ErickB52 Kakamatwa Mwanza

Imbombo ngafu! Si aliniambia anafanya biashara ya samaki nowdays! Ndio yamekuwa haya??

juzi akanipgia simu eti niko my charminglady wako nimemtoa out, unadhani nilimwambia kitu? Leo nasikia kaswekwa ndani kwa tabia zake za kifedhuli na kuchefua. Narudi mwanza niwahonge mapolisi wambambike kesi ya bangi aone ukarimu wa watu wa mwanza
 
Last edited by a moderator:

mh, me sikuwa naye my huz. hebu mpigie yule nethi jirani yetu atakwambia kama nshawahi kutoka humu wodini!
 
Last edited by a moderator:
We bidada ndo nini kumchuria mwana wa mwanamke mwenzio. come this way my son Erickb.
Mamndenyi nipo mama,hawa mabinti wametaka kuniua aisee dah nimewatoroka na maafande wao ila ntarudi tena kuendeleza zogo
 
Last edited by a moderator:
juzi akanipgia simu eti niko my charminglady wako nimemtoa out, unadhani nilimwambia kitu? Leo nasikia kaswekwa ndani kwa tabia zake za kifedhuli na kuchefua. Narudi mwanza niwahonge mapolisi wambambike kesi ya bangi aone ukarimu wa watu wa mwanza

Ha ha haaaa!!! Wala usihangaike mkuu...wee njoo kangu nitakupeleka kwa yule karumanzila akahamishie sehemu zake za siri usoni.
 
Back
Top Bottom