minji
JF-Expert Member
- Sep 2, 2016
- 2,750
- 4,967
[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23]wameenda na pikipiki studio
[emoji23][emoji23]wameenda na redio studio jaman jaman tunatoka mbali aisee
Miaka ya 2000 watu walikuwa wanatundika vimobiteli kifuani kama cheni,angalia video ya zeze ya TID,ni sawa na skuiz mtu akinunua iphone 6-7 maselfi kibao kwenye kioo watu waone [emoji519] alama ya apple kwa hyo huyo kwa enzi zake alikuwa sahihi kabisa kwenda na stereo yake kupiga nayo picha[emoji23][emoji23]wameenda na redio studio jaman jaman tunatoka mbali aisee
Wapi ntapata hili shati?,la kibabe sana.Alafu nimegundua enzi hizo matipwatipwa na wenye vitambi hawakuwa wengi kama skuiz,katika hizo picha sjaona kitambi hata kimoja
Huyo jamaa mwenye koti kubwa sio "Juma Pumba"huyo
Hata mimi nimegundua hilo.Alafu nimegundua enzi hizo matipwatipwa na wenye vitambi hawakuwa wengi kama skuiz,katika hizo picha sjaona kitambi hata kimoja