dogojanja 87
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 882
- 213
Upo sawa kabisa mkuu,hii ni vita ya vigogo,wengi wetu tunafuata mkumbo tu.tutaona athari zake baada ya muhongo na maswi kutolewa na mikakati mizito ya waliokua madalali wa umeme na wavizia udalali wa vitalu vya gesi.tujiandae kurudi kule tulikokua tumeanza kutoka (kwenye migao mikubwamikubwa ya umeme)