Eric Shigongo, umemwona kaka yako?

Eric Shigongo, umemwona kaka yako?

Kauli yoyote atakayo inena JPM lazima kundi fulani lipinge tu, kwa kuwa hawana sera nyingine kama sio ya kukaa golini na kusubiri kauli! Pathetic walahi!
China na nchi za kiarabu huwa hawana mchezo kabisa!
Kwa sababu wote wanalipa koɗi ili jiwe aishi
 
Erick shigongo ni kaka yetu ambaye ni mfano wa kuigwa, he emerged from the great dark na kubadilisha historia ya maisha yake kutoka kwenye umaskini uliokithiri hadi ukwasi; usijifananishe naye kabisa. Sasa nije kwenye post yako, hakuna nchi ambyo wafungwa kazi yao ni kulala tu. Mabarabara unayoyaona Tz mengi yamejengwa na wafungwa wa huko Ulaya, wanaletwa huku kama adhabu. Ni gharama sana kumtunza mfungwa ambaye haingizi chochote.

Pia mwacheni rais wetu airudishe nchi kwenye mstari. Moja ya waaaathirika wakubwa wa utawala huu ni mimi, I was paid leave allowances 4mil kila mwaka zimetolewa sasa nalipwa chini ya laki 4, nlikuwa nalipwa nyumba 200000/= kila mwezi nimeondolewa but still naona sijaonewa kabisa and I deserve this sababu walizotoa ni genuine. So rais wangu anaenda vizuri sana

Wewe umebatizwa kuwa masikini, so please acha wasioupenda waukatae, ungekuwa karibu kweli ningekunasa kofi haramu wewe
 
Erick shigongo ni kaka yetu ambaye ni mfano wa kuigwa, he emerged from the great dark na kubadilisha historia ya maisha yake kutoka kwenye umaskini uliokithiri hadi ukwasi; usijifananishe naye kabisa. Sasa nije kwenye post yako, hakuna nchi ambyo wafungwa kazi yao ni kulala tu. Mabarabara unayoyaona Tz mengi yamejengwa na wafungwa wa huko Ulaya, wanaletwa huku kama adhabu. Ni gharama sana kumtunza mfungwa ambaye haingizi chochote.

Pia mwacheni rais wetu airudishe nchi kwenye mstari. Moja ya waaaathirika wakubwa wa utawala huu ni mimi, I was paid leave allowances 4mil kila mwaka zimetolewa sasa nalipwa chini ya laki 4, nlikuwa nalipwa nyumba 200000/= kila mwezi nimeondolewa but still naona sijaonewa kabisa and I deserve this sababu walizotoa ni genuine. So rais wangu anaenda vizuri sana
Safi sana wewe ni mzalendo inapaswa ipunguzwe mpaka 200 000 .
 
Inawezekana, watu walikuwa hawajui haki zao (HR na wahasibu wengine walikuwa wanakubania haki na wewe kwa sababu hufatilii haki hizo inakula kwako), na ama wengine walikuwa wana'pora' fedha wanazoaminiwa kuendesha 'miradi' kwa fujo kiasi hawajui haki zao ni nini!
----
Maelezo yangu hapo juu hayapingi ulichoandika bali naongezea.
Nakubaliana kabisa na maelezo yako! Hata hivyo, kutokana na jibu alilotoa jamaa amedhirisha wazi kwamba ni kweli alidanganya kama nilivyokuwa nimemuambia!!!!
 
Acha wivu usio na mpango Mkuu. Kwa nini Watanzania tunapenda kuwa against na watu ambao wana mafanikio? Huwezi jilinganisha chochote na Shigongo, he emerged from nothing and through hard struggling, he is somewhere now kiasi kwamba unaweza kuanza kukaa na kumjadili. Wote tukiwa maskini nani atamsaidia mwenzake? SMH!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom