Eric Shigongo, umemwona kaka yako?

wiseboy.

JF-Expert Member
Aug 11, 2014
2,932
4,534
Kati ya waandishi waliowahi kutumia kalamu zao vibaya, wewe unaongoza. Na hakika historia itakuhukumu vibaya sana.

Kwanza umekuwa ukiingilia faragha za watu ili utengeneze pesa, ingekuwa kwenye mataifa yanayojitambua ujinga huo usingejaribu. Ulitumia muda mwingi wakati wa kampeni kuhamasisha watu wapige kura ukidai unaipenda Tanzania kumbe unaipenda CCM. Kuna tofauti kubwa Sana Kati ya Tanzania na CCM, CHADEMA, CUF na mengineyo. Tanzania ni bora kuliko hivyo vyama.

Umekuwa ukienda kuwatembelea wafungwa na kisha unalia pamoja nao, ila kaka yako uliyedai anafaa sana, kasema wapigwe tu maana hakuna namna.

Ingekuwa unaipenda Tanzania usingeitumia kalamu yako vibaya, unakera sana wewe.
 
Erick shigongo ni kaka yetu ambaye ni mfano wa kuigwa, he emerged from the great dark na kubadilisha historia ya maisha yake kutoka kwenye umaskini uliokithiri hadi ukwasi; usijifananishe naye kabisa. Sasa nije kwenye post yako, hakuna nchi ambyo wafungwa kazi yao ni kulala tu. Mabarabara unayoyaona Tz mengi yamejengwa na wafungwa wa huko Ulaya, wanaletwa huku kama adhabu. Ni gharama sana kumtunza mfungwa ambaye haingizi chochote.

Pia mwacheni rais wetu airudishe nchi kwenye mstari. Moja ya waaaathirika wakubwa wa utawala huu ni mimi, I was paid leave allowances 4mil kila mwaka zimetolewa sasa nalipwa chini ya laki 4, nlikuwa nalipwa nyumba 200000/= kila mwezi nimeondolewa but still naona sijaonewa kabisa and I deserve this sababu walizotoa ni genuine. So rais wangu anaenda vizuri sana
 
Wafungwa wafanye kazi mbona nchi zingine wanafanya kazi mfano rwanda nimeshuhudia kwa macho yangu wafungwa wakilima mpunga

...unajua lolote kuhusu miradi ya Magereza? Ulishawahi kujisumbua kidogo tu kutafuta habari kuhusu kazi zinazofanywa na hawa ndugu zetu walioonwa na sheria ikaaamuliwa watunzwe mahali warekebishwe tabia?

Usiamini kila linalosemwa na mwanasiasa hata akiwa rais
 
Jini Kisiranii
Ni mfanyakazi wa kwanza duniani asiyefahamu nini maana ya paid leave allowance let alone house allowance!

Back in the days shafanya sana as Online Freelancer! Mara nyingi kila nilipopata mkataba unaozidi mwaka mmoja; one of the benefits ilikuwa ni paid leave. Hiyo ni freelancing; virtual working, maarufu kama online jobs; Employer/Client humjui, hakujui... no physical interaction; seuze desk job!!

Kwanza unaonekana muongo! Huwezi kuwa unalipwa paid leave Sh. 4M halafu stahiki yako ya house allowance iwe Sh. 200K.

Laki 2 ni gharama ya chumba kimoja (self) tu Uswahilini wakati kwa serikalini anayefikia kulipwa 4M ni boss kwelikweli ambae there's no way anaweza kulipwa house allowance ya kumwezesha kuishi Uswahilini, tena kwenye chumba kimoja!!

Peleka uongo wako Lumumba mtu usiyefahamu hata uwiano kati ya paid leave allowance na house allowance!!
 
Ni mfanyakazi wa kwanza duniani asiyefahamu nini maana ya paid leave allowance let alone house allowance!

Backnowledge in the days shafanya sana as Online Freelancer! Mara nyingi kila nilipopata mkataba unaozidi mwaka mmoja; one of the benefits ilikuwa paid leave. Hiyo ni freelancing; virtual working, maarufu kama online jobs...seuze desk job!!

Kwanza unaonekana muongo! Huwezi kupata paid leave TSH. 4M halafu house allowance upate sh. 200K.

Laki 2 ni gharama ya chumba kimoja (self) tu Uswahilini wakati kwa serikalini anayefikia kulipwa 4M ni boss kwelikweli ambae there's no way anaweza kulipwa house allowance ya kuishi Uswahilini kwenye chumba kimoja!!

