Epuka kutumia barua pepe kama hizi

Epuka kutumia barua pepe kama hizi

Kwakweli ni muhimu, kuna mbaba niliomba awe referee wangu aisee kucheki email address yake ina ..............boy@gmail duuh baadaye nikamtoa tuu
Ulifanya vizuri kumtoa maana kwenye academic issues wanataka referees wawe na emails za institution like .....@....ac.tz yani hata iyo ya gmail.com ikiwa na jina zuri basi iwe ya kwako but kwa referees ni case nyingine kabsaaa
 
Back
Top Bottom