Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,263
- 16,288
mweee ni kama ya majimarefu profesa?
lol
lol
Msamehe bure kwani tatizo ni elimu yake
Msamehe bure kwani tatizo ni elimu yake
Hapa ndiyo TAMWA ya Ananilea Nkya na LHRC ya Helen Kijo Bisimba walipaswa kuonyesha ubavu wao
nimesikitishwa sana na habari iliyochapishwa na gazeti la ijumaa wikienda (global publishers) inayohusu watotot walioenda mahakamani kumlilia mtoto wao ambaye ni mtuhumiwa wa biashara ya ukahaba. Kitendo cha kuwapiga picha, kuwataja majina na wanapoishi na kusoma si dhani kama ni sahihi. Watoto hawa leo wataanza kuitwa watoto wa changudoa mitaani na shule. I can imagine mateso ya kisaikolojia watakayoyapata na naweza kufikiria madhara ya muda mrefu yatakayoombatana na kadhia hii. Habari hii ingeweza kukamilika na kueleweka pasipo kuweka majina na picha za watoto hawa. Tumeshuhudia mara kadhaa mkiandika habari za maneno kama "kigogo fulani", jina kapuni nk...kwa nini haikuwa hivi kwa watoto hawa. Kwa nature ya kazi yangu nimekutana na watu wengi ambao leo wanaishi maisha ya tabu kwa kuwa waliacha shule.....na moja ya savavu kubwa ni kunyanyaswa kwa namna moja au nyingine. Halii hii hupeleka mtu kukua huku amekosa "kujiamini" (self esteem). Hali hii ina madhara makubwa sana katika maisha yetu ya kila siku...tabia zetu, uwezo wa kufanya maamuzi, uongozi nk hujengwa katika kipindi mtoto anakua. Nawasikitikia sana hawa watoto.....habari hii iko hapa
sidhani kama shigongo amekosea kitu apo! Kwaiyo unataka kusema na wale majambazi wanaotangazwa na kuonyeshwa na mh kova kwenye tv wataharibika kisaikolojia? Kosa ni kosa tu ,how do you feel ukimuona dingi yako kakamatwa na ujambazi unamwona kwenye tv yote haya ni umagharibi thus why unakuta kuna watu wanaona ushoga ni halali na ni haki za binadam ndiko tunakoelekea vijana kama nyiny wasomi mliosomeshwa umagharibi na kusahau mila na desturi za kiafrica ndiyo mnatumika kutuletea western culture in our society,hivi kweli hao waliotajwa kwa majina na sehemu wanazokaa wakiathirika kisaikolojia kuna impact gani for entiterly society? Nafikiri ndiyo itasaidia kwa wale ambao walikua wanataaka kuanza kufanya ukahaba waogope pyschologicaly wataonekana na jamii itawatenga na hawatajaribu kufanya kuliko nyie mnaopigia debe eti ni privacy! Stupid!

hivi wewe jamaa umemuelewa mtoa maada au wakurupuka na mabaki yako ya supu za makongoro ya tsh mia mbili mdomoni??
sidhani kama shigongo amekosea kitu apo! Kwaiyo unataka kusema na wale majambazi wanaotangazwa na kuonyeshwa na mh kova kwenye tv wataharibika kisaikolojia? Kosa ni kosa tu ,how do you feel ukimuona dingi yako kakamatwa na ujambazi unamwona kwenye tv yote haya ni umagharibi thus why unakuta kuna watu wanaona ushoga ni halali na ni haki za binadam ndiko tunakoelekea vijana kama nyiny wasomi mliosomeshwa umagharibi na kusahau mila na desturi za kiafrica ndiyo mnatumika kutuletea western culture in our society,hivi kweli hao waliotajwa kwa majina na sehemu wanazokaa wakiathirika kisaikolojia kuna impact gani for entiterly society? Nafikiri ndiyo itasaidia kwa wale ambao walikua wanataaka kuanza kufanya ukahaba waogope pyschologicaly wataonekana na jamii itawatenga na hawatajaribu kufanya kuliko nyie mnaopigia debe eti ni privacy! Stupid!
tatizo sio huyo mwanamke...nitakuwa wa mwisho kushabikia ukahaba. Kuliko na haja gani ya kuwaoyesha hao watoto na kuwataja majina. Mbona sie hata watoto wetu wanaojikojolea vitandani tunajitahidi kuwastahi, sembuse hawa amba mama yao ni "mtuhumiwa kahaba". Hivi hawa watotot leo watakuwa na confidence mbele ya wenzao tena? Au fikiria yanatokea mabishano ya kitoto katika michezo nk, halafu mmoja anasema, "toka kule kwanza mama yako changudoa" huyo mtoto atajisikije. Wewe umepita shule unajua mazingira yakoje ,mara nyingi watu wantukunana "was##nge , but haiumi kwa kuwa unajua ni tusi tu, na sio kweli, but hawa watoto mama yao amshatangazwa kwenye gazeti kuwa ni kahaba!.....rudi tena usome post yangu, halafu hiyo stupid utaona kuwa ulipaswwa kujiambia mwenyewe!
tunasema hawa watoto ni EXPENDABLE we have nothing to loose ata wakiathirika kisaikolojia itasaidi uyu mama kubadilika na wamama wengine na watafaidika na somo ilo kuliko kuweka SYMPATHY and EMPATHY unatengeneza LOOP HALL haka katabia kawa part and ussual of the entirely society which is unacceptable its against our norm
mimi nilisikia ni shoga