Wakati nafikiria cha kumjibu jamaa nikakuta ushamjibu tayari..!!!
 
ndo maana nikasema it was wrong
 
Wafungwa wafanye kazi mbona nchi zingine wanafanya kazi mfano rwanda nimeshuhudia kwa macho yangu wafungwa wakilima mpunga
kwani tanzania wafungwa hawafanyi kazi, nimeshuhudia kwa macho yangu wafungwa wakilima mpunga katavi gereza la kalilankulukulu tena heka za kutosha

yaani ww unaamini kuambiwa wafungwa wanaishi kwa raha kama sheratoni, wanapigika kule si mchezo
 
Kwa waojua wafungwa wa gereza la Karanga mosh naomba atoe ushahid man siyo kwa mashamba yale walonayo had kiwanda cha viatu vya ngozi.
alafu kwel mtu nae anaskia stor za vijiwen nae anatangazia taifa hoo wafungwa ndo wamejenga barabara.
 
Ni mfanyakazi wa kwanza duniani asiyefahamu nini maana ya paid leave allowance let alone house allowance!

Backnowledge in the days shafanya sana as Online Freelancer! Mara nyingi kila nilipopata mkataba unaozidi mwaka mmoja; one of the benefits ilikuwa paid leave. Hiyo ni freelancing; virtual working, maarufu kama online jobs...seuze desk job!!

Kwanza unaonekana muongo! Huwezi kupata paid leave TSH. 4M halafu house allowance upate sh. 200K.

Laki 2 ni gharama ya chumba kimoja (self) tu Uswahilini wakati kwa serikalini anayefikia kulipwa 4M ni boss kwelikweli ambae there's no way anaweza kulipwa house allowance ya kuishi Uswahilini kwenye chumba kimoja!!

Peleka uongo wako Lumumba mtu usiyefahamu hata uwiano kati ya paid leave allowance na house allowance!!
Mkuu kunywa supu na chapati nitalipa. Well answered bro. Kuna mijitu na mahaba kipofu kiasi cha kuita kinyesi keki hata kama kinawakera ili tu kusifia uoza wanaoupenda.
 
Wafungwa wafanye kazi mbona nchi zingine wanafanya kazi mfano rwanda nimeshuhudia kwa macho yangu wafungwa wakilima mpunga
Tofautisha kati ya kufanyakazi za uzalishaji na kazi za kumkomoa mtu kisa yeye ni mfungwa.

"Unakuta hata maaskari na watumishi hawana nyumba za kukaa na wafungwa wapo tena wa bure kabisa ambao unaweza kuwaambia wafyatue matofali na teke ukawapiga. Askari huna pa kulala na wafungwa wapo, lakini unawatafutia Bajeti ya Serikali," Rais John Magufuli.
 
Wafungwa wafanye kazi mbona nchi zingine wanafanya kazi mfano rwanda nimeshuhudia kwa macho yangu wafungwa wakilima mpunga
Kauli yoyote atakayo inena JPM lazima kundi fulani lipinge tu, kwa kuwa hawana sera nyingine kama sio ya kukaa golini na kusubiri kauli! Pathetic walahi!
China na nchi za kiarabu huwa hawana mchezo kabisa!
 
Hakuna mtu hatar hapa Tanzania kama Shigongo,huyu jamaa hata huo utajir wake kadhulumu watu wengi sana kama akna Abbasi Mwinyi,Wasanii na watu anaowabambikia skendo then wanaenda kumwona kimyakimya

Shigongo amekuwa kwenye upande wa CCM siyo kwamba anaipenda CCM,ni kwa sababu jamaaa alikuwa analitaka jimbo la Buchosa (hapa alikuwa anajua akiupata ubunge wa Buchosa lazma pia atateuliwa kuwa Wazir wa habar au msemaji wa Taasisi nyeti ya serikali),matokeo yake akapigwa chini...huyu jamaa pia inavyosemekana ni mlokole na huwa anawagonga mpaka wake za watu na usisahau kuwa ndye anayemiliki Corner bar (then connect the dots)
 
kwani tanzania wafungwa hawafanyi kazi, nimeshuhudia kwa macho yangu wafungwa wakilima mpunga katavi gereza la kalilankulukulu tena heka za kutosha

yaani ww unaamini kuambiwa wafungwa wanaishi kwa raha kama sheratoni, wanapigika kule si mchezo
Gerezani uwe umekaa tu ni shida na tabu huyu rais hajawahi kukaa hata selo walah!
 
Kauli yoyote atakayo inena JPM lazima kundi fulani lipinge tu, kwa kuwa hawana sera nyingine kama sio ya kukaa golini na kusubiri kauli! Pathetic walahi!
China na nchi za kiarabu huwa hawana mchezo kabisa!
Ngoja mwanao wazazi na ndugu yako wafungwe kama utarudi hapa na hayo maujinga yako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom