EPA na mambo yake

GT, hizo nyumba ni za pink? Is it Barbie land? Ni za kukodisha au? Is the man in qn the one who imported range rovers by air?

Nkamangi, umeniacha hoi! huyu jamaa ni nouveau riche no taste whatsoever ni ulimbukeni tu! But nawajua wengi Bongo ambao ni absolutely classless kazi kutafuta dili za mjini. Kaazi kwelikweli....
 
Kuna kitu serikali ya JK ilikuwa inavizia...Matokeo ya uchaguzi wa USA nk....Ila hapa bado sitokurupuka na kusema everything cool. Ila ni hatua nzuri ya mwanzo.
Lukaza na Malegesi ni mashahidi muhimu sana na kama kweli kesi hii inaunguruma..Basi na wao kama maisha yao yanaweza kuwa hatarini kwani wanaweza kumwaga mchele mwingi kwenye kuku wengi, on the ither hand kesi either imepangwa ama serikali inaweza ikawa imeamua iwe mbaya.
Malegesi Law chamber(Advocates) kwa kushirikiana na FAMILIA YA KINA lUKAZA ndio walifanikisha uchotwaji wa pesa za EPA kwa kupitia amri ya ccm wazazi ambapo mwenyekiti alikuwa Idi Simba.
Kama alivyosema Halisi tunawapa muda...Ila muda unazidi kuwatupa mkono kwani hapa USA change tayari imekubali na swahiba wa JK ni Bush.

Mkuu naomba nikisahihishe ili kupata mtiririko mwenyekiti wa Jumuia wazazi alikuwa ni Malegesi kaka yake alipigwa chini karibuni tuu
 
Huyu JL alikuwa anajichomeka kwa Muungwana, anajifanya entrepreneure..! muungwana sio m2 kabisa maana anacheka nakila mtu lakini he wont hasitate kumpoteza mtu fasta. I met Jl a few times last year in london na bongo..jamaa anamashauzi kweli kweli muhaya yule.. lakini hapa ni classic case kwamba some1 needs to take the fall.. wahindi kidogo... wazawa kidogo.. kazi ipo! Muungwana anajilinda kwa wazungu wake wanaompa 'pees' so JL is just another casualty.. only that he signed UP! sio by-stander.
 
Ngoja tusubiri tuone kama sio usanii tutajua tu. Na kama wakiwaachia huru sisi tutaiandama serikali na wezi hawa kwa pamoja. Tunatanguliza pongezi lakini tunatoa pia tahadhari maana sisi tulishafunguka macho.
 
GT, hizo nyumba ni za pink? Is it Barbie land? Ni za kukodisha au? Is the man in qn the one who imported range rovers by air?

Sadakta

Nakumbuka lile Range Rover lilinunuliwa LAND ROVER ya SIDCUP kule South London na yes alitoa £60,000 cash!

na yes lilisafirishwa na BA to day na ushuru wote ulilipwa in full

DONT HATE THE PLAYA HATE THE GAME sema naona half way through naona alianza kuwaboa ma God father wake

ndio maana nikasema kuwa MONEY CANT BUY YOU CLASS na kama alishindwa kuappoint a proper interior decoration company wa kuzifanyia kazi nyumba zake means jamaa alikuwa ni very slopy na alikuwa hana eye for detail si kwenye assets zake bali mpaka kwenye kurun biashara zake

huwezi ukawa unadela na watu namna ile halafu ukawa huishi kushow off
 
i8_IMG0087.jpg



Kuna mtu anamjua huyu DADA?

nauliza tuuu si ugomvi
 
Muda mfupi uliopita nimepata nafasi ya kuzungumza kwa kifupi na Wakili wa watuhumiwa wa wizi wa fedha za EPA Bw. Mpaya Kamara kuhusu mashtaka dhidi ya wateja wake.

Bw. Kamara ameiambia MWANAKIJIJI.COM kuwa anaamini kuwa wateja wake "hawana hatia na mkondo wa sheria utakapofutwa watawekwa huru". Na alipoulizwa kuhusu mashtaka yaliyoletwa dhidi ya wateja wake Bw. Kamara alisema kuwa kwa hivi sasa itakuwa ni kinyuma na maadili kwa yeye kuzungumzia mashtaka dhidi ya wateja hao kwa vile suala hilo liko Mahakamani na akaeleka kuwa mtu sahihi wa kuweza kulizungumzia suala hili ni Mkurugenzi wa Mashtaka aliyefungua mashtaka hayo.

"yeye ndiye anaweza kuzungumzia kwa kina mashtaka haya" alisema Bw. Kamara.

Juhudi za kumpata Mkurugenzi wa Mashtaka Bw. Eliezer Feleshi bado zinaendelea.

MoDs.. at ur convenience tafadhali iunganishe na ile thread mama.
 
Nkamangi, umeniacha hoi! huyu jamaa ni nouveau riche no taste whatsoever ni ulimbukeni tu! But nawajua wengi Bongo ambao ni absolutely classless kazi kutafuta dili za mjini. Kaazi kwelikweli....

Ndio maana nikasema kuwa money cant buy CLASS au TASTE

Huyu hana tofauti na JAKI PEMBA na yule muhaya mwingine...KAJUMULO
 
Makampuni yaliyoburutwa leo kisutu ni makampuni sita yanayomilikiwa na Jeetu Patel na wenzake,Changanyikeni Ltd na Kernel Ltd(Johnson Lukaza).Yule dada na washitakiwa wengine wanne katika picha iliyowekwa yenye watuhumiwa wote ni wamiliki wa Changanyikeni Ltd. Mhh changanyikeni haikuwa na uhusiano na Daudi Balali (RIP) kweli?
 
Dhamana zao ziko wazi na uamuzi kuhusiana na masharti ya dhamana yanayotakiwa kutimizwa utafanywa kesho baada ya mabishano ya kisheria kutokea kati ya mawakili wa serikali na mawakili wa upande wa utetezi.

Habari ndiyo hiyo!
 
So the question that lingers is how were these 10 related to CCM and election 2005?

Yes they can be tried and even go to jail, but how can we show or relate the EPA theft to CCM alleged masterminding this theft?

In the end, Jeetu, Lukaza will serve some time and go free, we know Ballali passed away so we do not know who forced him, but CCM will come out victorious jabbing each one of us for trying to convict them by assosiation "guilty by assosiation"

Ukweli tumefungwa goli, tunalishangilia kama Membe alivyosema Watanzania watafurahia hivi karibuni.

By the way CCM will rally all over the country and request another 5 years of Utamu!
 
So the question that lingers is how were these 10 related to CCM and election 2005?

Yes they can be tried and even go to jail, but how can we show or relate the EPA theft to CCM alleged masterminding this theft?

In the end, Jeetu, Lukaza will serve some time and go free, we know Ballali passed away so we do not know who forced him, but CCM will come out victorious jabbing each one of us for trying to convict them by assosiation "guilty by assosiation"


Ukweli tumefungwa goli, tunalishangilia kama Membe alivyosema Watanzania watafurahia hivi karibuni.

By the way CCM will rally all over the country and request another 5 years of Utamu!


Hakuna atakaye serve time kwa sababu hakuna Kesi hapo

what you see ni PR stunt in the day OBAMA won an election


The so called evidence hata MSWAHILI anazo sasa ya nini tunataka kufanya wajinga?
 
acheni uongo! that is not Nambua.. JF kwa uvumi...lol.. I know Nambua tena i was with her a few times this summer.. That is NOT her..
 
ulikuwa naye wapi na mlikuwa mnafanya nini?

Hivi anakwenda GARDEN BISTRO?

Kaka unauliza majibu tena...

Huyu JL, anaamini anajua vitu vingi ndio maana hata interrogators walimuona anakiburi na overconfidence...na kuna times alikua anawagandisha for hours,...yeye ni kati ya wachache waliogoma kurudisha hata senti in cash. Ni mtu wa ndani sana EL(inner circle), kuna wanaohisi ukiichimbua sana kampuni ya Changanyikeni, hukawii kukutana na mzee mamvi amejiweka in some way.
 
Back
Top Bottom