Complicator
JF-Expert Member
- Aug 23, 2013
- 2,208
- 3,609
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwakweli ni muhimu, kuna mbaba niliomba awe referee wangu aisee kucheki email address yake ina ..............boy@gmail duuh baadaye nikamtoa tuu
dudubaya@gmail.comKatika CV yako!
Epuka kuweka Email kama hizi chugaboy@gmail.com
Tumia email yenye majina yako Mf. abdulazizmomba@gmail.com
Kila la kheri katika Hustling zako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nisikukamate.
Siyo kwamba siku hizi ndo anazidi mkuucute b siku hizi kaokoka, zamani alikuwa shida tupu.
Siyo kwamba siku hizi ndo anazidi mkuu
nitakubaka@gmail.com[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utanifanyaje@gmail.com
Sema[emoji23][emoji23][emoji23]. Labda alikuwa anatumia GB whatsup. Sasa hivi ni mwendo wa ban tuu[emoji23][emoji23][emoji23]
Haaaa duh kakua sasaKaokoka huyo, zamani alikuwa funga mtaa.
Mimi nimepigwa ya masaa 24. Nimechoka kusubiri nimeenda play storeMbona mi sijapigwa ban na naitumia
Pole na kumbe nami muda wangu hujafika tuMimi nimepigwa ya masaa 24. Nimechoka kusubiri nimeenda play store
Pole na kumbe nami muda wangu hujafika tu
Bado maana mimi tangu lini watu wanalia wamefungiwa mimi nawecheka, Leo mida ya saa Tisa nikapewa ban ya DKK 20.
Ilivyoisha baada ya nusu saa wakanipa dkk 40. Sasa wamenipa masaa sijui mangapi.