financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,183
- 43,559
Duh, ukitumia hii email kwenye CV lazima upate kazi ,wataogopa kutokukuajiri wakihofia utawafanya kitu mbaya, kumbe walaa[emoji1]
Duh, ukitumia hii email kwenye CV lazima upate kazi ,wataogopa kutokukuajiri wakihofia utawafanya kitu mbaya, kumbe walaa[emoji1]
Naam mtalaam
Kijana wa zamani mjanja mjanjaKwakweli ni muhimu, kuna mbaba niliomba awe referee wangu aisee kucheki email address yake ina ..............boy@gmail duuh baadaye nikamtoa tuu