Enzi zile za Mwalimu

Enzi zile za Mwalimu

Afro+70.jpg
Nimeipenda hiyo pikipiki anayeijua jina Tafadhali.
 
Miaka ya 2000 watu walikuwa wanatundika vimobiteli kifuani kama cheni,angalia video ya zeze ya TID,ni sawa na skuiz mtu akinunua iphone 6-7 maselfi kibao kwenye kioo watu waone alama ya apple kwa hyo huyo kwa enzi zake alikuwa sahihi kabisa kwenda na stereo yake kupiga nayo picha

Miaka 20 ijayo kwa watakaobarikiwa Uhai watakuwa Wanacheka Ushamba wa wanaojipiga selfie kuonesha IPhone zao
 
Natamani ningekuwa Kijana wa enzi hizo, kwasababu:-

Mademu walikuwa wapo kiasili zaidi.

Maradhi hayakuwa mengi, yaani Mtu unajitelezea tu CHAPEKU, sio haya mambo ya kuvaa vaa Mipira, kwa kweli ni usumbufu wa hali ya juu.


Huyu DEMU wa kwanza kushoto CHUCHU zake zimenichanganya kinoma, ana CHUCHU tamu sana

image001+%282%29.jpg
Afu enzi hizo wanawake wenye matiti makubwa walikuwa wachache nafikiri kutokana na vyakula walivyokuwa wanakula vya asili na vibichi kutoka mashambani sio siku hizi vyakula fake kila kitu
 
Afu enzi hizo wanawake wenye matiti makubwa walikuwa wachache nafikiri kutokana na vyakula walivyokuwa wanakula vya asili na vibichi kutoka mashambani sio siku hizi vyakula fake kila kitu
Kiongozi unayoyasema ni kweli kabisa.

Sasa hivi Vyakula Mafuta mengi, na madawa.

Si vya kiasili.

Na mbaya zaidi Tanzania tumejaaliwa Vyakula vya Asili vingi, cha ajabu hatuvithamini.

Tunashobokea Vyakula vya Madawa, kuanzia Matunda, ukija kwenye Nyama ndio hizo za Makopo, ukija kwenye Kuku, Kuku wa kukuzwa kwa Madawa.

Kwa kweli ni Mtihani sana.

Halafu ukija kwenye Mazoezi, uvivu mwingi. Watu hawataki kabisa kufanya Mazoezi.

Ukichanganya na Madawa yao, sijui niseme Sindano za Uzazi wa mpango, ndio zogo.

Yaani!

Tuko kwenye Wakti mgumu sana, Zama ngumu sana
 
Jamani.

Picha za hivi mara nyingi ni za kuagana, Mnamaliza.

Kwahiyo mnachukua Kumbukumbu ya pamoja.


uploadfromtaptalk1483947055609-jpeg.456719
 
Back
Top Bottom