Enzi zetu zile za kobas na bwaga

Joined
Nov 11, 2010
Messages
20
Likes
0
Points
3

Mzaa chema

Member
Joined Nov 11, 2010
20 0 3
Thanks kwa kunikumbusha mbali el. huyu ni dj kalikali na huyo mweupe ni dj pantalakis enzi zetu early 90s. hiyo benzi ni ya saidi hilali ali. (BORN CITY) Enzi hizo vijana walikua hawana tamaa sana ya michuma, labda awe ni "sea man"
 

Gama

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Messages
9,757
Likes
1,663
Points
280

Gama

JF-Expert Member
Joined Jan 9, 2010
9,757 1,663 280
Disco tulikuwa tunaenda pale Empress cinema kiingilio buku tu mwaka 1992 leo 2010 enzi za JK kingilio Bills mpaka 30,000 balaaa

attachment.php?attachmentid=18152&d=1291797296
kiingilio buku?!. Wewe niwa kizazi kipya, enzi hizo kiingilio mia mbili.
 

Anko Sam

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2010
Messages
3,212
Likes
22
Points
135

Anko Sam

JF-Expert Member
Joined Jun 30, 2010
3,212 22 135
Na wananume wa enzi hizo tulikuwa tumekamilika kweli kweli vijana wa leo wamelegea legea tu sijui kwa kuwa wanakula kyepe yai na fanta?
Hata mavazi yao hayashiki kiuno, ni mlegezo 2 wanasingizia Cata ...! Hata miondoko yao wana nesa nesa utafikili wana 'shokomzoba' kwenye magoti.

Zamani dawa za kuboost bunduki zilikuwa hazipo hadharani kama siku hizi, kwenye magazeti zimejaa za kila sampuli, mara shaft bomba, kifaru, chakachua nk! Umenikumbusha mbali mkuu!
 

Amoeba

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2009
Messages
3,328
Likes
116
Points
0

Amoeba

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2009
3,328 116 0
Hata mavazi yao hayashiki kiuno, ni mlegezo 2 wanasingizia Cata ...! Hata miondoko yao wana nesa nesa utafikili wana 'shokomzoba' kwenye magoti.

Zamani dawa za kuboost bunduki zilikuwa hazipo hadharani kama siku hizi, kwenye magazeti zimejaa za kila sampuli, mara shaft bomba, kifaru, chakachua nk! Umenikumbusha mbali mkuu!
lolz, umegusa penyewe mkuu! Zamani mme kutumia viagra mpaka awe mzee, tena aandikiwe na doctor!
 

Chimunguru

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2009
Messages
9,986
Likes
458
Points
180

Chimunguru

JF-Expert Member
Joined May 3, 2009
9,986 458 180
dah enzi hizo wajanja wanakwenda ugiriki na si US au UK km sasa. wazamiaji walikuwa kibao nakumbuka pale kurasini kulikuwa na kijiwe chao wamepiga chata kubwa ya meli na nanga halafu mbele wameandika sea never dry nyuma ya bango wameandika sea never die.
ea
 

Forum statistics

Threads 1,203,552
Members 456,816
Posts 28,118,245