Epuka kumshirikisha mwanamke kwa kitu chochote

kweli kabisa mkuu...uko sahihi 101%. ukishamuambia ukweli kuhusu kipato chako utakuwa umempa fursa ya kupanua wigo wa vipodozi (vyenye viambata vya sumu) kwa madhara yake mwenyewe. wanawake ni viumbe wa ajabu sana.
Hiyo ni kweli kuna mshkaji wangu aliniambia aliwahi kumuambia mkewe analipwa mshahara kiasi fulani. Toka siku hiyo mshahara ukitoka unawekwa mezani unapangiwa matumizi. Sasa kuna siku jamaa alipata dharura kwao akakopa laki 3 kwa mtu ili amrudishie mwisho wa mwezi. Mwisho wa mwezi ulipofika jamaa akamlipa huyo mtu laki 3 yake kasheshe likaanza kwa mkewe. Mkewe kakomaa anataka mshahara wote mezani sio nusu jamaa kamwelezea mke wapi. Mkewe akadai aonyeshwe slip akaonyeshwa ndo hasira zilipanda zaidi. Ikabidi jamaa amwite yule aliyemkopa ndo mwanamke akatulia tena shingo upande. Na nahisi hapo alimweka kiporo siku akirudia tena kutawaka mazima.
Nikashindwa cha kumshauri
 
hamna mtu mwenye siri duniani kama mwanamke! kuongea kutoongea anaamua tuu anaweza zaa watoto wote ndan ya ndoa sio wa mume baada yakuona mme hana uwezo ila akatunza siri hadi wale watoto wawe na wajukuu afe hasemi.

naona comment nyingi zinaegemea siri za uchumi sijui biashara n.k mmmhh wengine hata huo uchumi wakuficha hana ni hio smart phone ndo expensive material anayomiliki but kujiongelesha mwanamke wa kweli ni mamako! if women can not keep secret how your mom can?? eeeehhh
 
Tena kuna makabila ni hatari sana kwenye hili
1.Wakikuyu (kenya)
2.Wamachame au wapalestina
3. Kuna kabila liko gairo morogoro nimelisahau jina
Haya makabila wanawake wao ni.hatari esp wakiolewa na wanaume wa kabila tofauti
 
Hiyo ni kweli kuna mshkaji wangu aliniambia aliwahi kumuambia mkewe analipwa mshahara kiasi fulani. Toka siku hiyo mshahara ukitoka unawekwa mezani unapangiwa matumizi. Sasa kuna siku jamaa alipata dharura kwao akakopa laki 3 kwa mtu ili amrudishie mwisho wa mwezi. Mwisho wa mwezi ulipofika jamaa akamlipa huyo mtu laki 3 yake kasheshe likaanza kwa mkewe. Mkewe kakomaa anataka mshahara wote mezani sio nusu jamaa kamwelezea mke wapi. Mkewe akadai aonyeshwe slip akaonyeshwa ndo hasira zilipanda zaidi. Ikabidi jamaa amwite yule aliyemkopa ndo mwanamke akatulia tena shingo upande. Na nahisi hapo alimweka kiporo siku akirudia tena kutawaka mazima.
Nikashindwa cha kumshauri
Hahahaha naisi jamaa alijuta
 
Tena kuna makabila mimi ni hatari sana kwenye hili
1.Wakikuyu (kenya)
2.Wamachame au wapalestina
3. Kuna kabila liko gairo nimelisahau jina
Haya makabila wanawake wao ni.hatari esp wakiolewa na wanaume wa kabila tofauti
Iv na wazaramo vip ndugu
 
Iv na wazaramo vip ndugu
Hahahaha wazaramo wana tabia moja. Fanya yote unayoyajua wewe ila akikuambia ana ngoma sehemu na kuna vitu vinahitajika ie sare zawadi n hela mpe otherwise anaweza kuachia mbunye kwa dereva wa daladala ili mradi apate hiyo hela ya kwenda ngomani. Hata kama umejenga na mnaishi gorofani. Mwanamke wa kizaramo ni mwiko kukosa ngoma au aende bila sare au zawadi. Atatengwa either na nduguze au mashoga wake. Ukitaka kujua hilo tafuta demu wa kizaramo muulize ana sare ngapi za ngoma utapata jibu na tena siku hizi kuna madera anaweza kuwa nayo hata 300 ndani.
 
