

wahisani wamesitisha trillion of shillings za misaada kwasababu ya upuuzi na uzembe wa watumishi waliopewa dhamana husika.
Endelea kuamini kuwa hizi ni fitna ila huyo Singasinga alichokifanya kwa serikali ya CCM alishakifanya kwa serilali ya KANU na ilidondoka kutokana na ujeuri na viongozi kujivua ufahamu kama wewe ulivyojivua ufahamu na kufanya maamuzi kwa kuongozwa na tumbo bila kujali maslahi ya umma.
Unaweweseka sana. Unadhani hao UKAWA wanaweza kuipindua CCM? Katuuuu
 
Upuuzi mtupu, kwani Lowasa ndio aliomtuma pinda ateme pumba zake kuwa fedha si za umma na kutetea wezi?Mengi ndio aliomtuma Muhongo apotoshe umma? Balozi ndiyo aliomtuma Masele atetee wezi? Zitto ndiyo aliomtuma Maswi asababishe ufisadi?

mapovu yote haya yana maana kuwa sindano imeingia.
 
sawa tatizo watanzania tumeshapandikizwa chuki hasa wabunge wapata elimu hiyo ni hatari kubwa sana

report ya mkaguzi wa hesabu ni zaidi ya elimu na watanzania wamepata elimu hiyo kuwa serikali ya ccm ilipigwa ganzi ya ubongo na tapeli wa kimataifa hadi kufikia kiwango cha fedha nyingi kuchotwa na kupelekea wahisani kusitisha matrillion ya fedha za misaada na kupelekea watanzania kufa mahospitalini bila dawa.
 
Ukiwa kwenye PAY ROLL ya SINGASINGA akili zinakuwa na masizi, hivi hadi ukandwe makalio kwa limao ndiomuwelewe kuwa PAP hakununua hisa za Mechmar kihalali kwa kuwa hisa hizo zipo BVR na hivyo kuimiliki IPTL ni udanganyifu na alipewa fedha kwa udanganyifu.

waliowatuma sasa wako kimyaaa, wanasikilizia, jiandaeni tu na mgawo wa umeme usio na kikomo si mmeendekeza majungu ya akina Mengi na LOWASSA, Prof hivi sasa anasubiriwa na ndege akapae zake shenzi zenu.
 
Unaweweseka sana. Unadhani hao UKAWA wanaweza kuipindua CCM? Katuuuu

kama UKAWA iliwapiga sindano za ganzi viongozi wa ccm hadi wakashiriki wizi wa fedha za umma basi ni haki yenu kuilalamikia UKAWA.

werema nk waliongozwa na tumbo kufanya maamuzi kama wewe unavyotumia tumbo kufanya maamuzi ya kutetea wizi na money laundering iliyofanywa na viongozi hawa wa CCM.
 
PINDA alishaonekana kuwa tishio kwa LOWASSA kuelekea 2015, MUHONGO alishakuwa kizingiti kwa MENGI kuwa wakala wa vitalu vya gesi, Masele alishakwaruzana na Balozi wa Uingereza Maswi na ZITTO hawakuanza mvutano leo.Sisi wengine tunashabikia tu. Yote ni heri lolote liwalo na liwe ila tujiandae pia na athari zitakazojitokeza kutokana na fitina hizi.
Hakuna hoja hapa zaidi ya hiyo ya Mengi.....To be honest Muhongo alikuwa sahihi kuhusu udalali wa Mengi kwenye gesi......
 
Hakuna hoja hapa zaidi ya hiyo ya Mengi.....To be honest Muhongo alikuwa sahihi kuhusu udalali wa Mengi kwenye gesi......

kwa kuzingatia report ya CAG na report ya PCCB Pr.Muhongo amedanganya bunge na umma wa tanzania kuwa pesa za ESCROW ni za IPTL na sio za umma.
kama kiongozi wa umma ni dhahiri ameshiriki kuaminisha na kupelekea maamuzi ya kuruhusu uchotwaji wa peza za umma.
sasa kama Reginald Mengi ni waziri wa nishati na madini endeleeni kumuingiza huku ila tanzania na dunia vimeshuhudia wizi wa wazi uliofanywa na viongozi hawa wa CCM pasipo shaka yoyote.
 
acha kuwatetea wezi. hao ni wezi tu na jela panawahusu sana japokuwa serikali hii ya mr. dhaifu haitafanya kitu. inakera kweli kweli.

PINDA alishaonekana kuwa tishio kwa LOWASSA kuelekea 2015, MUHONGO alishakuwa kizingiti kwa MENGI kuwa wakala wa vitalu vya gesi, Masele alishakwaruzana na Balozi wa Uingereza Maswi na ZITTO hawakuanza mvutano leo.
Sisi wengine tunashabikia tu. Yote ni heri lolote liwalo na liwe ila tujiandae pia na athari zitakazojitokeza kutokana na fitina hizi.
 
waliowatuma sasa wako kimyaaa, wanasikilizia, jiandaeni tu na mgawo wa umeme usio na kikomo si mmeendekeza majungu ya akina Mengi na LOWASSA, Prof hivi sasa anasubiriwa na ndege akapae zake shenzi zenu.
report ya CAG na PCCB imetoa facts na evidence kuwa viongozi wa CCM wameshiriki kwenye kuchota peza za umma hadi wahisani wamesitisha hisani ya trillions of shillings za bajeti ya 2013/2014
 
PINDA alishaonekana kuwa tishio kwa LOWASSA kuelekea 2015, MUHONGO alishakuwa kizingiti kwa MENGI kuwa wakala wa vitalu vya ogesi, Masele alishakwaruzana na Balozi wa Uingereza Maswi na ZITTO hawakuanza mvutano leo.
Sisi wengine tunashabikia tu. Yote ni heri lolote liwalo na liwe ila tujiandae pia na athari zitakazojitokeza kutokana na fitina hizi.
[/QUOT
Ukifanya uozo hatuwezi kukusifia hata kama wewe ni padri na sheikh.. upuuzi uliofanyika hapa Wa kukwapua kodi za wananchi na kuichezea shere serikali ya watz.. na kwakuwa walitumia nafasi waliyonayo kuunyamazisha umma ili wapige pesa huo sio uzalendo.. kinachostahili nikuwapisha wengine.. me nnachoona wanatuchelewesha tu kujipatia pesa zetu kutoka Kwa wahisani tukanunue dawa za watz wanaokufa kama utitiri
 
Back
Top Bottom