Baazigar
JF-Expert Member
- Aug 30, 2015
- 1,129
- 1,103
Ungekua mwanaume ungenielewa vizur dada but thnx for coming 🙂🙂Swali langu hizo siri mnazolalamikia hao wake zenu huwa wanawaomba au wanalazmisha muwaambie???
Ungekua mwanaume ungenielewa vizur dada but thnx for coming 🙂🙂Swali langu hizo siri mnazolalamikia hao wake zenu huwa wanawaomba au wanalazmisha muwaambie???
Mwanaume ni nini?Ungekua mwanaume ungenielewa vizur dada but thnx for coming 🙂🙂
Wengine wanatoa siti ili wapate unyumba bila hivyo la hasha, so wanaomba sa vile wanajua hawawezi pata kirahisi wanahonga unyumba nimeskia mara nyingi sanaSwali langu hizo siri mnazolalamikia hao wake zenu huwa wanawaomba au wanalazmisha muwaambie???
Ata Yesu alijua ii kitu ndo maana hakuweka mwanafunz wa kikeUpo sahihi...sio kila kitu cha kumwambia wala kumwamini mwanamke. Historia inaonesha viongozi na watu mashuhuri waliowahi kuwepo na waliopo dunia hii wameponzwa na wanawake. Ikumbukwe wanawake wana ushawishi mkubwa sana na zaidi akishakusoma Mwanaume,yaani Mwanaume anaweza kuwa mbabe kila mahali ila zuzu kwa mkewe hasa viongozi wakubwa. Mifano hai ni ya hawa wafuatao:-
1) Adam aliponzwa na Mkewe
2) Samson aliponzwa na mkewe
3) Ayubu aliponzwa na mkewe
4) Dr. Slaa aliponzwa na mpenzi wake
5) kanumba aliponzwa na mpenzi wake hadi akadanja
Ashakum si matus dada yangu kama umeolewa kamulize mme wako mwanaume ni nn na kama bado mulize bwanako mwanaume ni nn dadangu zen njoo tenaMwanaume ni nini?
Hahahaha uyu wa bar kakosea aiseeAisee
Mkuu nimecheka sana ila kuna ukweli ndani yake,
Wewe unamwambia siri tena una mkanya kabisa lkn utazikuta mpaka mtaa wa 7 hatari sana hawa watu!
Tusiwasahau na hawa piaUpo sahihi...sio kila kitu cha kumwambia wala kumwamini mwanamke. Historia inaonesha viongozi na watu mashuhuri waliowahi kuwepo na waliopo dunia hii wameponzwa na wanawake. Ikumbukwe wanawake wana ushawishi mkubwa sana na zaidi akishakusoma Mwanaume,yaani Mwanaume anaweza kuwa mbabe kila mahali ila zuzu kwa mkewe hasa viongozi wakubwa. Mifano hai ni ya hawa wafuatao:-
1) Adam aliponzwa na Mkewe
2) Samson aliponzwa na mkewe
3) Ayubu aliponzwa na mkewe
4) Dr. Slaa aliponzwa na mpenzi wake
5) kanumba aliponzwa na mpenzi wake hadi akadanja
Kuna comment moja niliisema uko juu mkuu sio ote wapo wanawake wenye akil ila kuwapata hao ss salaleTusiwasahau na hawa pia
1. Ester aliwakomboa wana Israel wasiuawe na Naamani
2. Kahaba Rahabu aliwasaidia wapelelezi wa Israel na hivyo akaponya nyumba yake
3. Ujasiri na busara za Abigail zilimuokoa mumewe Nabali asiangamizwe na Daudi etc
Gelofriend teh hapa unaweka tumia nguvu kumpigia mbuzi gitaaTusiwasahau na hawa pia
1. Ester aliwakomboa wana Israel wasiuawe na Naamani
2. Kahaba Rahabu aliwasaidia wapelelezi wa Israel na hivyo akaponya nyumba yake
3. Ujasiri na busara za Abigail zilimuokoa mumewe Nabali asiangamizwe na Daudi etc
Wanajichetua tu hapa, wengine hawasemi tu jinsi wake zao walivyo nguzo kubwa ya maisha yao, wanasaidiana mno. Ila akikosea mwanamke mmoja basi ndo tunakosea woteeee. Ubinadamu kazi jamani, mazuri yetu wanayesemea shimoni tehGelofriend teh hapa unaweka tumia nguvu kumpigia mbuzi gitaa
Aah ni kweli sio wote, yani kama vile kuwapata wanaume wenye akili ss salaleeeeKuna comment moja niliisema uko juu mkuu sio ote wapo wanawake wenye akil ila kuwapata hao ss salale
Hahahaa mkuu bar ni sehemu salamaHahahaha uyu wa bar kakosea aisee
Hahahaha iko ivo kene wanaume 100 wenye akil wanaeza kua 80 hao 20 ni wapumbav ila kwenye wanawake 100 unaeza kukuta ote hao 100 wapumbav hahahaha ukwel mchungu kumeza mtam kutemaAah ni kweli sio wote, yani kama vile kuwapata wanaume wenye akili ss salaleeee
Huo utafiti wako umeufanyia wapi, Kene nini tena lolHahahaha iko ivo kene wanaume 100 wenye akil wanaeza kua 80 hao 20 ni wapumbav ila kwenye wanawake 100 unaeza kukuta ote hao 100 wapumbav hahahaha ukwel mchungu kumeza mtam kutema
Hahahaha yawezekana laknHahahaa mkuu bar ni sehemu salama
Watu watajua unanabwatuka tu kwasababu umelewa kumbe ndo unachanja mbuga hvo!
No Men[emoji23] [emoji23] [emoji23]no women no.................................................................................