Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,786
- 45,268
Pole sana.Kwakweli ni muhimu, kuna mbaba niliomba awe referee wangu aisee kucheki email address yake ina ..............boy@gmail duuh baadaye nikamtoa tuu
Pole sana.Kwakweli ni muhimu, kuna mbaba niliomba awe referee wangu aisee kucheki email address yake ina ..............boy@gmail duuh baadaye nikamtoa tuu
Nimekuelewa MpcmKatika CV yako!
Epuka kuweka Email kama hizi chugaboy@gmail.com
Tumia email yenye majina yako Mf. abdulazizmomba@gmail.com
Kila la kheri katika Hustling zako.
Pia skype accounts kwa wanaofanya via skype ....Katika CV yako!
Epuka kuweka Email kama hizi chugaboy@gmail.com
Tumia email yenye majina yako Mf. abdulazizmomba@gmail.com
Kila la kheri katika Hustling zako.
Thanks, bora hata ningekuweka wewe bradha mwenyewe as referee[emoji3] [emoji3]Pole sana.
Umeona eeeh.Thanks, bora hata ningekuweka wewe bradha mwenyewe as referee[emoji3] [emoji3]
Unipe details nikuweke aisee, [emoji3] [emoji3]Umeona eeeh.
ZinakujaUnipe details nikuweke aisee, [emoji3] [emoji3]
Haaaa kwa utani tu mkuuHahaha, try her at your own risk!
Yaani... Nimecheka mnoWabongo bana. Mnelimishwa mnakuja na ukuda.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamiiforum ni habari ingine sana ona hawa machizi daah
Nadhani mleta Mada anajutaJamiiforum ni habari ingine sana ona hawa machizi daah
Hujacheka kama mimi... Nimecheka mno....Ila nyie watu wa humu hamna akili kabisa. Wallah nimecheka sana.
Hahahahahha nimecheka eti "collaborators".[emoji23][emoji23][emoji23]aisee mimi mbavu sina mkuu.
hasa zile exchanges za huyu cute b (nadhani mdada huyu) vs wale "collaborators"!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji120][emoji120][emoji120]cute b na wenzake wametisha zaidi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nisikukamate.Cute b akili zake ni za kuvukia barabara tu