Lizaboni
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 33,894
- 20,372
Unaweweseka sana. Unadhani hao UKAWA wanaweza kuipindua CCM? Katuuuuwahisani wamesitisha trillion of shillings za misaada kwasababu ya upuuzi na uzembe wa watumishi waliopewa dhamana husika.
Endelea kuamini kuwa hizi ni fitna ila huyo Singasinga alichokifanya kwa serikali ya CCM alishakifanya kwa serilali ya KANU na ilidondoka kutokana na ujeuri na viongozi kujivua ufahamu kama wewe ulivyojivua ufahamu na kufanya maamuzi kwa kuongozwa na tumbo bila kujali maslahi ya umma.