Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,818
- 40,584
Ni movie inahusisha mbinu na akili zaidi. Watu waliozoea ngumi ngumi hawawezi kuielewa maana haina ngumi.Wakuu hii movie mashine au chenga nipotezee