PINDA alishaonekana kuwa tishio kwa LOWASSA kuelekea 2015, MUHONGO alishakuwa kizingiti kwa MENGI kuwa wakala wa vitalu vya ogesi, Masele alishakwaruzana na Balozi wa Uingereza Maswi na ZITTO hawakuanza mvutano leo.
Sisi wengine tunashabikia tu. Yote ni heri lolote liwalo na liwe ila tujiandae pia na athari zitakazojitokeza kutokana na fitina hizi.[/QUOT
Ukifanya uozo hatuwezi kukusifia hata kama wewe ni padri na sheikh.. upuuzi uliofanyika hapa Wa kukwapua kodi za wananchi na kuichezea shere serikali ya watz.. na kwakuwa walitumia nafasi waliyonayo kuunyamazisha umma ili wapige pesa huo sio uzalendo.. kinachostahili nikuwapisha wengine.. me nnachoona wanatuchelewesha tu kujipatia pesa zetu kutoka Kwa wahisani tukanunue dawa za watz wanaokufa kama utitiri