Eric Shigongo, umemwona kaka yako?

Eric Shigongo, umemwona kaka yako?

Kuna majitu makatili kama wachina na wakorea au waarabu?
Haya mambo ya unafiki mkuu ndiyo yanayo angamiza nchi yetu, sasa MAMA TANZANIA ameamka walahi!
Hata waarabu na wachina ni afadhali kuliko jiwe, angalau hao wengine wanatoa hukumu kwa sheria zao, hapa kwetu sheria ni jiwe anasema wafyatue matofali na kuwapiga mateke, hii mateke kaongeza yeye!
 
Wafanyishwe kazi tu, hamna namna walahi!
Tena wakitoka watakuwa sio wavivu, Maana wamesha zoea kazi walahi
Raisi wenu alivyo (primitive) IPO Siku atasema wagonjwa na wanafunzi nao wafanyishwe kazi alafu kama kawa mtashangilia upuuzi
 
wabongo mnazidi kuchukulia poa sana vitu vya msingi....na hii itakuja kutuhukumu vibaya sana.
 
Jamaa una mshambulia bure kaka yako anapata ukwasi kwa kuwalisha watu upumbavu. Kama ni mfano wa kuigwa tunao wauza unga nao ni mfano wa kuigwa? Maana wana polomosha mijengo na kututombea Dada zetu. Huyo ni tapeli anae tumia ujinga wa watu vizuri hasa wanawake na story za magazeti zinazo tabirika
 
Naipenda bongo, wakushauriwa waamue wamekua washauri na wakushauri wamekuwa washuriwa.
 
Kauli yoyote atakayo inena JPM lazima kundi fulani lipinge tu, kwa kuwa hawana sera nyingine kama sio ya kukaa golini na kusubiri kauli! Pathetic walahi!
China na nchi za kiarabu huwa hawana mchezo kabisa!
nchi za kiarabu na uchina hawana upuuzi wa kuonea kundi flani tu. hapa kwetu kuna mbunge alikamatwa na nyara za serikali je yuko wapi sasa ivi aya sawa kangi lugola alituhumiwa kuomba rushwa kesi ikafutwa kijanja janja

acha kuleta mifano mfu mkuu
 
Mbona wafungwa Tz wanafanya kazi? Wafungwa walikua wanakuja kufanya kazi mpaka kwa marehemu Kingunge.

Moshi wanalima Karanga. Na ukonga nilikuta wanafyatua matofali na utengenezaji samani.

Pengine raisi hajui na walio bize kubishana hapa hawajui pia.
atajulia wapi muda wote anawaza shilawadu
 
Kauli yoyote atakayo inena JPM lazima kundi fulani lipinge tu, kwa kuwa hawana sera nyingine kama sio ya kukaa golini na kusubiri kauli! Pathetic walahi!
China na nchi za kiarabu huwa hawana mchezo kabisa!
Si vizuri kutetea uongo. Kuna mfungwa gani hapa TZ ambaye hafanyi kazi? Nenda magerezani angalia viwanda, mashambani angalia wanavyozalisha. Mfungwa wa TZ asiyefanya kazi yupo Isanga anasubiri kunyongwa otherwise kila mfungwa ana kazi. Yawezekana akina Sugu walipewa kazi ya kufundisha siasa au kuimba. Nayo kazi. Rais asitumie lugha mbaya kuonyesha kuwa wafungwa ni wa kuteswa tu. Ipo siku.
 
Unaleta uzalendo wakati wenzako wanakula mema ya nchi.
 
Kauli yoyote atakayo inena JPM lazima kundi fulani lipinge tu, kwa kuwa hawana sera nyingine kama sio ya kukaa golini na kusubiri kauli! Pathetic walahi!
China na nchi za kiarabu huwa hawana mchezo kabisa!
Ndio kwa mawazo ya jiwe kuwa unakuta mfungwa amehukumiwa kifo anakula tu badala ya kufanya kazi??hizi ni akili kweli?yaani duniani kote ulishawahi ona mfungwa wa namna hii akitoka hata nje?sembuse kwenda kulima!!ungejua hata mle ndani wanavyotunzwa ,lakini kwa kuwa akili zote sasa zinaongozwa namjiwe sawa!!wafungwa wanalima sana msiangalie magereza haya ya dar nenda ya wilayani huko!!
 
