titimunda
JF-Expert Member
- Nov 26, 2014
- 7,565
- 9,806
Kweli aisee,pia enzi hizo watu walikuwa wanakula organic food zaidi.Ila chaajabu walewale walotuletea majanga enzi hizo bado tunawakumbatia 30-40 years laterKitambi kitoke wapi chakula chenyewe kukipata ilikuwa kwa foleni na resheni (ration).