EPA na mambo yake

sasa mbona Jeetu Patel haonekani kwenye picha???
au mpiga picha ndiye kamsahau???kwa maana Jeetu ndiye muhimu zaidi kuliko wote,kwa kutilia maanani habari ambazo zimekuwa zikisemwa kuwa serikali imekiri kuwa hakamatiki mara yuko nje ya nchi.Na mwanzo wa thread hii imeripotiwa kuwa naye amekamatwa na kufukishwa kisutu,jamani mimi bado sina amini kama mtuhumiwa namba moja Jeetu Patel amekamatwa,labda nione picha yake hapo angalau

Kumbe Jayant Kumar ndo nani, so si ndio Jeetu Patel ama... unataka uone the real name Jeetu Patel, Poa habari ndio hiyo
 
hii ni sanaa tupu...maana hawa ni wale walioshindwa kurudisha. waliorudisha wako wapi? we want big names here

Waliorudisha wamepata presidential amnesty jamani! Walioshindwa kurudisha by 31/10/08 ndio wanashtakiwa....si ndivyo mkuu alivyoelekeza?Au kuna mabadiliko?
 
Jayantu Kumar ndio the famous Jeetu Patel ni huyo mwenye mawani na shati jeupe wa kwaza kabisa kushoto............
kaazi ipo.
 
Kumbe Jayant Kumar ndo nani, so si ndio Jeetu Patel ama... unataka uone the real name Jeetu Patel, Poa habari ndio hiyo
Kuna watu HAWAMJUI Jeetu Patel, na wengine wanadhani Jayant ni mtu tofauti na yeye!

Nadhani kuna mengi ambayo inabidi watu wayasome hapa JF! Wajaribu kuzisoma posts zilizo humu:

Jamii Intelligence
 
Waliorudisha wamepata presidential amnesty jamani! Walioshindwa kurudisha by 31/10/08 ndio wanashtakiwa....si ndivyo mkuu alivyoelekeza?Au kuna mabadiliko?

ni kuvunja sheria kumsamehe mwizi hata kama amerudisha... presidential amnesty is for convicted persons only..... na hapa jeetu jamani hayupo
 
sasa mbona Jeetu Patel haonekani kwenye picha???
au mpiga picha ndiye kamsahau???kwa maana Jeetu ndiye muhimu zaidi kuliko wote,kwa kutilia maanani habari ambazo zimekuwa zikisemwa kuwa serikali imekiri kuwa hakamatiki mara yuko nje ya nchi.Na mwanzo wa thread hii imeripotiwa kuwa naye amekamatwa na kufukishwa kisutu,jamani mimi bado sina amini kama mtuhumiwa namba moja Jeetu Patel amekamatwa,labda nione picha yake hapo angalau

Kaka Jeetu(Jayant Kumar Chandubhai Patel) ndo huyo mzee wa kwanza kushoto. Mpiga picha kachemsha tu kwenye majina. Na huyo wa 3 kutoka kushoto ndo Amit Nandy, the right hand man wa bwana Jeetu.
At least Kudos for this action though late and soft charges.
 
Jeetu ni aliyevaa shati nyeupe. Jina la Lukaza sio Rwekaza, wanajulikana kama wakina Lukaza lakini siwezi kushangaa kama kajibadilisha jina kwasababu familia yao wote ni wasanii maradufu. Kama hilo basi ndio jina analojiita basi hikija kwenye ushikaji wa mali, hawataambulia chochote
 
hii ni sanaa tupu...maana hawa ni wale walioshindwa kurudisha. waliorudisha wako wapi? we want big names here

Mkuu Ochu,

Huu ni mwanzo mzuri, sababu kwa wanaomfahamu Johnson wanasema, KAMA akishitakiwa KWELI, yeye ataenda kumwaga kila kitu hadharani kwa majina na tarehe as anao ushahidi thabiti wa nani ndio beneficiaries wakuu wa EPA, yeye alikua kijana wa mjini tu "anayesafiria nyota" ya hao mapapa halafu anakatiwa chake baada ya kazi.......Tusubiri tuone.
 
hii ni sanaa tupu...maana hawa ni wale walioshindwa kurudisha. waliorudisha wako wapi? we want big names here

Wait a minute!!!! Ochu tuwe na uvumilivu kidogo na tuwe fair kidogo jamani.