Erick shigongo ni kaka yetu ambaye ni mfano wa kuigwa, he emerged from the great dark na kubadilisha historia ya maisha yake kutoka kwenye umaskini uliokithiri hadi ukwasi; usijifananishe naye kabisa. Sasa nije kwenye post yako, hakuna nchi ambyo wafungwa kazi yao ni kulala tu. Mabarabara unayoyaona Tz mengi yamejengwa na wafungwa wa huko Ulaya, wanaletwa huku kama adhabu. Ni gharama sana kumtunza mfungwa ambaye haingizi chochote.

Pia mwacheni rais wetu airudishe nchi kwenye mstari. Moja ya waaaathirika wakubwa wa utawala huu ni mimi, I was paid leave allowances 4mil kila mwaka zimetolewa sasa nalipwa chini ya laki 4, nlikuwa nalipwa nyumba 200000/= kila mwezi nimeondolewa but still naona sijaonewa kabisa and I deserve this sababu walizotoa ni genuine. So rais wangu anaenda vizuri sana
Wee fala kweli kweli..
Nani kakwambia barabara zetu zimejengwa na wafungwa wa nje..??
Yani barabara iache kujengwa na Wataalam na Wabobezi wa ujenzi wa barabara ijengwe na wafungwa?
Yani ukiwa CCM lazima uwe mjinga na mpumbavu.
 
Eti mabara bara ya tz yamejengwa Na wafungwa wa ulaya ....
Wewe unatakaje hasa....!

Je. unataka Wafungwa wajengewe...sero za viyoyozi, walale kwenye vitanda vya kubembea, wajengewe swimming pools humo, wale supu ya pweza, chawama, ndizi na nyama kuchoma, mtori, kichuri, ndafu, senene, sato, nhundu, sungura, kiti moto, chapati na chai ya maziwa, wali na nyama ya mbuzi....nakadhalika nakadhalika...halafu wakiamka asubuhi waote jua...wakisubiri tu lunch ya mchana na dinner ya jioni yenye aina kumi za milo!!!.????

Nakuliza tena wewe unatakaje...hasa!?
 
Peleka uongo wako...
Inawezekana, watu walikuwa hawajui haki zao (HR na wahasibu wengine walikuwa wanakubania haki na wewe kwa sababu hufatilii haki hizo inakula kwako), na ama wengine walikuwa wana'pora' fedha wanazoaminiwa kuendesha 'miradi' kwa fujo kiasi hawajui haki zao ni nini!
----
Maelezo yangu hapo juu hayapingi ulichoandika bali naongezea.
 
kwani tanzania wafungwa hawafanyi kazi, nimeshuhudia kwa macho yangu wafungwa wakilima mpunga katavi gereza la kalilankulukulu tena heka za kutosha

yaani ww unaamini kuambiwa wafungwa wanaishi kwa raha kama sheratoni, wanapigika kule si mchezo
Kalila m,ashamba hapo kati yalisimamaa sasa ndo wameanza
 
Kalila m,ashamba hapo kati yalisimamaa sasa ndo wameanza
kati miaka ipi mkuu maana mi kila mwaka nakatisha pale kipindi cha kilimo nna mashamba ikaka kona kule.

mwaka juzi, jana, huu nawaona wakilima labda nambie mwaka gani? walisimama
 
Jini Kisiranii
Ni mfanyakazi wa kwanza duniani asiyefahamu nini maana ya paid leave allowance let alone house allowance!

Back in the days shafanya sana as Online Freelancer! Mara nyingi kila nilipopata mkataba unaozidi mwaka mmoja; one of the benefits ilikuwa ni paid leave. Hiyo ni freelancing; virtual working, maarufu kama online jobs; Employer/Client humjui, hakujui... no physical interaction; seuze desk job!!

Kwanza unaonekana muongo! Huwezi kuwa unalipwa paid leave Sh. 4M halafu stahiki yako ya house allowance iwe Sh. 200K.

Laki 2 ni gharama ya chumba kimoja (self) tu Uswahilini wakati kwa serikalini anayefikia kulipwa 4M ni boss kwelikweli ambae there's no way anaweza kulipwa house allowance ya kumwezesha kuishi Uswahilini, tena kwenye chumba kimoja!!

Peleka uongo wako Lumumba mtu usiyefahamu hata uwiano kati ya paid leave allowance na house allowance!!
Una Akili sana. Haiwezekani leave allowance iwe 4m afu house allowance iwe 200k. Tatizo lao wanapenda hesabu ila hawajawahi kuzifahamu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom