Jamani[emoji23][emoji23]cute b siku hizi kaokoka, zamani alikuwa shida tupu.
Jamani[emoji23][emoji23]cute b siku hizi kaokoka, zamani alikuwa shida tupu.
Collaborators@yahoo.comHahahahahha nimecheka eti "collaborators".[emoji23][emoji23][emoji23]
Jamani[emoji23][emoji23]
Hahahahahha, sasa hivi mimi ni Madame.Nakumbuka kuna kipindi ulikuwa ukikiwasha hakukaliki.
Hahahahahha, sasa hivi mimi ni Madame.
Inaonyesha umemisi kufundishwa tabia mbaya.Naona kwa kweli.
Imenichukua muda kukuzoea kilokole lokole.
Inaonyesha umemisi kufundishwa tabia mbaya.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kakimeo. Halafu rudi unishukuru.Hahaha, nataka kutafuta mahali pa kupractice.
😂😂 yaani hata kwa picha tu bado,? utakuwa shabiki wa Yanga na anaeku-interview nae probably atakuwa shabiki wa YangaHahaa, weka chochote unachohisi kitafaa ilimradi ufanikiwe kuitwa Kwa interview na ujue kutetea ulichokiandika, sasa weka CV ya mo wakati hata hujawahi kumuona[emoji3] [emoji3] hilo jicho litakavyokutoka kwenye interview