Kwanza hapo wamo waliolipa na ambao hawajalipa na katika waliobaki wamo waliolipa na wasiolipa. Jeetu Patel amelipa, Lukaza hajalipa. Waliobakia Manji kalipa huku Maregesi hajalipa na hawajafikishwa mahakamani. Tujue sheria ni ngumu sana na kama kweli ushahidi haujakamilika lazima waendelee kuchunguza.

Jambo la msingi ni kufuatilia kesi, maana sasa hata kosa waliloshitakiwa hulijui unasema ni sanaa. JF itashuka hadhi kama tunapinga bila hoja. Tusubiri tuone mwenendo wa kesi na ushahidi, tusubiri na kutafiti (kama kawaida) ili tuweka data ambazo serikali watajaribu kuficha. Tuwasaidie waandishi wa magazeti waweze kufichua zaidi na si kulaumu hata pale serikali inapofuata tuliyotaka kama hili la Jeetu Patel, watu wamepiga kelele mpaka serikali imesikia, sasa badala ya kusema kwa hili la Jeetu HONGERENI tunasubiri wengine. Huo ndio uungwana jamani.

Tulikua tunajua na tuliweka hapa na Raia Mwema wakaandika kwamba Jeetu Patel na wenzake wa kagoda wanaogopewa, tukaweka data za kuonyesha kwanini tunaona Jeetu Patel ni mhalifu na hivyo kuwafanya wahusika wakaongeza juhudi na kupata ukweli.

Leo Raia Mwema limeandika kwamba sasa hakuna wa kupona hata waliolipa na ndivyo ilivyokuwa, angalao tuseme kwa hili HONGERA Raia Mwema, Hongera serikali lakini tunasema tena, TUNASUBIRI watu wa Kagoda na wengine.

Kazi nzuri Afande Kasara na wenzako maana hapa wanawasema tu kina MWanyika, Mwema na Hosea hawajui behind kuna kichwa kinaitwa Kasara.
 
ni kuvunja sheria kumsamehe mwizi hata kama amerudisha... presidential amnesty is for convicted persons only..... na hapa jeetu jamani hayupo
Thats the obvious Mkuu!
Ila the way things are going on in this country..slowly we are seeing emergence of a new jurisprudence..hahahahahahah
 
Kwa wasiomjua huyu wanaweza kusoma hizi sehemu:

https://www.jamiiforums.com/jamii-intelligence/8457-kagoda-agriculture-ltd-another-bot-scandal.html

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/9009-ya-mkapa-ballali-na-jeetu-patel.html

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ngae-ya-jeetu-patel-wajinga-ndio-waliwao.html

https://www.jamiiforums.com/habari-hoja-mchanganyiko/9186-jeetu-patel-kwanini-hajakamatwa.html

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-kamlesh-pattni-fundisho-kwa-watanzania.html

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/9523-jeetu-patel-kazamia-dubai.html

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/10387-epa-scam-jeetu-patel-dar-questioning.html

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/10443-man-jeetu-patel.html

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/10335-jeetu-patel-karudi.html

https://www.jamiiforums.com/habari-hoja-mchanganyiko/11011-salamu-za-jeetu-patel-kwa-watanzania.html

https://www.jamiiforums.com/habari-...59-vigogo-wa-kagoda-jeetu-patel-waogopwa.html

https://www.jamiiforums.com/jamii-intelligence/8457-kagoda-agriculture-ltd-another-bot-scandal.html

https://www.jamiiforums.com/jamii-intelligence/2670-bot-scandal-tulikotoka-tulipo-tunakoelekea.html

The Radar Issue: Investigation & Progress

Na penye attachment kama wewe si mwanachama utashindwa kuzipata lakini wale ambao ni registered chukueni hizo attachment mjue jamaa amekamua kiasi gani. Anzia RADA, kisha nenda kwenye BoT scandal.

Kesi zilizosomwa ni mbili za Johnson na jamaa zake (wanatuhumiwa kwa kuchota hizo 6.3Bil) na dhamana yao iko wazi endapo itakuwa sawa na kiwango hicho cha fedha vinginevyo ni Lupango.

Kesi ya Patel na wenzake inaonekana kuwa kubwa zaidi kwani ina mtiririko wa matukio.

Zaidi tunawasiliana na walio mahakamani Kisutu
 
Thats the obvious Mkuu!
Ila the way things are going on in this country..slowly we are seeing emergence of a new jurisprudence..hahahahahahah

Jeetu yupo katika hizo picha (huyo Mwenye jina la Jayant Kumar) wa tatu kutoka kushoto, msitari wa mbele. Huyo ndio Jeetu Patel mwenyewe, someni posts zilizopita kuhusu majina ya huyo bwana.
 
Mkuu Halisi, I salute!!! Kwa kweli sasa kazi ndio imeanza na tutaenda na lijidubwana hili mpaka kieleweke!!!

Kama ulivyosema, wote (Kasara and the boys, ha ha haaaa) kazeni uzi wanaume!!! (ladies are included pia.....)
 
Wait a minute!!!! Ochu tuwe na uvumilivu kidogo na tuwe fair kidogo jamani.

Kwanza hapo wamo waliolipa na ambao hawajalipa na katika waliobaki wamo waliolipa na wasiolipa. Jeetu Patel amelipa, Lukaza hajalipa. Waliobakia Manji kalipa huku Maregesi hajalipa na hawajafikishwa mahakamani. Tujue sheria ni ngumu sana na kama kweli ushahidi haujakamilika lazima waendelee kuchunguza.

Jambo la msingi ni kufuatilia kesi, maana sasa hata kosa waliloshitakiwa hulijui unasema ni sanaa. JF itashuka hadhi kama tunapinga bila hoja. Tusubiri tuone mwenendo wa kesi na ushahidi, tusubiri na kutafiti (kama kawaida) ili tuweka data ambazo serikali watajaribu kuficha. Tuwasaidie waandishi wa magazeti waweze kufichua zaidi na si kulaumu hata pale serikali inapofuata tuliyotaka kama hili la Jeetu Patel, watu wamepiga kelele mpaka serikali imesikia, sasa badala ya kusema kwa hili la Jeetu HONGERENI tunasubiri wengine. Huo ndio uungwana jamani.

Tulikua tunajua na tuliweka hapa na Raia Mwema wakaandika kwamba Jeetu Patel na wenzake wa kagoda wanaogopewa, tukaweka data za kuonyesha kwanini tunaona Jeetu Patel ni mhalifu na hivyo kuwafanya wahusika wakaongeza juhudi na kupata ukweli.

Leo Raia Mwema limeandika kwamba sasa hakuna wa kupona hata waliolipa na ndivyo ilivyokuwa, angalao tuseme kwa hili HONGERA Raia Mwema, Hongera serikali lakini tunasema tena, TUNASUBIRI watu wa Kagoda na wengine.

Kazi nzuri Afande Kasara na wenzako maana hapa wanawasema tu kina MWanyika, Mwema na Hosea hawajui behind kuna kichwa kinaitwa Kasara.

Mkuu Halisi asante kutuhabarisha, pamoja na usanii hili la kuwafikisha mahakamani ni hutua kubwa sana kwa serikali ya Muungwana, wengi hatukutegemea

Ushi
 
Kazi nzuri Afande Kasara na wenzako maana hapa wanawasema tu kina MWanyika, Mwema na Hosea hawajui behind kuna kichwa kinaitwa Kasara.

Mkuu Halisi ndio maana naamini wewe unaona kiHalisi. Kasara well ... well umenihabarisha hapa
 
Hpa kutakuwa na mistrial na kama ninakuwa wakili wa Jeetu hicho ndicho nitakachomba

kwa sababu Evidence zishakuwa cotaminated na mteja hawezi kupata fair trial wakati upande wa mashata usmekuwa bize kuleak info kila kukicha

hamna kitu hapo lets move on na wale jamaa wa BAKWATA
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom