Epuka kumshirikisha mwanamke kwa kitu chochote

Epuka kumshirikisha mwanamke kwa kitu chochote

Wanaojua na kuthamini maana ya ndoa hatamficha mwenzie jambo lolote. Mnaficha mambo ambayo hayafai kufichwa...mwisho wa siku aibu tupu. Mweleze ukweli na hapo ndio utajua aina ya mke au mume uliye nae.
how can you undo the damage ukimwambia ukiona hafai?
 
Mweeeeeee ukisikia meeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee jua mbuzi huyo
 
mmh usiponiambia nikaja kugundua kheee kheeeee mnatujua tulivyo na maneno kuliko kamusi
kuna.jamaa yangu mwaka jana katoswa na mchumba wake,kisa hakwambia biashara zake zote alizonazo msichana alikuja kujua kuwa ana duka lingine asilojua kupitia kwa rafiki ya jamaa yangu.mpaka leo uchumba chalii
 
ndiyo impact ya kuficha na ukificha ficha hasa
 
mkuu nakuunga mkono kwa 101%. wanawake ni NYOKA kuliko mnavyoweza kudhani. tunaishi nao kwa 7bu tu wanatupa mbunye na ku2zalia watoto, na si vinginevyo.
 
Hata sie hatuhitaji hivo visiri na vi information (ila jua tukizihitaji mtazisema tuuuu tena bila kushurutishwa) tuna masiri yetu kibaooo yamejaa kila mahari, tunashindwa hata pa kuyasemea
ni kweli kabisa mkuu...unamkuta mwanamke ana watoto aliowapata kwa kuchepuka na hajawahi kumuambia mumwewe wala mtu mwingine. wanawake nanyi mna siri nzito sana. umeona eeh?
 
Nakubaliana na wewe taarifa utakayomficha mkeo labda iwe haramu kama ujambazi na the like....Ila watu wengi hasa sisi wanaume tumeacha familia zetu kwenye wakati mgumu sana pale tunapopatwa na vifo vya ghafla kutokana na hiyo inayoitwa siri dhidi ya wake zetu wanakuwa hawajui taarifa zozote za shughuli zetu za kibiashara ama uwekezaji hivyo mwanaume akifa na miradi inakufa ama inadhulumiwa na family inabaki kwenye mateso mazito.....Mkishakuwa mwili mmoja haina haja ya kufichana fichana.
mkuu ukiwa JAMBAZI ukamshirikisha mkeo haupiti mwezi hujafungwa jela...chezea wanawake wewe!
 
Kweli kabisa mkuu, mwananke ata akuoneshe upendo wa namna gani usithubuti kumwambia siri zako. Kuna jamaa yupo jela saizi, alimuadisia demu wake jinsi alivopiga mshiko mahali, siku wamezinguana kidogo demu akachoma ishu nzima polisi
 
ni kweli kabisa mkuu...unamkuta mwanamke ana watoto aliowapata kwa kuchepuka na hajawahi kumuambia mumwewe wala mtu mwingine. wanawake nanyi mna siri nzito sana. umeona eeh?
Sasa je tuna masiri mnooooo
 
Kuna ndugu mmoja kazini alikosana na wife wake na wakaachana jumla.. Kumbe yule jamaa alikuwa anatumia vyeti vya marehemu kaka yake wa kumfuata na hata utendaji wake ulikuwa wa wasiwasi sana kazini. Alimpa info mke wake juu ya hilo la kutumia vyeti vya broo. Walivyoachana mwanamke alikuja ofisini na picha ya kaburi la kaka mtu na msalaba unaonyesha jina na copy ya vyeti vya kuzaliwa vya jamaa. Jamaa aliamua kuacha kazi mwenyewe kabla mwajiri hajazaanza kumkomalia..
umeona eeh? ninaposema kwamba wanawake ni NYOKA sitanii.
 
mwanamke ni wakumwamini machoni lakini siyo akilini, ni hatari sana, ukitaka kugundua hilo mkorofishe kidogo tu uone moto wake! kifupi they are very weak hasa kwenye swala la Ku control emotions ndiyo zero! so hawezitunza info zako
 
mwanamke ni wa kumshirikisha katika mambo yanayohusu MBUNYE tu na sio mambo ya maana/maendeleo. wanawake waone hivyo hivyo tu...ni NYOKA wenye sumu kali!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom