EPA na mambo yake

Msiwe na wasiwasi wanapelekwa kwa makundi, kesho linapelekwa kundi jingine (yawezekana mbele ya hakimu mwingine) Jeetu Patel ameshtakiwa kwa makosa karibu nane. Wanachofanya ni kusomewa mashtaka mmoja mmoja.
 
sasa ukimchokonoa JL inamaana hii itakuwa connected to the top

ndio maana nasema hakuna kesi hapa lets not waste out time

Let's be honest.Hivi hizo top connections zisingeweza kuzuia fedheha hii kwa Lukaza?You are only connected to the top when to top deems that connection neccesary.It's like a condom,vital when needed,disposed of when used.Do I have to remind you kwamba USHIRIKA WA WACHAWI HAUDUMU?
 
Mimi nahisi ni kama nguvu ya soda hii

Nudgu yangu soda inanguvu kuliko hii ya serikali, me nadhani hii ni nguvu ya Juice tu.

Kama kweli serikali inania ya kutenda haki, basi tunaoba japo majina ya hao wanaodaiwa wamerudisha hizo hela walizojichotea (kama kweli walirudisha). Maana hawa wanaowatoa "sadaka" hapo mahakamani kwa kigezo wameshindwa kurudisha na wale waliorudisha wote ni wezi mwisho wa siku, Hela za EPA walizichukua kinyume cha taratibu hivyo na adhabu yao wote na iwe sawa na watuache wananchi tuwafahamu wote.

Zaidi ya zaidi inachoona JK na sirikali yake wanajaribu ku'winn back imani ya wananchi iliyopotea kama sio kufa baada ya kuona tuna 2009 tu kabla haijatimia 2010 uchaguzi, wanatudanganya tena ili wapate kura na waendelee kugawana hela za umma.

Ole wao
 
Let's be honest.Hivi hizo top connections zisingeweza kuzuia fedheha hii kwa Lukaza?You are only connected to the top when to top deems that connection neccesary.It's like a condom,vital when needed,disposed of when used.Do I have to remind you kwamba USHIRIKA WA WACHAWI HAUDUMU?

well, along the way anajua alifanya nini na zile pesa zilikuwa zinatoka wapi. Na yule ndugu yake aliyelipwa pesa za kiwanda cha simenti naona naye kama alimlaani huyu kijana

chimati1.jpg

Hivi unajua kama JL alikuwa anasafiri na Muungwana?

btw

pamoja na kuwa JL alikuwa na pesa lakini ukweli usiopingika kuwa alikuwa hana CLASS au TASTE na hizi nyumba zake zinasema mengi sana about the man himself

PROIN LTD - Projects - Completed
 
Baadhi ya picha za watuhumiwa wakiwa mahakamani ziko....

Hizi hapa:

1225891004_mafisadi.jpg

Kutoka kushoto Lavendra Vinod Bhai, Amith Nandi na Jant Kumar wakiwa mahakama ya kisutu mchana huu. Wanatuhumiwa kuchota bilioni 10 kila mmoja.
1225891004_mafisadi_1.jpg

..hawa nao wamo, kushoto ni Bw. Johnson Mutachukurwa Rwekaza anayedaiwa kuchota bilioni 6.3. Wengine majina yao hayakuweza kujulikana mara moja! Wameshindwa masharti ya dhamana na wametupwa lupango hadi Novemba 18 kesi yao itakapotajwa tena! habari ndiyo hiyo!!!

Kuna kitu serikali ya JK ilikuwa inavizia...Matokeo ya uchaguzi wa USA nk....Ila hapa bado sitokurupuka na kusema everything cool. Ila ni hatua nzuri ya mwanzo.
Lukaza na Malegesi ni mashahidi muhimu sana na kama kweli kesi hii inaunguruma..Basi na wao kama maisha yao yanaweza kuwa hatarini kwani wanaweza kumwaga mchele mwingi kwenye kuku wengi, on the ither hand kesi either imepangwa ama serikali inaweza ikawa imeamua iwe mbaya.
Malegesi Law chamber(Advocates) kwa kushirikiana na FAMILIA YA KINA lUKAZA ndio walifanikisha uchotwaji wa pesa za EPA kwa kupitia amri ya ccm wazazi ambapo mwenyekiti alikuwa Idi Simba.
Kama alivyosema Halisi tunawapa muda...Ila muda unazidi kuwatupa mkono kwani hapa USA change tayari imekubali na swahiba wa JK ni Bush.
 
well, along the way anajua alifanya nini na zile pesa zilikuwa zinatoka wapi. Na yule ndugu yake aliyelipwa pesa za kiwanda cha simenti naona naye kama alimlaani huyu kijana

chimati1.jpg

Hivi unajua kama JL alikuwa anasafiri na Muungwana?

btw

pamoja na kuwa JL alikuwa na pesa lakini ukweli usiopingika kuwa alikuwa hana CLASS au TASTE na hizi nyumba zake zinasema mengi sana about the man himself

PROIN LTD - Projects - Completed

Acha hizo.... hivi kusafiri na Rais ndio defence? Acha hizo kaka G.T. Unajua alisafiri kama nani?

Kwa taarifa hakuwa katika msafara wa Rais, alikuwa katika msafara wa wafanyabiashara walioasisiwa na TCCIA ya MUsiba na walikwenda kwa gharama zao na walikwenda Marekani
 
turudi kule kule

hakuna kesi hapa
 
Mimi sasa nachanganyikiwa - ina maana hawa walifunga safari, wakaenda benki kuu, wakavunja mlango, wakachota hela na kutokomea. Ama kuna mtu aliwaita benki kuu, akawafungulia mlango, akawakabidhi fedha na kuwasindikiza wakaondoka salama. Naomba MSAADA KWENYE TUTA.
 
turudi kule kule

hakuna kesi hapa

Hapo kuhusu suala la kesi, naweza kukubaliana na wewe kwa maana tumewalazimisha kuwashitaki wameamua kutuzuga, dawa ni kupambana kuhakikisha haki inatendeka na inaonekana kutendeka.
 
Hapo kuhusu suala la kesi, naweza kukubaliana na wewe kwa maana tumewalazimisha kuwashitaki wameamua kutuzuga, dawa ni kupambana kuhakikisha haki inatendeka na inaonekana kutendeka.

Hivi unayo picha ya karibuni ya Nambua Mlaki?
 
well, along the way anajua alifanya nini na zile pesa zilikuwa zinatoka wapi. Na yule ndugu yake aliyelipwa pesa za kiwanda cha simenti naona naye kama alimlaani huyu kijana

chimati1.jpg

Hivi unajua kama JL alikuwa anasafiri na Muungwana?

btw

pamoja na kuwa JL alikuwa na pesa lakini ukweli usiopingika kuwa alikuwa hana CLASS au TASTE na hizi nyumba zake zinasema mengi sana about the man himself

PROIN LTD - Projects - Completed

GT, hizo nyumba ni za pink? Is it Barbie land? Ni za kukodisha au? Is the man in qn the one who imported range rovers by air?
 
Jeetu yupo katika hizo picha (huyo Mwenye jina la Jayant Kumar) wa tatu kutoka kushoto, msitari wa mbele. Huyo ndio Jeetu Patel mwenyewe, someni posts zilizopita kuhusu majina ya huyo bwana.

Sasa ndio najua ni kwanini Manji 'aliugua'!
 
IMG_0087.jpg

Wadau huyu mdada ndio nani mmhh

IMG_0072.jpg

The Man of the moment......

IMG_0135.jpg

Haya mambo si mambo.....

Picha kwa hisani ya Bro Michuzi
 
Absolutely true huyu jamaa ni Jeetu Patel in person, Lakini Game Theory nimekubali hapa hakuna kesi! Wamefanya kama mazingaombwe alafu tutaambiwa wameachiwa kutokana na kukosekana kwa ushahidi n.k. Alafu swali kama Jeetu Patel karudisha pesa (na nimeambiwa na jamaa ambaye yuko naye karibu kwamba karudisha almost all the money na ndiyo maana alirudi akijua kesi imeisha he beat the deadline) sasa anashtakiwa kwa nini na Manji ametembea sababu gani? Doesn't make sense and my instincts tells me ni kutaka kuridhisha donors maana nasikia despite promises zile pesa bado hazijakuwa released. Pia nauliza mbona tuliambiwa wahusika ni wengi sana hata 30 wanafika lakini tunaona wachache sana hapa! We need more time na mimi sitoi jibu bali nasubri majibu!
 
Back
Top Bottom