ErickB52 Kakamatwa Mwanza

ErickB52 Kakamatwa Mwanza

Nimeshajua alipo, soon na mwaga ushahidi.

Yaani hapa nimechoka, ndio tumemaliza centro hapa jamaa kaachiwa kwa masharti ya kutoondoka Mwanza hadi amalize ishu mi nimerejea zangu home nimewaacha kwenye taxi na charminglady, wameniambia sijui wanaenda tafuta gesti. Nshajichokea
 
Last edited by a moderator:
Mbona haraka ya kukana, mi naona jamaa kaundiwa zengwe na wana chitchat humu humu nitashuka na mapicha muda si mrefu

Zengwe atakuwa ameundiwa na wale wenye wanawake zao! Kuna waliolizwa nae humu!! Heri mimi na mai waifu wangu hatujaunganishwa nusu nusu! Exactly mwili mmoja! Lol...
 
Zengwe atakuwa ameundiwa na wale wenye wanawake zao! Kuna waliolizwa nae humu!! Heri mimi na mai waifu wangu hatujaunganishwa nusu nusu! Exactly mwili mmoja! Lol...

Waeleze kabisa hubby!! Hivi Arushaone hausiki kweli?
 
Last edited by a moderator:
Huo ni urongo Elizabeth Dominic na kama hutamuomba msamaha naita na kumlipa wakili wa hapa uchukuliwe hatua kwa kosa la kumdhalilisha member mwenzako kwa uongo!
 
Last edited by a moderator:
Yaani hapa nimechoka, ndio tumemaliza centro hapa jamaa kaachiwa kwa masharti ya kutoondoka Mwanza hadi amalize ishu mi nimerejea zangu home nimewaacha kwenye taxi na charminglady, wameniambia sijui wanaenda tafuta gesti. Nshajichokea

Pole sana. Huyo charminglady katoka wapi tena! Yaani Erickb52 "anakula raha katikati ya matatizo!". Huyu kijana hafai. Sasa nenda kapumzike, kesho utaongea na vyombo vya habari!
 
Last edited by a moderator:
Yaani hapa nimechoka, ndio tumemaliza centro hapa jamaa kaachiwa kwa masharti ya kutoondoka Mwanza hadi amalize ishu mi nimerejea zangu home nimewaacha kwenye taxi na charminglady, wameniambia sijui wanaenda tafuta gesti. Nshajichokea

tafadhali shost, usinivunjie ndoa yangu. mwenzio nipo bedrest,mama kijacho tena bdo one week niîtwe mama. me hata cjui ni nini chaendelea
 
Last edited by a moderator:
Huyo jamaa ni rafiki yake wa karibu sana! Anafahamu issue zote za Erickb52 na wanatunziana siri! Si unaona pofu linavyomtoka hapo juu!

Nahisi Erickb52 amenyang'anywa simu zake na ndio maana hajibu haya mashambulizi!!!
 
Last edited by a moderator:
kwa habari zilizothibitishwa na mkemia mkuu wa serikali. ni kweli kakamatwa eneo tajwa. kwa taarifa zaidi. . . . usikae mbali na mtandao wako wa kujamiiana!

mbona taarifa zinasema ulikuwa nae? Mmefumaniwa nae au? Anyway, ngoja nisubiri kesho!
 
Back
Top Bottom