tpaul
Platinum Member
- Feb 3, 2008
- 27,828
- 29,325
kweli kabisa mkuu...uko sahihi 101%. ukishamuambia ukweli kuhusu kipato chako utakuwa umempa fursa ya kupanua wigo wa vipodozi (vyenye viambata vya sumu) kwa madhara yake mwenyewe. wanawake ni viumbe wa ajabu sana.sio kila kitu unamwambia mkeo hawaelewek hawa kama kuna umuhim sana mwambie mamako tu vitu vngne atajua mkeo siku ukifariki lakn saiv hapana