Tena kuna makabila ni hatari sana kwenye hili
1.Wakikuyu (kenya)
2.Wamachame au wapalestina
3. Kuna kabila liko gairo morogoro nimelisahau jina
Haya makabila wanawake wao ni.hatari esp wakiolewa na wanaume wa kabila tofauti
Mmmh, Wamachame ni wake wazuri sana. Jaribu na ujionee.
Jinsi ya kuendesha nyumba yako ni juu yako, ukiamua kuwa msiri utaishi maisha ya wasiwasi sana. I've chosen to be open to my family and I'm enjoying every bit of it.
 
Hiyo ni kweli kuna mshkaji wangu aliniambia aliwahi kumuambia mkewe analipwa mshahara kiasi fulani. Toka siku hiyo mshahara ukitoka unawekwa mezani unapangiwa matumizi. Sasa kuna siku jamaa alipata dharura kwao akakopa laki 3 kwa mtu ili amrudishie mwisho wa mwezi. Mwisho wa mwezi ulipofika jamaa akamlipa huyo mtu laki 3 yake kasheshe likaanza kwa mkewe. Mkewe kakomaa anataka mshahara wote mezani sio nusu jamaa kamwelezea mke wapi. Mkewe akadai aonyeshwe slip akaonyeshwa ndo hasira zilipanda zaidi. Ikabidi jamaa amwite yule aliyemkopa ndo mwanamke akatulia tena shingo upande. Na nahisi hapo alimweka kiporo siku akirudia tena kutawaka mazima.
Nikashindwa cha kumshauri
Huyo Mwanaume ndio keshaolewa tayari,Sikuhizi wanawake wanaoa sana baadhi ya wanaume aidha kwa akili au kwa madawa.
 
Tena kuna makabila ni hatari sana kwenye hili
1.Wakikuyu (kenya)
2.Wamachame au wapalestina
3. Kuna kabila liko gairo morogoro nimelisahau jina
Haya makabila wanawake wao ni.hatari esp wakiolewa na wanaume wa kabila tofauti
Kwahiyo nawewe na akili zako unaenda kuoa mpalestina?
 
Makabila na makabila yanatofautiana yupo jirani yangu miaka ya 90' - 94' jamaa Mhangazai akifanya shirika xxx Bint Msukuma waliachana kwakuwa tu mumewe hana TV(luninga) na kumkataza asiende kwa jirani kuangaliaTV mwezi haukuisha jamaa anaonekana kwenye TV tena Nchi ya jirani na cheo kikubwa
usimdharau mumeo kwa kukosa TV unaweza mkuta anaonekana ndani ya TV ya jirani anamwaga sera
ndiyo impact ya kuficha na ukificha ficha hasa
Mwanamke wa kichagga akisikia una maduka mengine ndio anakuganda mpaka mtagawana kabla ya ndoa na hasa awe Mpalestina naye BOB LUSE
 
Mmmh, Wamachame ni wake wazuri sana. Jaribu na ujionee.
Jinsi ya kuendesha nyumba yako ni juu yako, ukiamua kuwa msiri utaishi maisha ya wasiwasi sana. I've chosen to be open to my family and I'm enjoying every bit of it.
Tutarajie thread ya majuto muda si mrefu toka kwako. Either utaandika wewe au nduguyo ataandika
 
Hahahaha wazaramo wana tabia moja. Fanya yote unayoyajua wewe ila akikuambia ana ngoma sehemu na kuna vitu vinahitajika ie sare zawadi n hela mpe otherwise anaweza kuachia mbunye kwa dereva wa daladala ili mradi apate hiyo hela ya kwenda ngomani. Hata kama umejenga na mnaishi gorofani. Mwanamke wa kizaramo ni mwiko kukosa ngoma au aende bila sare au zawadi. Atatengwa either na nduguze au mashoga wake. Ukitaka kujua hilo tafuta demu wa kizaramo muulize ana sare ngapi za ngoma utapata jibu na tena siku hizi kuna madera anaweza kuwa nayo hata 300 ndani.
Hahahaha umenichekesha aisee
 
Aisee
Mkuu nimecheka sana ila kuna ukweli ndani yake,
Wewe unamwambia siri tena una mkanya kabisa lkn utazikuta mpaka mtaa wa 7 hatari sana hawa watu!
Ndivyo walivyoumbwa hawa. Hawanakifua
 
mimi sio mke tu hata best friend wangu sidhani kama namwambia kila kitu hata kama tupo close kiasi gani
some information are classified, the moment you share you become a sucker in town.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom